Enock gabriel
JF-Expert Member
- Apr 26, 2021
- 348
- 321
- Thread starter
-
- #21
Hapana, sionei huruma kupiga jani au mti, naweza kushiriki kuchinja japo kwa kujilazimisha na kujikaza sana(napo naweza kuchinja jamii ya ndege wa kufugwa tu, mfano kuku, bata, n.k, si wanyama wenye miguu minne, hao huwahurumia sana). Mimi ni mzaliwa wa Masasi, home hakuna manyanyaso ni amani tu.Nina miaka 23, nasoma degree!
You are an Empathy! A gift with a barden sometimes.Mara nyingi ninapendelea kuwa peke yangu, ninakumbula mno mambo na maeneo niliyowahi kutembelea zamani, marafiki wa zamani, maisha ya utoto na michezo yote. Naumia na hulia sana nikikumbuka, havikuwa vitu vibaya ila najikuta nalia tu!
Muda mwingine ninapokula chakula nafikiria wengi wanaolala njaa ikiwemo watoto wadogo, hulia sana na chakula hakipiti, najikuta naacha kula na kulala.
Sina chochote kinachoweza kunipa faraja na raha, nipo mpweke na sijui chanzo chake, napenda kuwahudumia wanyama, na kuwatunza. Nina huruma na wanyama mno.
Kuna muda ninapokuwa peke yangu najikuta nakumbuka matukio ya zamani sana na huishia kulia tu, hata sijui ni nini hiki kinanipata. Sipendi kuongea ongea, wala kuchangamana na watu, n.k.
Jamani nishaurini ninapitia kipindi kigumu!
NB: Nina miaka 24, nasoma.
Yani unamshauri ajiongezee matatizo badala ya kutafuta helaUna familia? Kama jibu hapana fanya uoe uzae watoto.
Samahani kidogo hiyo hali ni tokea zamani ama imeibuka tu hapa juzi kati?Hapana, sionei huruma kupiga jani au mti, naweza kushiriki kuchinja japo kwa kujilazimisha na kujikaza sana(napo naweza kuchinja jamii ya ndege wa kufugwa tu, mfano kuku, bata, n.k, si wanyama wenye miguu minne, hao huwahurumia sana). Mimi ni mzaliwa wa Masasi, home hakuna manyanyaso ni amani tu.
Tangu zamani inaninyanyasa sanaSamahani kidogo hiyo hali ni tokea zamani ama imeibuka tu hapa juzi kati?
Mara nyingi ninapendelea kuwa peke yangu, ninakumbula mno mambo na maeneo niliyowahi kutembelea zamani, marafiki wa zamani, maisha ya utoto na michezo yote.
Tangu zamani inaninyanyasa sana
Ahsante, ila sihitaji rafiki, nasalimia watu vizuri tu na sina tatizo katika hilo. Kupata huzuni kwa mambo yaliyopita hakusababishwi na mimi kujitenga, hata nisipojitenga hali hii hunikuta.Anzia hapo kwenye kupendelea kukaa peke yako muda mwingi. Wengine watakwambia sio tatizo lakini kwako wewe ni tatizo kwa sababu unakosa amani na furaha. Hayo mambo uliyotaja (pamoja na marafiki) ni mambo yaliyokuwa yanakupa furaha ndio maana ukiyakumbuka unapata huzuni.
Tafuta girlfriend au rafiki(marafiki wachache wa ukweli). Usijitenge na wenzako, chuo huko kuna magroup ya discussion, kuna wadau wa movies/series, kuna wacheza video games.
Kwa kifupi jifunze kujichanganya, hata ukianza kidogo kidogo, halafu penda kusalimia watu, ndio mwanzo mzuri wa urafiki.
Ahsante sana, kama ulivyoniita young man, na mimi nakuita Sir.Relax dogo
Upo kwenye transformation age ambapo sasa unahitaji kujitathmini sana na kujua wewe uwe Mtu wa aina gani...
Pia unaweza kuwa unaona umechelewa kufanikisha mambo yakoo ya maisha na huenda upo kwenye dilemma kama shule itakufikisha unapopataka..
Unahitaji kuwa imara na kujifikiria wewe zaidi kwa wakati huu nini unapenda kufanya.
Mchakato wa maisha ni wa taratibu .
Don’t lose yourself because nobody will care anyway...
Be positive and love yourself more young man.
Mkuu hiyo hari ni ya kawaida ondoa shaka kabisa,Hapana, sionei huruma kupiga jani au mti, naweza kushiriki kuchinja japo kwa kujilazimisha na kujikaza sana(napo naweza kuchinja jamii ya ndege wa kufugwa tu, mfano kuku, bata, n.k, si wanyama wenye miguu minne, hao huwahurumia sana). Mimi ni mzaliwa wa Masasi, home hakuna manyanyaso ni amani tu.
Ahsante sana, kama ulivyoniita young man, na mimi nakuita Sir.
Unagenye,tafutaà musichana muzuri umufiche akupe upendo unauhitaji wa hiyo kitu wa k ndio maana unafeelings hizooMara nyingi ninapendelea kuwa peke yangu, ninakumbula mno mambo na maeneo niliyowahi kutembelea zamani, marafiki wa zamani, maisha ya utoto na michezo yote. Naumia na hulia sana nikikumbuka, havikuwa vitu vibaya ila najikuta nalia tu!
Muda mwingine ninapokula chakula nafikiria wengi wanaolala njaa ikiwemo watoto wadogo, hulia sana na chakula hakipiti, najikuta naacha kula na kulala.
Sina chochote kinachoweza kunipa faraja na raha, nipo mpweke na sijui chanzo chake, napenda kuwahudumia wanyama, na kuwatunza. Nina huruma na wanyama mno.
Kuna muda ninapokuwa peke yangu najikuta nakumbuka matukio ya zamani sana na huishia kulia tu, hata sijui ni nini hiki kinanipata. Sipendi kuongea ongea, wala kuchangamana na watu, n.k.
Jamani nishaurini ninapitia kipindi kigumu!
NB: Nina miaka 24, nasoma.
Sijawahi ku-engage katika mahusiano, sina tatizo la kiafya. Sina roho ya kukataliwa!Kukosa furaha mara nyingi inasababishwa na kukataliwa au kuachwa sana kwenye mahusiano
Unamaanisha nini?Unagenye,halafu wanaume wenyewe ndio hawa hawawezi ishu nawaliokuwa wanaweza ishu zao zimelegea tumebaki tu tunashangaa.
Nimedandia gari kwa mbele ila nimeshakujibu nilidhani wewe ni Ke kumbee Me basi tafuta Ke ule K unauhitaji huo ndio maana uko mupweke ila mashine ipoo au haipooo sawa??Unamaanisha nini?