Dexaquin
JF-Expert Member
- Feb 7, 2015
- 230
- 80
Namba umeifuta au bado unayo?Finally nimeweza msahau wapenziii now am happy [emoji3590]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namba umeifuta au bado unayo?Finally nimeweza msahau wapenziii now am happy [emoji3590]
Watu huwa tunakosea maana ya kumove on.
Moving on, wala hulazimiki kumsahau Ex wako.
Moving on ,wala hulazimiki kuwa adui wa Ex wako.
Moving on, wala hulazimiki kumchukia Ex wako.
Na ndo hapo mnajitesa, na kujidanganya na kurudia makosa yale yale in each and every relationships.
Kujiambia kitu unajua wazi sio kweli nafsini mwako.
Skia,
Its okey not forgetting the person you once loved.
What is not okey is KURUHUSU SABABU ZILIZOFANYA MUACHANE HAZINA MAANA NA SASA UWE NA UHITAJI WA KURUDIANA NAE.
Hapa ndo kuna tatizo.
But kukumbuka mtu, kumuona na bado ukawa na memories.
Mi sioni ni tatizo.
Until ,it is.
Sio rahisi tu vuuuuup ukasahau mtu Kana kwamba ni maandishi ya chaki ubaoni kuwa utachukua tu duster na kuyaondoa.
Uhusiano wenu ulihusisha hisia.
Kuwa mvumilivu na mchakato wa akili kuhusu huyo mtu.
Inachukua muda, na its very much okey.
Mfano Malovee
Hapa last week umesema unashindwa kumsahau, unashindwa hata kufuta namba yake.
Mi niliishia kucheka tu!
Maana ulikuwa unajiambia kitu wala hulazimiki kukifanya ili uwe uko imara.
Leo paaap, nimefanikiwa kumsahau jamani, hureeeeh am a free soul.
Napo nimecheka tu, tens nimecheka sana maana tht alone, inaonesha jinsi gani bado umekwama.
Relaaax, endelea na maisha.
Ishi maisha yasiyomhusu. Ishi tu yani.
Ataondoka Taratibu akilini. Na ataondoka completely.
Wala hutalazimika kutafuta thread aliyoandika huwezi kufuta namba ili utoe mrejesho.
Utasahau hata kama uliwahi andika hiyo thread.
Hiyo stage needs TIME.
Ni hatua, ni mchakato, ni kipengele.
Labda kama hukupenda.
[/QUOTE
Dear nimekuelewa saana, but em check hi thread ilifunguliwa mweZi gani na leo ji mweZi gani? Kiufupi nimeingia humu na kuandika.mrejesho kwamba nimemsahau baada ya kuona notification, maana jf siingii Mara kwa Mara, nimeingia kufungua thread nikakutana na notification nikaona si vibaya kuweka mrejesho.
But trust me dear, yaan now namuona wakawaida kishenzii
Hallelujah, kamwe nisingeweza kuandika vizuri namna hii.Watu huwa tunakosea maana ya kumove on.
Moving on, wala hulazimiki kumsahau Ex wako.
Moving on ,wala hulazimiki kuwa adui wa Ex wako.
Moving on, wala hulazimiki kumchukia Ex wako.
Na ndo hapo mnajitesa, na kujidanganya na kurudia makosa yale yale in each and every relationships.
Kujiambia kitu unajua wazi sio kweli nafsini mwako.
Skia,
Its okey not forgetting the person you once loved.
What is not okey is KURUHUSU SABABU ZILIZOFANYA MUACHANE HAZINA MAANA NA SASA UWE NA UHITAJI WA KURUDIANA NAE.
Hapa ndo kuna tatizo.
But kukumbuka mtu, kumuona na bado ukawa na memories.
Mi sioni ni tatizo.
Until ,it is.
Sio rahisi tu vuuuuup ukasahau mtu Kana kwamba ni maandishi ya chaki ubaoni kuwa utachukua tu duster na kuyaondoa.
Uhusiano wenu ulihusisha hisia.
Kuwa mvumilivu na mchakato wa akili kuhusu huyo mtu.
Inachukua muda, na its very much okey.
Mfano Malovee
Hapa last week umesema unashindwa kumsahau, unashindwa hata kufuta namba yake.
Mi niliishia kucheka tu!
Maana ulikuwa unajiambia kitu wala hulazimiki kukifanya ili uwe uko imara.
Leo paaap, nimefanikiwa kumsahau jamani, hureeeeh am a free soul.
Napo nimecheka tu, tens nimecheka sana maana tht alone, inaonesha jinsi gani bado umekwama.
Relaaax, endelea na maisha.
Ishi maisha yasiyomhusu. Ishi tu yani.
Ataondoka Taratibu akilini. Na ataondoka completely.
Wala hutalazimika kutafuta thread aliyoandika huwezi kufuta namba ili utoe mrejesho.
Utasahau hata kama uliwahi andika hiyo thread.
Hiyo stage needs TIME.
Ni hatua, ni mchakato, ni kipengele.
Labda kama hukupenda.
Reset simu,itafuta kila kituBila Shaka mu wazima, naomba msaada wenu, mimi na mpenzi wangu tumeachana huu mwezi wa tano, lakini nashindwa kabisa kufuta namba yake.
Lengo la kutofuta namba yake ni ili niwe nafuatilia status zake, but yeye hajui kama naziona, vilevile yeye pia hufuatilia zangu bila kificho.
Naomba mnisaidie nifanye nini, nimsahau huyu kiumbe, kumblock nilishajaribu lakini baada ya siku ile mbili namu unblock, lakini yeye Kila ninachoweka status lazima aview. Nahisi ameniroga maana siyo kawaida yangu hii.
Nb: Siyo mahusiano yangu ya Kwanza.
- Umri wetu tuko kwenye 29-34