Nashindwa kulielewa hili gari

Nashindwa kulielewa hili gari

Ila kuna watu wanapenda kuazimana magari kama nguo,mimi kwakweli huo mzuka sina.Kwa mtu ambaye ameipenda gari yake,inapotokea issue kama ya mleta mada unaweza hata kukosa usingizi...

Bado nipo ndani ya gari nimekaa sijala na siskii njaa haya magari yanazingua asikwambie mtu nimepongezwa sana ofisini sijui naingiaje kesho nilimtetemesha mpaka HR ila lazima nitengeneze no way
 
Bado nipo ndani ya gari nimekaa sijala na siskii njaa haya magari yanazingua asikwambie mtu nimepongezwa sana ofisini sijui naingiaje kesho nilimtetemesha mpaka HR ila lazima nitengeneze no way
Kumbe ulikuwa unavimba ahaaaaa....
Hutakiwi kuipark hiyo gari tengeneza ili heshima yako uliyoitengeneza hapo ofisini ibaki vilevile.
 
Mnaijua BMW lakini? Halitaki Fundi Michael
Mbona mafundi wa hizo gari sasa hivo wengi sana, mie nimeisha wahi aribikiwa na gari ya muingereza wilaya moja , nilichofanya nilisimami kila anachofanya fundi na gari ikawa poa haikuleta shida tena.. changamoto ya hizo gari ni spare parts mafundi wengineasa hivi
 
Back
Top Bottom