Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 17,080
- 33,076
Ni gari ya kibabe sana ile...Velar ina muonekano flani wa kuvutia sana, ile gari. Ukiitazama unaitamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni gari ya kibabe sana ile...Velar ina muonekano flani wa kuvutia sana, ile gari. Ukiitazama unaitamani
ila watu wana hela, kuna mshkaji ana hiyo gari alikuwa anaenda nayo site porini ikafa, wakaitoa wakaiweka yard, akavuta ingine nyeusi akaiua nayo huko site, majuzi kati naona kashusha SVR mpya acha yeye swala la TRA halimuuzi kichwa acha tu 😄😄😄 anaagiza tuNi gari ya kibabe sana ile...
Wabongo wana kauli moja; Anakuuliza hii gari ni imara, haisumbui na spare zinapatikana..??mmbovu ni mfuko wa mtu sio gari 😄😄😄. Yangekuwa mabovu tusingeziona mtaani na viwanda vingekuwa vimekufa
Porini kuna hela wacha atumie pesa kupata pesa...sensor zake zipo sensitive sana kuzima ikipata vumbi kwa muda mrefu kawaida tuuila watu wana hela, kuna mshkaji ana hiyo gari alikuwa anaenda nayo site porini ikafa, wakaitoa wakaiweka yard, akavuta ingine nyeusi akaiua nayo huko site, majuzi kati naona kashusha SVR mpya acha yeye swala la TRA halimuuzi kichwa acha tu 😄😄😄 anaagiza tu
Wewe una mshikaji mwenye hela siyo?ila watu wana hela, kuna mshkaji ana hiyo gari alikuwa anaenda nayo site porini ikafa, wakaitoa wakaiweka yard, akavuta ingine nyeusi akaiua nayo huko site, majuzi kati naona kashusha SVR mpya acha yeye swala la TRA halimuuzi kichwa acha tu [emoji1][emoji1][emoji1] anaagiza tu
hapana sina ! Unasemaje ?Wewe una mshikaji mwenye hela siyo?
Sasa hilo mbona liko wazi tena wabongo au wewe riziwani uko ulaya out of touch na reality? Of course watu wanataka usafiri ila wanataka spea rahisi kwani huo ni muujiza kwa nchi maskini kama Tanzania? Au nyie mna hela mnashangaa mtanzania kuona gari za Europe zinagharama kwenye spea? Huo ndiyo ukweli.Wabongo wana kauli moja; Anakuuliza hii gari ni imara, haisumbui na spare zinapatikana..??
Hapo anamaanisha; hii gari naweza kuendesha kilomita 100 kila siku kwa miaka mitatu mfululizo bila kusumbua zaidi ya kumwaga oil kwa 50k tu.. Na ikiharibika kwa bahati mbaya spare niwe nachagua pale kariakoo nakuta spare ya 5000, 10000 na 15000.
Hili ndio tatizo kubwa la wabongo, naona sasahivi wametoka kwenye Nissan hazifai wameingia kwenye European Cars hazifai. Siku spare za European Cars zikiwa za kuokota pale Kariakoo basi wataacha malalamiko..
Ungesema tu kuna jamaa, kumbe mshikaji wakohapana sina ! Unasemaje ?
Inakuhusu nini mbona una kama tabia za kike kike kuvamia watu ? Utachezea koki sio unashoboka bila mipakaUngesema tu kuna jamaa, kumbe mshikaji wako
Mkuu spare ya BMW ni vyema ukaagiza ebay. Make sure part number ipo sahihi na ya kwako. Spare za BMW Tz ziko over priced kwasababu wanaamini wenye hizo gari wana pesa za kutosha. Mfano mimi ninayo ya 2011 BMW 3 series shock absorber hapa bongo wanauza seti ya mbele milioni 3. Ila niliagiza ebay original tena mpya kbs kwa laki 9 pamoja na ushuru. So check option B usiwe na haraka. La mwisho usiazime mtu gari kama hiyo ambayo mafuta yake lzm uweke Total na oil yake lzm iwe Castrol. Pole.kusema kweli naipenda sana hii gari ila imenivunja moyo sana iko vizuri sana kimwonekano ntairudia tu siku moja, naipenda sana interior na body shape nilikua najiona mtu kuiendesha lakini pia niliuziwa kwa exchange na mark x
Ultimate Driving Machine..!Mnyama sana huyu View attachment 2276151
Land locked na maskini kutuzidi kama DRC, Zambia na Malawi wanasukuma ndinga za Europe bila makelele, ila wabongo sasa, tena wenzetu wanaendesha latest cars sio sisi gari ya 2006 mtu anaita new modelSasa hilo mbona liko wazi tena wabongo au wewe riziwani uko ulaya out of touch na reality? Of course watu wanataka usafiri ila wanataka spea rahisi kwani huo ni muujiza kwa nchi maskini kama Tanzania? Au nyie mna hela mnashangaa mtanzania kuona gari za Europe zinagharama kwenye spea? Huo ndiyo ukweli.
Hata mimi huwa hainiingii akilini kumwazima mtu gari, maana gari ina adapt kutokana na uendeshaji. Sasa ikipata mwendeshaji mpya inakuwa kama inabakwa.Aisee pole sana, gari haiazimwi maana kila mtu ana uendeshaji wake tofauti, ni bora umpe na dereva wako
Inaonekana una tabia za kushobokea sana wanaume wenye magari ya bei mbaya. Utapakatwa kwenye magari. Eti mshkaji ana velar, SVR autobiography. Big boys[emoji23] utaliwa wewe.Inakuhusu nini mbona una kama tabia za kike kike kuvamia watu ? Utachezea koki sio unashoboka bila mipaka
Ona ulivyo hayawani.. ID yako ina reflect ni aina gani ya mtu. Pole sana kwa mzazi alie kuzaa ilo bao bora angechomoa akamwagia chini sio kwa hasara kama wewe aliyo ileta dunianiInaonekana una tabia za kushobokea sana wanaume wenye magari ya bei mbaya. Utapakatwa kwenye magari. Eti mshkaji ana velar, SVR autobiography. Big boys[emoji23] utaliwa wewe.
Magari ya ulaya either ni soft sana au hatujui kuyatunza.Wabongo wana kauli moja; Anakuuliza hii gari ni imara, haisumbui na spare zinapatikana..??
Hapo anamaanisha; hii gari naweza kuendesha kilomita 100 kila siku kwa miaka mitatu mfululizo bila kusumbua zaidi ya kumwaga oil kwa 50k tu.. Na ikiharibika kwa bahati mbaya spare niwe nachagua pale kariakoo nakuta spare ya 5000, 10000 na 15000.
Hili ndio tatizo kubwa la wabongo, naona sasahivi wametoka kwenye Nissan hazifai wameingia kwenye European Cars hazifai. Siku spare za European Cars zikiwa za kuokota pale Kariakoo basi wataacha malalamiko..
Gharama si zilezile tu kama wana hela je wasinunue? Ishu iko pale pale spea bei ghali iwe dar au lubumbashi. Kote kuna wenye hela na walalahoi.Land locked na maskini kutuzidi kama DRC, Zambia na Malawi wanasukuma ndinga za Europe bila makelele, ila wabongo sasa, tena wenzetu wanaendesha latest cars sio sisi gari ya 2006 mtu anaita new model
Hasara wanayo wazazi waliyekuzaa wewe chawa wa kushobokea wanaume wenye magari ya bei ghaliOna ulivyo hayawani.. ID yako ina reflect ni aina gani ya mtu. Pole sana kwa mzazi alie kuzaa ilo bao bora angechomoa akamwagia chini sio kwa hasara kama wewe aliyo ileta duniani
😄😄😄😄 Kachezee koki, maana naona ndio kitu kinafanya uendelee kuishi hapa duniani..Hasara wanayo wazazi waliyekuzaa wewe chawa wa kushobokea wanaume wenye magari ya bei ghali