Nashindwa kulielewa hili gari

Umetumia scraper

Pole sana

Mtatuelewa tunaotumia Corolla
 
mmmh! kuna watu wamenunua used wanaishi nazo zaidi ya miaka mitano. Hizo gari zingekuwa mbovu hatari kweli zingekuwa sokoni hadi leo ?
Maumivu wanayopitia huwezi jua,hizo brands labda uwe unatumia kama weekend car ila sio daily drivers. Ingia YouTube mcheki hooves garage,Scott kilmer au the car wizard for more info.
 
Maumivu wanayopitia huwezi jua,hizo brands labda uwe unatumia kama weekend car ila sio daily drivers. Ingia YouTube mcheki hooves garage,Scott kilmer au the car wizard for more info.
Upo sahihi na haupo sahihi pia. Hao youtube ni maoni yao hatuwezi wapinga. Ila pia kuna watu wana hizo hizo gari used wana enjoy hazina shida yoyote na wapo zinazo wapiga matukio kila kukicha .. Hatuwezi hitimisha kwa kusema Audi, BMW sijui benz ni vichomi hatari..
 
Wkt unainunua hio bimmer ulikua ukiambiwa khs Parts unasema kwa sauti kibabe huku ukijipiga piga kifua 'Dunia Ni kijiji nitaagiza online',πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„.

Pambana mkuu
Hahahah ndio wale wale wa "Tatizo wabongo mmekariri Toyota tu" πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Gari ya mzungu haina shida spea za kumwaga tu sikuhizi
 
We si ununue obd2 ufanye diagnosis kutumia computer
 
Naaaam kwa Toyota kila goti litapigwa [emoji23]

Rudi kundini dingii

Sent using Jamii Forums mobile app
Tukiwa bado kwenye TOYOTA, Kutokana na Bei ya mafuta, nimeamua ku switch kwenda Toyota. Kuna mtu amefika Bei Corolla 111 na Alteza. Naomba changamoto za hizi gari kabla zijaingia Cha kike.
Natanguliza shukrani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…