Nashindwa kufanya mapenzi kwa sababu ya hofu(wasiwasi)

Acha kuangalia video za ngono na upigaji wa punyeto.
 

Ajue kwanza hofu yake inasababishwa na nini ndio mwanzo wa kuitatua,pili asichukue wale mademu wakuibia,yani ahakikishe huyo manzi kama amekuja atashinda na kulala geto,awe open na asiweke sana ngono akilini

Pia awe muwazi kwa demu ili demu ajue wanasaidizana vipi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…