Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 4,486
- 8,098
wamekwambia bei gani mkuuNimeondoka nayo boss nimepewa bei za pump used kwa kweli narudi kwenye vitz ya wife
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wamekwambia bei gani mkuuNimeondoka nayo boss nimepewa bei za pump used kwa kweli narudi kwenye vitz ya wife
Bmw huwa haitengenezwi kwa Fundi Maiko ndugu yangu.Nimenunua BMW 5 series 2006 kwa mtu ikiwa fresh nimeendesha kama mwezi ilikua poa mpaka nilipompa jamaa alikuwa na safari ya Bagamoyo aliporudi nikaichukua kuendesha kidogo nikaona kama nakanyaga sana mafuta gari haiendi nimeenda kwa fundi akasema shida plug nikanunua zikafungwa baada ya kuendesha naona mambo ni yale yale nikamuuliza fundi mwingine kasema nibadilishe pump, sijawahi kumiliki BMW before naomba uzoefu wenu wadau kabla sijanunua tena fuel pump.
Pole mkuu, magari mazuri spare zake sio bei ya mashaka, BMW ni gari nzuri sana jichange taratibu utafute pump nyingine tena mpyaNimeondoka nayo boss nimepewa bei za pump used kwa kweli narudi kwenye vitz ya wife
Hahaha, Toyota ipi ndio shidaI love TOYOTA.
YESU KRISTO NI BWANA NA MWOKOZI
Bmw huwa haitengenezwi kwa Fundi Maiko ndugu yangu.Nimenunua BMW 5 series 2006 kwa mtu ikiwa fresh nimeendesha kama mwezi ilikua poa mpaka nilipompa jamaa alikuwa na safari ya Bagamoyo aliporudi nikaichukua kuendesha kidogo nikaona kama nakanyaga sana mafuta gari haiendi nimeenda kwa fundi akasema shida plug nikanunua zikafungwa baada ya kuendesha naona mambo ni yale yale nikamuuliza fundi mwingine kasema nibadilishe pump, sijawahi kumiliki BMW before naomba uzoefu wenu wadau kabla sijanunua tena fuel pump.
[emoji3][emoji3] awe na note book ndogo,ili ajaze namba za mafundiMimi nimeelewa hapo uliposema umenunua gari kwa Mtu,Mengine Sijui...Nakushauri uwe na notebook ndogo.
Na yeye hajasema ni Benz,amenunua BMWBenz huwa haitengenezwi kwa Fundi Maiko ndugu yangu.
Nenda gereji ya maana au DT Dobie mkuu.
Vinginevyo akina fundi Maiko watakuagua mwishowe utalitelekeza gari.
Jambo la mwisho.
Kama usivyoweza kumwazima mtu mke wako au mpenzi wako, kadhalika gari bora uonekane mchoyo
Na Gharama ili mwisho wa Mwaka Ajumlishe,kisha alete mrejesho hapa![emoji3][emoji3] awe na note book ndogo,ili ajaze namba za mafundi
Asante nimerekebishaNa yeye hajasema ni Benz,amenunua BMW
Ipeleke kwenye diagnosis machine. Bila shaka itakuwa sensor ya oksjenNimenunua BMW 5 series 2006 kwa mtu ikiwa fresh nimeendesha kama mwezi ilikuwa poa mpaka nilipompa jamaa alikuwa na safari ya Bagamoyo aliporudi nikaichukua kuendesha kidogo nikaona kama nakanyaga sana mafuta gari haiendi nimeenda kwa fundi akasema shida plug nikanunua zikafungwa baada ya kuendesha naona mambo ni yale yale nikamuuliza fundi mwingine kasema nibadilishe pump, sijawahi kumiliki BMW before naomba uzoefu wenu wadau kabla sijanunua tena fuel pump.
Mpwa hizo ni sensa tu, nenda pale Sinza Kumekucha Kuna yule Kijana atakufanyia diagnosis na atazirekebisha. Rudisha plug zake original, utanikumbukaNimenunua BMW 5 series 2006 kwa mtu ikiwa fresh nimeendesha kama mwezi ilikuwa poa mpaka nilipompa jamaa alikuwa na safari ya Bagamoyo aliporudi nikaichukua kuendesha kidogo nikaona kama nakanyaga sana mafuta gari haiendi nimeenda kwa fundi akasema shida plug nikanunua zikafungwa baada ya kuendesha naona mambo ni yale yale nikamuuliza fundi mwingine kasema nibadilishe pump, sijawahi kumiliki BMW before naomba uzoefu wenu wadau kabla sijanunua tena fuel pump.
Mnaijua BMW lakini? Halitaki Fundi MichaelI love TOYOTA.
YESU KRISTO NI BWANA NA MWOKOZI
Naaaam kwa Toyota kila goti litapigwa [emoji23]Nimeondoka nayo boss nimepewa bei za pump used kwa kweli narudi kwenye vitz ya wife