Nashindwa kulielewa hili gari

Nashindwa kulielewa hili gari

Ni gari ya kibabe sana ile...
ila watu wana hela, kuna mshkaji ana hiyo gari alikuwa anaenda nayo site porini ikafa, wakaitoa wakaiweka yard, akavuta ingine nyeusi akaiua nayo huko site, majuzi kati naona kashusha SVR mpya acha yeye swala la TRA halimuuzi kichwa acha tu 😄😄😄 anaagiza tu
 
mmbovu ni mfuko wa mtu sio gari 😄😄😄. Yangekuwa mabovu tusingeziona mtaani na viwanda vingekuwa vimekufa
Wabongo wana kauli moja; Anakuuliza hii gari ni imara, haisumbui na spare zinapatikana..??

Hapo anamaanisha; hii gari naweza kuendesha kilomita 100 kila siku kwa miaka mitatu mfululizo bila kusumbua zaidi ya kumwaga oil kwa 50k tu.. Na ikiharibika kwa bahati mbaya spare niwe nachagua pale kariakoo nakuta spare ya 5000, 10000 na 15000.

Hili ndio tatizo kubwa la wabongo, naona sasahivi wametoka kwenye Nissan hazifai wameingia kwenye European Cars hazifai. Siku spare za European Cars zikiwa za kuokota pale Kariakoo basi wataacha malalamiko..
 
ila watu wana hela, kuna mshkaji ana hiyo gari alikuwa anaenda nayo site porini ikafa, wakaitoa wakaiweka yard, akavuta ingine nyeusi akaiua nayo huko site, majuzi kati naona kashusha SVR mpya acha yeye swala la TRA halimuuzi kichwa acha tu 😄😄😄 anaagiza tu
Porini kuna hela wacha atumie pesa kupata pesa...sensor zake zipo sensitive sana kuzima ikipata vumbi kwa muda mrefu kawaida tuu
 
ila watu wana hela, kuna mshkaji ana hiyo gari alikuwa anaenda nayo site porini ikafa, wakaitoa wakaiweka yard, akavuta ingine nyeusi akaiua nayo huko site, majuzi kati naona kashusha SVR mpya acha yeye swala la TRA halimuuzi kichwa acha tu [emoji1][emoji1][emoji1] anaagiza tu
Wewe una mshikaji mwenye hela siyo?
 
Wabongo wana kauli moja; Anakuuliza hii gari ni imara, haisumbui na spare zinapatikana..??

Hapo anamaanisha; hii gari naweza kuendesha kilomita 100 kila siku kwa miaka mitatu mfululizo bila kusumbua zaidi ya kumwaga oil kwa 50k tu.. Na ikiharibika kwa bahati mbaya spare niwe nachagua pale kariakoo nakuta spare ya 5000, 10000 na 15000.

Hili ndio tatizo kubwa la wabongo, naona sasahivi wametoka kwenye Nissan hazifai wameingia kwenye European Cars hazifai. Siku spare za European Cars zikiwa za kuokota pale Kariakoo basi wataacha malalamiko..
Sasa hilo mbona liko wazi tena wabongo au wewe riziwani uko ulaya out of touch na reality? Of course watu wanataka usafiri ila wanataka spea rahisi kwani huo ni muujiza kwa nchi maskini kama Tanzania? Au nyie mna hela mnashangaa mtanzania kuona gari za Europe zinagharama kwenye spea? Huo ndiyo ukweli.
 
kusema kweli naipenda sana hii gari ila imenivunja moyo sana iko vizuri sana kimwonekano ntairudia tu siku moja, naipenda sana interior na body shape nilikua najiona mtu kuiendesha lakini pia niliuziwa kwa exchange na mark x
Mkuu spare ya BMW ni vyema ukaagiza ebay. Make sure part number ipo sahihi na ya kwako. Spare za BMW Tz ziko over priced kwasababu wanaamini wenye hizo gari wana pesa za kutosha. Mfano mimi ninayo ya 2011 BMW 3 series shock absorber hapa bongo wanauza seti ya mbele milioni 3. Ila niliagiza ebay original tena mpya kbs kwa laki 9 pamoja na ushuru. So check option B usiwe na haraka. La mwisho usiazime mtu gari kama hiyo ambayo mafuta yake lzm uweke Total na oil yake lzm iwe Castrol. Pole.
 
Sasa hilo mbona liko wazi tena wabongo au wewe riziwani uko ulaya out of touch na reality? Of course watu wanataka usafiri ila wanataka spea rahisi kwani huo ni muujiza kwa nchi maskini kama Tanzania? Au nyie mna hela mnashangaa mtanzania kuona gari za Europe zinagharama kwenye spea? Huo ndiyo ukweli.
Land locked na maskini kutuzidi kama DRC, Zambia na Malawi wanasukuma ndinga za Europe bila makelele, ila wabongo sasa, tena wenzetu wanaendesha latest cars sio sisi gari ya 2006 mtu anaita new model
 
Inaonekana una tabia za kushobokea sana wanaume wenye magari ya bei mbaya. Utapakatwa kwenye magari. Eti mshkaji ana velar, SVR autobiography. Big boys[emoji23] utaliwa wewe.
Ona ulivyo hayawani.. ID yako ina reflect ni aina gani ya mtu. Pole sana kwa mzazi alie kuzaa ilo bao bora angechomoa akamwagia chini sio kwa hasara kama wewe aliyo ileta duniani
 
Wabongo wana kauli moja; Anakuuliza hii gari ni imara, haisumbui na spare zinapatikana..??

Hapo anamaanisha; hii gari naweza kuendesha kilomita 100 kila siku kwa miaka mitatu mfululizo bila kusumbua zaidi ya kumwaga oil kwa 50k tu.. Na ikiharibika kwa bahati mbaya spare niwe nachagua pale kariakoo nakuta spare ya 5000, 10000 na 15000.

Hili ndio tatizo kubwa la wabongo, naona sasahivi wametoka kwenye Nissan hazifai wameingia kwenye European Cars hazifai. Siku spare za European Cars zikiwa za kuokota pale Kariakoo basi wataacha malalamiko..
Magari ya ulaya either ni soft sana au hatujui kuyatunza.

Jamaa yangu anafanya kazi za kuvuta magari mabovu sana sana kutoka mikoani. Anakwambia gari anazovuta mara kwa mara ni Audi Q7, VW Touareg, Discovery 3 na 4. Kwa ufupi ni vimeo, hakuna siku utasikia Prado imefia mkoani inaitaji kuvutwa 😂😂😂
 
Land locked na maskini kutuzidi kama DRC, Zambia na Malawi wanasukuma ndinga za Europe bila makelele, ila wabongo sasa, tena wenzetu wanaendesha latest cars sio sisi gari ya 2006 mtu anaita new model
Gharama si zilezile tu kama wana hela je wasinunue? Ishu iko pale pale spea bei ghali iwe dar au lubumbashi. Kote kuna wenye hela na walalahoi.
 
Ona ulivyo hayawani.. ID yako ina reflect ni aina gani ya mtu. Pole sana kwa mzazi alie kuzaa ilo bao bora angechomoa akamwagia chini sio kwa hasara kama wewe aliyo ileta duniani
Hasara wanayo wazazi waliyekuzaa wewe chawa wa kushobokea wanaume wenye magari ya bei ghali
 
😄😄😄😄 Kachezee koki, maana naona ndio kitu kinafanya uendelee kuishi hapa duniani..
 
Back
Top Bottom