Kuna namba za msaada nahisi kwenye kila huduma kama hiyo kwa ajili ya msaada umejaribu?Wakuu nina karibu wiki ya pili sasa au tatu kila nikilog in inakataa nimetumia kompyuta nimetumia simu lakini bado tu hebu nipeni msaada wazoefu. Nimeweka picha tatu hapa ambazo ndizo hatua ninazozungukia yaani nikilog in narudishwa kwenye home na hakuna ninachoweza kuendeleaView attachment 3136846View attachment 3136845View attachment 3136847
Asante niliziona kipindi cha nyuma lakini tangu ianze kunisumbua sielewi nazipatia sehemu gani zile nambaKuna namba za msaada nahisi kwenye kila huduma kama hiyo kwa ajili ya msaada umejaribu?
Jaribu kuwasiliana nao wakupe msaada, wakizingua watukane
Vipi mkuu ulifanikiwa? Maana ata mimi napitia hii changamoto wakati huuWakuu nina karibu wiki ya pili sasa au tatu kila nikilog in inakataa nimetumia kompyuta nimetumia simu lakini bado tu hebu nipeni msaada wazoefu. Nimeweka picha tatu hapa ambazo ndizo hatua ninazozungukia yaani nikilog in narudishwa kwenye home na hakuna ninachoweza kuendeleaView attachment 3136846View attachment 3136845View attachment 3136847
Bila bilaVipi mkuu ulifanikiwa? Maana ata mimi napitia hii changamoto wakati huu