Nashindwa kulielewa hili gari

Nashindwa kulielewa hili gari

Nimenunua BMW 5 series 2006 kwa mtu ikiwa fresh nimeendesha kama mwezi ilikua poa mpaka nilipompa jamaa alikuwa na safari ya Bagamoyo aliporudi nikaichukua kuendesha kidogo nikaona kama nakanyaga sana mafuta gari haiendi nimeenda kwa fundi akasema shida plug nikanunua zikafungwa baada ya kuendesha naona mambo ni yale yale nikamuuliza fundi mwingine kasema nibadilishe pump, sijawahi kumiliki BMW before naomba uzoefu wenu wadau kabla sijanunua tena fuel pump.
Bmw huwa haitengenezwi kwa Fundi Maiko ndugu yangu.
Nenda gereji ya maana au DT Dobie mkuu.
Vinginevyo akina fundi Maiko watakuagua mwishowe utalitelekeza gari.
Jambo la mwisho.
Kama usivyoweza kumwazima mtu mke wako au mpenzi wako, kadhalika gari bora uonekane mchoyo.
 
Nimenunua BMW 5 series 2006 kwa mtu ikiwa fresh nimeendesha kama mwezi ilikua poa mpaka nilipompa jamaa alikuwa na safari ya Bagamoyo aliporudi nikaichukua kuendesha kidogo nikaona kama nakanyaga sana mafuta gari haiendi nimeenda kwa fundi akasema shida plug nikanunua zikafungwa baada ya kuendesha naona mambo ni yale yale nikamuuliza fundi mwingine kasema nibadilishe pump, sijawahi kumiliki BMW before naomba uzoefu wenu wadau kabla sijanunua tena fuel pump.
Bmw huwa haitengenezwi kwa Fundi Maiko ndugu yangu.
Nenda gereji ya maana au DT Dobie mkuu.
Vinginevyo akina fundi Maiko watakuagua mwishowe utalitelekeza gari.
Jambo la mwisho.
Kama usivyoweza kumwazima mtu mke wako au mpenzi wako, kadhalika gari bora uonekane mchoyo
 
Benz huwa haitengenezwi kwa Fundi Maiko ndugu yangu.
Nenda gereji ya maana au DT Dobie mkuu.
Vinginevyo akina fundi Maiko watakuagua mwishowe utalitelekeza gari.
Jambo la mwisho.
Kama usivyoweza kumwazima mtu mke wako au mpenzi wako, kadhalika gari bora uonekane mchoyo
Na yeye hajasema ni Benz,amenunua BMW
 
Nimenunua BMW 5 series 2006 kwa mtu ikiwa fresh nimeendesha kama mwezi ilikuwa poa mpaka nilipompa jamaa alikuwa na safari ya Bagamoyo aliporudi nikaichukua kuendesha kidogo nikaona kama nakanyaga sana mafuta gari haiendi nimeenda kwa fundi akasema shida plug nikanunua zikafungwa baada ya kuendesha naona mambo ni yale yale nikamuuliza fundi mwingine kasema nibadilishe pump, sijawahi kumiliki BMW before naomba uzoefu wenu wadau kabla sijanunua tena fuel pump.
Ipeleke kwenye diagnosis machine. Bila shaka itakuwa sensor ya oksjen
 
Bila shaka ugonjwa uliomfanya mmiliki wa awali auze gari yake utakuwa umeanza jionesha...

Usimiliki hayo madude kama wewe:
1. Mvivu au Huna mapenzi na kufuatilia ishu za magari
2. Pesa ni ya kubangaiza
3. Huna gari mbadala
 
Nimenunua BMW 5 series 2006 kwa mtu ikiwa fresh nimeendesha kama mwezi ilikuwa poa mpaka nilipompa jamaa alikuwa na safari ya Bagamoyo aliporudi nikaichukua kuendesha kidogo nikaona kama nakanyaga sana mafuta gari haiendi nimeenda kwa fundi akasema shida plug nikanunua zikafungwa baada ya kuendesha naona mambo ni yale yale nikamuuliza fundi mwingine kasema nibadilishe pump, sijawahi kumiliki BMW before naomba uzoefu wenu wadau kabla sijanunua tena fuel pump.
Mpwa hizo ni sensa tu, nenda pale Sinza Kumekucha Kuna yule Kijana atakufanyia diagnosis na atazirekebisha. Rudisha plug zake original, utanikumbuka
 
Back
Top Bottom