cold water
JF-Expert Member
- Oct 6, 2021
- 238
- 954
Jamani nashindwa Ku mblock x wangu moja kwa moja kila ni ki mblock nakaa siku chache na mu unblock tuna mtoto mmoja.
Napenda nimkomeshe status kwa kumpost mpenzi wangu mpya na vijembe tu natakaga a view!
Mtoto anaishi nae.
Napenda nimkomeshe status kwa kumpost mpenzi wangu mpya na vijembe tu natakaga a view!
Mtoto anaishi nae.