wachawi watu bundi mtumwa
Senior Member
- Feb 18, 2024
- 101
- 145
Hakuna namna utamtenganisha mama na Binti yake, hilo ulielewe , kama unaoa elewa unaoa familia ipi na ukubaliane na changamoto za hiyo familia , huyo Binti unapaswa kumuoa kwanza ulimharibia masomo hata ungekuwa wewe ukae miaka 2 bila kusoma halafu urudishwe shule ungefaulu? Hormonal imbalance inatibika vizuri hospitaliini pia Kuna dawa za mitishamba za kuregulate hormones , anywe maji mengi, apate lishe ya kutosha hasa protein atakaa sawa, mtu mwenye hormonal imbalance anasumbuliwa sana na maumivu ya tumbo, mgongo nk na mara nyingi hukumbwa na pressure ya kushuka, na anaweza asipate ujauzito au akipata ujauzito unampa matatizo sana anakuwa mtu wa kuumwaumwq tu , pia kutoa mimba kunaweza kuathiri mfumo wa uzazi