Enock gabriel
JF-Expert Member
- Apr 26, 2021
- 348
- 321
- Thread starter
-
- #41
Labda huna mvuto, na ndio maana husimama kama mlenda, mwanamke akikuvutia vizuri yaani kugusa tu kitu hicho, ngangari yaani!Nimedandia gari kwa mbele ila nimeshakujibu nilidhani wewe ni Ke kumbee Me basi tafuta Ke ule K unauhitaji huo ndio maana uko mupweke ila mashine ipoo au haipooo sawa??
Kwa maana siku hizi sie tunakutana na milenda tu nanguvu hakuna
Hizi ni zile zile dalili mkuu wa jeshi la polisi alizosema mtu akitaka kujiua wahi kituoni ukaripoti ili aokoleweMara nyingi ninapendelea kuwa peke yangu, ninakumbula mno mambo na maeneo niliyowahi kutembelea zamani, marafiki wa zamani, maisha ya utoto na michezo yote. Naumia na hulia sana nikikumbuka, havikuwa vitu vibaya ila najikuta nalia tu!
Muda mwingine ninapokula chakula nafikiria wengi wanaolala njaa ikiwemo watoto wadogo, hulia sana na chakula hakipiti, najikuta naacha kula na kulala.
Sina chochote kinachoweza kunipa faraja na raha, nipo mpweke na sijui chanzo chake, napenda kuwahudumia wanyama, na kuwatunza. Nina huruma na wanyama mno.
Kuna muda ninapokuwa peke yangu najikuta nakumbuka matukio ya zamani sana na huishia kulia tu, hata sijui ni nini hiki kinanipata. Sipendi kuongea ongea, wala kuchangamana na watu, n.k.
Jamani nishaurini ninapitia kipindi kigumu!
NB: Nina miaka 24, nasoma.
Ahsante sana, kama ulivyoniita young man, na mimi nakuita Sir.
Hizo ni dalili za kufa kama si hiyo una dhiki sana za maisha.Hii ni dalili ya kufa aisee,omba sana na shirikiana na jamii yako kuendesha maisha,hudhuria ibada,jiunge na vikundi vya jogging au kwaya (Kama ni mkristo) shiriki shughuli za kijamii kwa kujilazimisha utakaa sawa!
Ukibaki na hiyo hali kwa hakika tutakupoteza siku si nyingi...pole sana
Dalili gani za kufa? Dhiki kivipi? Mimi nasoma na bado mdogo sana 23 nipo kwa wazazi na hatuna njaa kihivyo!Hizo ni dalili za kufa kama si hiyo una dhiki sana za maisha.
hawa wakulungwa wanapatikana wapi mkuuFransisco wa Asizi/Wakapuchin
Nasoma, sasa nitaoaje kaka?Jichanganye na marafiki mzee.. Kama haupo kwenye mahusiano vuta mtoto utulie nae... Yaani Weka ndani kabisa uishi nae
Magonjwa ya akili yapo mengi sana.... Utaanza kuonea huruma mpaka magogo ya miti yanayoshinda barabarani wakipigwa na jua
Ni dent huyo..Una familia? Kama jibu hapana fanya uoe uzae watoto.
Waone watu wako wa kiroho. Soma kwa bidii upate uamuzi na maarifa ya kuwasaidia wasiojiweza.Mara nyingi ninapendelea kuwa peke yangu, ninakumbula mno mambo na maeneo niliyowahi kutembelea zamani, marafiki wa zamani, maisha ya utoto na michezo yote. Naumia na hulia sana nikikumbuka, havikuwa vitu vibaya ila najikuta nalia tu!