Nashindwa kufuta namba yake japo tumeachana

Watu huwa tunakosea maana ya kumove on.

Moving on, wala hulazimiki kumsahau Ex wako.
Moving on ,wala hulazimiki kuwa adui wa Ex wako.
Moving on, wala hulazimiki kumchukia Ex wako.

Na ndo hapo mnajitesa, na kujidanganya na kurudia makosa yale yale in each and every relationships.
Kujiambia kitu unajua wazi sio kweli nafsini mwako.

Skia,
Its okey not forgetting the person you once loved.

What is not okey is KURUHUSU SABABU ZILIZOFANYA MUACHANE HAZINA MAANA NA SASA UWE NA UHITAJI WA KURUDIANA NAE.

Hapa ndo kuna tatizo.
But kukumbuka mtu, kumuona na bado ukawa na memories.
Mi sioni ni tatizo.
Until ,it is.

Sio rahisi tu vuuuuup ukasahau mtu Kana kwamba ni maandishi ya chaki ubaoni kuwa utachukua tu duster na kuyaondoa.

Uhusiano wenu ulihusisha hisia.
Kuwa mvumilivu na mchakato wa akili kuhusu huyo mtu.
Inachukua muda, na its very much okey.
Mfano Malovee
Hapa last week umesema unashindwa kumsahau, unashindwa hata kufuta namba yake.
Mi niliishia kucheka tu!
Maana ulikuwa unajiambia kitu wala hulazimiki kukifanya ili uwe uko imara.

Leo paaap, nimefanikiwa kumsahau jamani, hureeeeh am a free soul.
Napo nimecheka tu, tens nimecheka sana maana tht alone, inaonesha jinsi gani bado umekwama.

Relaaax, endelea na maisha.
Ishi maisha yasiyomhusu. Ishi tu yani.
Ataondoka Taratibu akilini. Na ataondoka completely.
Wala hutalazimika kutafuta thread aliyoandika huwezi kufuta namba ili utoe mrejesho.
Utasahau hata kama uliwahi andika hiyo thread.

Hiyo stage needs TIME.
Ni hatua, ni mchakato, ni kipengele.
Labda kama hukupenda.
 
M
 
Hallelujah, kamwe nisingeweza kuandika vizuri namna hii.
Acha nikuunge mkono kucheka tu [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
 
Huo umri kwa mwanamke sio umri wa kushindana au kufanya michezo ya tit for tat na wanaume. Be serious.

Hivi kweli hicho unachofanya kitakusaidia katika kujenga mahusiano ya kuanzisha familia?!
 
Reset simu,itafuta kila kitu

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…