Nashindwa kujizui... Najihisi natia aibu

Nashindwa kujizui... Najihisi natia aibu

Kiranja Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2010
Posts
4,219
Reaction score
4,608
Kuna mwanamke nampemda sana.
Kila nionanapo nae
uume umekuwa ukinisimama ile mbaya hadi nashindwa kuficha aibu zangu.
Matokeo yake ni kwamba nashindwa kuongea naye.. Nabaki nimeinama ili kuficha aibu yangu.
Je nifanyeje ili niishinde hali hii?????
 
Huyo humpendi, sema unamtamani! That is lust not love !!!
 
Mwandikie barua,au mtumie shoga yake....ole wako usijemtumia rafiki yako asije kuku doublecross
 
Kuna mwanamke nampemda sana.
Kila nionanapo nae
uume umekuwa ukinisimama ile mbaya hadi nashindwa kuficha aibu zangu.
Matokeo yake ni kwamba nashindwa kuongea naye.. Nabaki nimeinama ili kuficha aibu yangu.
Je nifanyeje ili niishinde hali hii?????

- Tatizo hapa ni kuwa unakuwa umesimamisha huo uume wako kwa hiyo unakuwa na aibu, kama nimekuelewa vizuri.

Sasa kama tatizo ni hilo na sio Domo Zege, basi jaribu kusema nae kwenye simu, andaa mazingira yatakayokufanya uongee nae kwa simu.
Ukishamzoea nadhani huu uume utatulia utaweza kuongea nae in person.

Au, tafuta kitu kitajachozuia huu uume kusimmama na kukuaibisha ili uongee nae... nasikia kuna chupi unaweza vaa zika tight mtarimbo...
I hope nimekusaidia Kiranja Mkuu.... 🙂
 
pole sana ..kumpenda tu ndo unapata tatizo hilo? au hujafanya perfomance kwa muda mrefu?
 
Huyo humpendi, sema unamtamani! That is lust not love !!!
very true
sasa akiwa mpenzi wak mtashinda na kukesha mkifanya ngono au???

hizo tamaaa kiboko......you need some maombiz sema tu sina upako
 
- Tatio hapa ni kuwa unakuwa umesimamisha huo uume wako kwa hiyo unakuwa na aibu, kama nimekuelewa vizuri.

Sasa kama tatizo ni hilo na sio Domo Zege, basi jaribu kusema nae kwenye simu, andaa mazingira yatakayokufanya uongee nae kwa simu.
Ukishamzoea nadhani huu uume utatulia utaweza kuongea nae in person.

Au, tafuta kitu kitajachozuia huu uume kusimmama na kukuaibisha ili uongee nae... nasikia kuna chupi unawea vaa zika tight mtarimbo...
I hope nimekusaidia Kiranja Mkuu.... 🙂

tatizo lake nadhani anamtamani kingono zaidi ..na si kumpenda 😉
 
Embu nionyeshe huyo mwanamke,anaweza akawa ni dawa ya kuongeza nguvu za kiume,yaani ukimwona tuu kitu cha simama,kweli kiboko!!
 
Geeeessss Kiranja mkuu tamaa zako hizo hakuna kingine. Labda amekuvutia sana jinsi alivyo ndo maana wasimamisha kila umuonapo
 
Siku ukienda kukutana nae vaa koti refu kabisa hata ngoma ikiwa hewani hawezi kustuka so unaendelea na mistari yako!..
 
tatizo lake nadhani anamtamani kingono zaidi ..na si kumpenda 😉

FL my dear!!
Hivi inaweza kuwa tofauti.. yaani akawa anampenda labda halafu matokeo yasiwe kusimamisha hivyo.... mi nadhani kwanza anamtamani , halafu ndo atampenda baadae, hivyo huko kusimama lazima kuwepo mwanzo... kwa mtazamo wangu.. labda nifahamishe...
 
huko ni kutamani,sio kupenda,its possible ukajikuta hutamani kuendelea naye baada ya kusex hasa kama utakuta mambo ni tofauti na unavyodhani au ukaanza kumpenda baada ya sex.
 
This tends to happen lakini jaribu kujizuia kwa kupeleka mawazo yako mbali wakati umuonapo kwa mfano ukimuona leo jaribu kukumbuka magoli ya jana Arsenal aliyokuwa anamfunga FC Porto. Nina uhakika utaweza kuzungumza naye na kuondoa aibu yako
 
Kwa magoli na mpira ule... nadhani jamaa atakuwa ametatua tatizo lake, labda sasa Domo liwe Zege!!
 
Back
Top Bottom