Nashindwa kulielewa hili gari

Bmw huwa haitengenezwi kwa Fundi Maiko ndugu yangu.
Nenda gereji ya maana au DT Dobie mkuu.
Vinginevyo akina fundi Maiko watakuagua mwishowe utalitelekeza gari.
Jambo la mwisho.
Kama usivyoweza kumwazima mtu mke wako au mpenzi wako, kadhalika gari bora uonekane mchoyo.
 
Bmw huwa haitengenezwi kwa Fundi Maiko ndugu yangu.
Nenda gereji ya maana au DT Dobie mkuu.
Vinginevyo akina fundi Maiko watakuagua mwishowe utalitelekeza gari.
Jambo la mwisho.
Kama usivyoweza kumwazima mtu mke wako au mpenzi wako, kadhalika gari bora uonekane mchoyo
 
Na yeye hajasema ni Benz,amenunua BMW
 
Ipeleke kwenye diagnosis machine. Bila shaka itakuwa sensor ya oksjen
 
Bila shaka ugonjwa uliomfanya mmiliki wa awali auze gari yake utakuwa umeanza jionesha...

Usimiliki hayo madude kama wewe:
1. Mvivu au Huna mapenzi na kufuatilia ishu za magari
2. Pesa ni ya kubangaiza
3. Huna gari mbadala
 
Mpwa hizo ni sensa tu, nenda pale Sinza Kumekucha Kuna yule Kijana atakufanyia diagnosis na atazirekebisha. Rudisha plug zake original, utanikumbuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…