Nashindwa kulielewa hili gari

Nashindwa kulielewa hili gari

Upo sahihi na haupo sahihi pia. Hao youtube ni maoni yao hatuwezi wapinga. Ila pia kuna watu wana hizo hizo gari used wana enjoy hazina shida yoyote na wapo zinazo wapiga matukio kila kukicha .. Hatuwezi hitimisha kwa kusema Audi, BMW sijui benz ni vichomi hatari..
Tazama bei ya BMW, Benz, Audi zilizotumika Japan, USA halafu England kisha fananisha na being za Lexus same model and year. Utashangaa sana kwanini hizo za mjerumani depreciation yake ni kama mtu kadondosha jiwe toka ghorofani.

Pia tazama JD website ya huko marekani kuhusu reliability ya car brands,kwenye top 3 lazima utamkuta Toyota/Lexus, Hyundai/Kia group na the rest.

Hao jamaa niliopendekeza uwacheki YouTube ni mafundi nguli wa Magari huko marekani . Wanatoa elimu bure ili kusaidia ndugu zao wasifanye maamuzi ya kujutia wanaponunua Magari. Pata elimu ya bure kabla hujaamua kununua gari itakayokupa pressure kila siku.
 
Tazama bei ya BMW, Benz, Audi zilizotumika Japan, USA hatari England kisha fananisha na being za Lexus same model and year. Utashangaa sana kwanini hizo za mjerumani depreciation yake ni kama mtu kadondosha jiwe toka ghorofani.
Screenshot_2022-06-28-10-23-10-195_com.android.chrome.jpg
Screenshot_2022-06-28-10-22-37-097_com.android.chrome.jpg
 
tazama JD website ya huko marekani kuhusu reliability ya car brands,kwenye top 3 lazima utamkuta Toyota/Lexus, Hyundai/Kia group na the rest.

Wimbo wenu wa taifa huwa ni reliability hamna kitu kingine zaidi ya hicho. Hizo gari zinaonekana sio reliable kwasababu hazikutengezwa kila mtu awe mmiliki. Ndio maana pia kaangalie most expensive car ndio utaelewa nini namaanisha hapa.. kama mtu atanunua gari zaidi ya £ 100,000 huwezi zungumzia issue hiyo ya relliability.. ila pangu pakavu unaweza muelezea hizo point
 
Wimbo wenu wa taifa huwa ni reliability hamna kitu kingine zaidi ya hicho. Hizo gari zinaonekana sio reliable kwasababu hazikutengezwa kila mtu awe mmiliki wa hizo gari. Na ndio maana ni wachache walio nazo.. Ukifanya kutafuta rate mwenye mengi ataonekana reliable kuliko mwenye chache. Mwenye chache anajulikana kwasababu hakuzitoa kila mtu anunue au awe nayo
Ngoja nikupe mfano mmoja labda utanielewa maana hatari Mimi nilikua mbishi kama wewe. Nimemiliki German car na nilikua na Pesa ya spare parts na service lakini ilikua inashinda zaidi garage kuliko nyumbani kwangi kwa miaka 2.

Rafiki yangu msauzi mjini Johannesburg alikua amemaliza mkataba wa corolla akawa anataka kuchukua SUV. Wenzetu Sauz hawanunui gari mpya kwa cash,ni contract ya miaka 5-7.

Akaniomba nimsindikize kwenye Hyundai/KIA dealership akaulizie akacheki SUV zao . Kufika pale tukakuta Benz,BMW kibao na Audi chache,ikabidi mi niulize jamani nyie no dealers wa hizi German brands pia? Kumbuka pale wanauza gari mpya tu na exclusive Kia/Hyundai.

Marketing officer hajaniambia hizo German brands wateja wamekuja kufanya trade in baada ya warranty kuisha na kuchuku eidha kia au Hyundai. Ipo hivi Merc,Benz, Audi wanampa mteja warranty ya km 60000 kwa miaka Kitano toka anaponunua gari.

Maana yake service zinafanywa na wao,repairs pia nk. Warranty ikiisha maana hata mkopo umemaliza so service ni juu yako. Bila warranty hizo gari ni kichomi maana rate ya breakdown baada ya 60000 km ni kubwa mno. Parts na service in ghali kweli.

Mteja anaamua kwenda kia/Hyundai au Toyota dealership kufanya trade in. Wao wanaithaminisha ile gari na kuichukua kama sehemu ya malipo ya gari Mpya watakayo mpa mteja. Unakuta thamani yake hatari sio kubwa sana ,kisha wao wataiuza kwa being ya kawaida cash bila warranty kwa mteja ambae yupo tayari kubeba huo msalaba.

Halafu hapa bongo mtu unaagiza Mercedes au BMW out of warranty yenye umri zaidi ya miaka 10,unatarajia nini kama sio kichomi na pressure?

Maajabu ni kwamba kampuni kama KIA, Hyundai, Toyota wanatoa unlimited km on motor na gearbox kwa miaka 7 kama mtu amechukua mpya.
 
Utanunua vitu mpaka kichwa kikuume.

Usikute ni mafuta tu ya kidebe yamewekwa humo.

Hizo gari zinakuwa sensitive kutrigger trouble codes au kuwasha dashboard lights siyo kama gari za kijapani sijui ni kwanini watu mnakimbilia ramli.

Anza na uliyemuazima gari, kuna nini kilifanyika, aliweka mafuta wapi! n.k.

Ukitoka hapo tafuta mashine ya Diagnosis ufanye diagnosis.
Sawasawa
 
Ngoja nikupe mfano mmoja labda utanielewa maana hatari Mimi nilikua mbishi kama wewe. Nimemiliki German car na nilikua na Pesa ya spare parts na service lakini ilikua inashinda zaidi garage kuliko nyumbani kwangi kwa miaka 2.

Rafiki yangu msauzi mjini Johannesburg alikua amemaliza mkataba wa corolla akawa anataka kuchukua SUV. Wenzetu Sauz hawanunui gari mpya kwa cash,ni contract ya miaka 5-7.

Akaniomba nimsindikize kwenye Hyundai/KIA dealership akaulizie akacheki SUV zao . Kufika pale tukakuta Benz,BMW kibao na Audi chache,ikabidi mi niulize jamani nyie no dealers wa hizi German brands pia? Kumbuka pale wanauza gari mpya tu na exclusive Kia/Hyundai.

Marketing officer hajaniambia hizo German brands wateja wamekuja kufanya trade in baada ya warranty kuisha na kuchuku eidha kia au Hyundai. Ipo hivi Merc,Benz, Audi wanampa mteja warranty ya km 60000 kwa miaka Kitano toka anaponunua gari.

Maana yake service zinafanywa na wao,repairs pia nk. Warranty ikiisha maana hata mkopo umemaliza so service ni juu yako. Bila warranty hizo gari ni kichomi maana rate ya breakdown baada ya 60000 km ni kubwa mno. Parts na service in ghali kweli.

Mteja anaamua kwenda kia/Hyundai au Toyota dealership kufanya trade in. Wao wanaithaminisha ile gari na kuichukua kama sehemu ya malipo ya gari Mpya watakayo mpa mteja. Unakuta thamani yake hatari sio kubwa sana ,kisha wao wataiuza kwa being ya kawaida cash bila warranty kwa mteja ambae yupo tayari kubeba huo msalaba.

Halafu hapa bongo mtu unaagiza Mercedes au BMW out of warranty yenye umri zaidi ya miaka 10,unatarajia nini kama sio kichomi na pressure?

Maajabu ni kwamba kampuni kama KIA, Hyundai, Toyota wanatoa unlimited km on motor na gearbox kwa miaka 7 kama mtu amechukua mpya.
Point yako ni ipi ( point kuu hasa ni ipi ? ) hazifai hizo gari, wasichukue used ? ila jua kuna watu wana used wanaishi nazo miaka na miaka. Na ka zingekuwa hizo hari kama unavyo zielezea hapa viwanda vyake vingekuwa closed
 
Ulivyo nunua kwa mtu uliwahi kuiendesha safar ndefu ya zaid ya Km 200 non stop..?
Huyu uliyemuazima gari alivyo kurudishia ulimuuliza kama kajaza mafuta au kakutana na changamoto yoyote au ndio ulipokea gari ukaingiza ndani kimya kimya..?
Kuna jamaa kwenye comment #7 nenda kasome vzuri alicho andika na ukifanyie kazi nina uhakika ni mtaalam wa hizo BMW fanyia kazi ushaur wake...
Sema nini hizi European Cars sio za kununua kutoka kwa Mtanzania mwenzako better kuagiza ukiona gharama endelea kuishi na akina Toyota... Gari ni mke haizimwi kwa mtu usiyemjua uaminifu wake
 
Hahahah ndio wale wale wa "Tatizo wabongo mmekariri Toyota tu" 😂😂😂 Gari ya mzungu haina shida spea za kumwaga tu sikuhizi
Tatizo pesa. Wanavamia magari wasiyoyaweza. Fuel pump zipo brand new aweke mezani hapa 580,000/- aletewe kitu cha Bosch. BMW inaharibika unaenda kuhangaila Ilala na Kariakoo bila kujua unaenda wapi lazima uje kulia humu. Na wahuni watakwambia subiri hapa wataingia chocho watakupiga bei mara tano.
 
Tukiwa bado kwenye TOYOTA, Kutokana na Bei ya mafuta, nimeamua ku switch kwenda Toyota. Kuna mtu amefika Bei Corolla 111 na Alteza. Naomba changamoto za hizi gari kabla zijaingia Cha kike.
Natanguliza shukrani.
Acha ujinga!!!Chukua hiyo Corolla.
 
Ngoja nikupe mfano mmoja labda utanielewa maana hatari Mimi nilikua mbishi kama wewe. Nimemiliki German car na nilikua na Pesa ya spare parts na service lakini ilikua inashinda zaidi garage kuliko nyumbani kwangi kwa miaka 2.

Rafiki yangu msauzi mjini Johannesburg alikua amemaliza mkataba wa corolla akawa anataka kuchukua SUV. Wenzetu Sauz hawanunui gari mpya kwa cash,ni contract ya miaka 5-7.

Akaniomba nimsindikize kwenye Hyundai/KIA dealership akaulizie akacheki SUV zao . Kufika pale tukakuta Benz,BMW kibao na Audi chache,ikabidi mi niulize jamani nyie no dealers wa hizi German brands pia? Kumbuka pale wanauza gari mpya tu na exclusive Kia/Hyundai.

Marketing officer hajaniambia hizo German brands wateja wamekuja kufanya trade in baada ya warranty kuisha na kuchuku eidha kia au Hyundai. Ipo hivi Merc,Benz, Audi wanampa mteja warranty ya km 60000 kwa miaka Kitano toka anaponunua gari.

Maana yake service zinafanywa na wao,repairs pia nk. Warranty ikiisha maana hata mkopo umemaliza so service ni juu yako. Bila warranty hizo gari ni kichomi maana rate ya breakdown baada ya 60000 km ni kubwa mno. Parts na service in ghali kweli.

Mteja anaamua kwenda kia/Hyundai au Toyota dealership kufanya trade in. Wao wanaithaminisha ile gari na kuichukua kama sehemu ya malipo ya gari Mpya watakayo mpa mteja. Unakuta thamani yake hatari sio kubwa sana ,kisha wao wataiuza kwa being ya kawaida cash bila warranty kwa mteja ambae yupo tayari kubeba huo msalaba.

Halafu hapa bongo mtu unaagiza Mercedes au BMW out of warranty yenye umri zaidi ya miaka 10,unatarajia nini kama sio kichomi na pressure?

Maajabu ni kwamba kampuni kama KIA, Hyundai, Toyota wanatoa unlimited km on motor na gearbox kwa miaka 7 kama mtu amechukua mpya.
Sijui kama watakuelewa hao mapimbi wanaonunua magari kwa sifa bila uelewa wowote.

Kuna aina za gari ni stress kuliko hata nyumba ndogo!!
 
Hahahahaha daaah we jamaa unafurahisha sana..
 
Sijui kama watakuelewa hao mapimbi wanaonunua magari kwa sifa bila uelewa wowote.

Kuna aina za gari ni stress kuliko hata nyumba ndogo!!
Unahitaji uelewa gani katika kununua gari ?

Hakuna gari ambayo ni stress, mtu kama hama hela anaanza singizia gari, ni vyema kupita kushoto kama mfuko unapepea kama mawimbi ya redio, unachukua kinachofanana na wewe. Kila siku wenye hela zao wananunua hizo BMW , RR , Benz hawana hizo ngonjera zenu ..
 
Back
Top Bottom