Jipu
JF-Expert Member
- Apr 20, 2015
- 2,950
- 6,215
Acha kuangalia video za ngono na upigaji wa punyeto.Ni mda sasa wa mwezi 1 yangu tatizo hili linikute nashindwa kabisa kupata hisia Wala kusimamisha uume pale tu ntapoitaji kushiliki tendo.
Nimekuja kugundua kuwa ni hofu nilionayo Moyon mwng ndo inanitesa, nimelileta hili suala hapa mezani, kwajili ya kupata msaada wa mawazo na ni kwa jinsi gani naweza kuepukana na tatizo hili.