ISO M.CodD
JF-Expert Member
- Feb 17, 2013
- 7,845
- 16,942
Mnawapaje watu magari wakayatumie tu kirahisi?
U-wana hauna limit?
Anyway ngoja ninunue la kwangu nione kama nitawaazima washkaji, ila huwa siazimi gari la mtu naishi mdani ya mipaka yangu