Nashindwa kuingia kwenye account yangu ya bodi ya mikopo(HESLB)

Nashindwa kuingia kwenye account yangu ya bodi ya mikopo(HESLB)

Trainee

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2018
Posts
2,660
Reaction score
3,501
Wakuu nina karibu wiki ya pili sasa au tatu kila nikilog in inakataa nimetumia kompyuta nimetumia simu lakini bado tu hebu nipeni msaada wazoefu. Nimeweka picha tatu hapa ambazo ndizo hatua ninazozungukia yaani nikilog in narudishwa kwenye home na hakuna ninachoweza kuendelea
Screenshot_20241028-035904~2.png
Screenshot_20241028-035801~2.png
Screenshot_20241028-035944~2.png
 
Wakuu nina karibu wiki ya pili sasa au tatu kila nikilog in inakataa nimetumia kompyuta nimetumia simu lakini bado tu hebu nipeni msaada wazoefu. Nimeweka picha tatu hapa ambazo ndizo hatua ninazozungukia yaani nikilog in narudishwa kwenye home na hakuna ninachoweza kuendeleaView attachment 3136846View attachment 3136845View attachment 3136847
Kuna namba za msaada nahisi kwenye kila huduma kama hiyo kwa ajili ya msaada umejaribu?

Jaribu kuwasiliana nao wakupe msaada, wakizingua watukane
 
Asante yaani mpaka nakaribia kupaniki maana sijui maombi yangu yamefikia wapi wala sijui natakiwa kuchukua hatua gani, mwisho unajikuta hakuna kitu na mfumo umefungwa
 
Kuna namba za msaada nahisi kwenye kila huduma kama hiyo kwa ajili ya msaada umejaribu?

Jaribu kuwasiliana nao wakupe msaada, wakizingua watukane
Asante niliziona kipindi cha nyuma lakini tangu ianze kunisumbua sielewi nazipatia sehemu gani zile namba
 
Vipi mkuu ulifanikiwa? Maana ata mimi napitia hii changamoto wakati huu
Bila bila
Nilireset Password nikaingia siku mbili tu ngoma imerudi palepale na haitaki tena hata nikireset Password
Kinachouma zaidi akaunti haiikuwa na mabadiliko yoyote nilipoingia means nimekosa!
 
Back
Top Bottom