Nashindwa kuelewa tukio hili ambalo nimekutana nao

Mmmh Sasa kwanini mtu asirudishwe baada ya kufanyishwa kazi wanazotaka?
 
Mmmh Sasa kwanini mtu asirudishwe baada ya kufanyishwa kazi wanazotaka?
wanakuambia ule ndo mtaji wao. Na hawawez kuwarudisha koz wanajua ndugu watafatilia kwan wanajua amesha kufa.

Wakisema wawe wanawaachia machiz mtaan watakuwa wengi mno.
Ila wapo wanao achiwaga either wanaviburi au mizim mikali, huwa wanawaachia ila wanawapeleka mbali kabsa wasikojulikana.
Kule wataonekana kama machizi.
 
Hii mambo ipo, kuna mtu alifariki miaka mingi nyuma, miaka kadhaa mbele, nimepanda daladala, nakutana na mtu yule yule. Nikawa namkazia macho wala haonyeshi kunijua, yupo kimya.

Sikumwambia mtu, nilikuja kumsimulia mtu baada ya miaka. Kifo chake kilikuwa na utata sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…