Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu.300k
Ila kuna watu wanapenda kuazimana magari kama nguo,mimi kwakweli huo mzuka sina.Kwa mtu ambaye ameipenda gari yake,inapotokea issue kama ya mleta mada unaweza hata kukosa usingizi...
Muda si mrefu utalipuka mkuu..Imezima mitaa ya vingunguti nikawasha, nikama haitaki niachie mafuta sana kwahiyo kwenye kona niingie mazima ndani nasikia petrol harufu
Kumbe ulikuwa unavimba ahaaaaa....Bado nipo ndani ya gari nimekaa sijala na siskii njaa haya magari yanazingua asikwambie mtu nimepongezwa sana ofisini sijui naingiaje kesho nilimtetemesha mpaka HR ila lazima nitengeneze no way
Baadhi ya Mitanzania sijui akili ziko wapi, yaani zinapenda vitu used.Nimeondoka nayo boss nimepewa bei za pump used kwa kweli narudi kwenye vitz ya wife
Imezima mitaa ya vingunguti nikawasha, nikama haitaki niachie mafuta sana kwahiyo kwenye kona niingie mazima ndani nasikia petrol harufu
Fuel pump hiyoImezima mitaa ya vingunguti nikawasha, nikama haitaki niachie mafuta sana kwahiyo kwenye kona niingie mazima ndani nasikia petrol harufu
Bei gani kiongozi?Nimeondoka nayo boss nimepewa bei za pump used kwa kweli narudi kwenye vitz ya wife
Amepigwa na kitu kizito Sana [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]wamekwambia bei gani mkuu
Mbona mafundi wa hizo gari sasa hivo wengi sana, mie nimeisha wahi aribikiwa na gari ya muingereza wilaya moja , nilichofanya nilisimami kila anachofanya fundi na gari ikawa poa haikuleta shida tena.. changamoto ya hizo gari ni spare parts mafundi wengineasa hiviMnaijua BMW lakini? Halitaki Fundi Michael
Hahahahahah Toyota ni kama kwa MkapaNimeondoka nayo boss nimepewa bei za pump used kwa kweli narudi kwenye vitz ya wife
Wkt unainunua hio bimmer ulikua ukiambiwa khs Parts unasema kwa sauti kibabe huku ukijipiga piga kifua 'Dunia Ni kijiji nitaagiza online',😄😄😄😄.Nimeondoka nayo boss nimepewa bei za pump used kwa kweli narudi kwenye vitz ya wife
X-Mas time,mti lazima uwake Sana.Imezima mitaa ya vingunguti nikawasha, nikama haitaki niachie mafuta sana kwahiyo kwenye kona niingie mazima ndani nasikia petrol harufu