Nashindwa kumsamehe Magufuli kwa hili


huu ni utawala awami ya 6 au akili yako ina njaa???

umesahau sabaya amefungwa!!!hata mbowe yuko kizimbani.

why not waliomshambulia lissu??
 
Mkuu hiyo nature yake unayoizungumzia ni ipi?!
 
So alikaa kimya tu, hata gharama za matibabu yake alizuia na kumuamulu kubwa la mazuzu kumfukuza ubunge na maslahi yake yote ya kibunge. Mjamaa hakustahili kuwa kiongozi wa nchi, ameacha maumivu kwa raia wengi sana. Mjamaa alikuwa sawa na shetani ndio maana watu wengi sana walifurahia mauti yake isipokuwa Musiba, Bashiru, Polepole na Sabaya
 
Kuna reason behind
 
Mayala hebu ukuje huku
 
Huyu ng'ombe aliwadanganya maccm kuwa yeye ataenda kuwa kiongozi wa malaika na wakaanza kumuabudu na mpaka sasa wanaamini magufuli ni Mungu na wanajua yuko km kiongozi anawaongoza malaika
 
Huyu fisi ndo alitaka kumuua mh lisu Wala ilo sio mjadala jamaa kilikuwa katiri sana.ila mwenyezi mungu nadhani alituletea ili liuaji akiwa na maana yake
 
Wewe husiongee Kama umekatwa kichwa ndg yangu ok hajafanya Ivo alishindwa Nini kukamata wauaji?Nani alitoa CCTV camera ?wewe jamaa acha kuliongelea ilo jamaa linaweza fufuka kilikuwa katiri la kutisha
 
huu ni utawala awami ya 6 au akili yako ina njaa???

umesahau sabaya amefungwa!!!hata mbowe yuko kizimbani.

why not waliomshambulia lissu??
Siku ni moja yenye usiku na mchana nyingi,.......
 
Je sijawahi kuona mkilalamika kifo cha chacha wangwe na mauaji ya viongozi wa ccm kibiti, rufiji, pamoja na mauaji ya polisi au Tundu lisu ndio binadamu peke yake
 
Msamehe,usiposamehe wewe pia hutasamehewa,lakini pia hakuna ushahidi kuwa magu ndio alimpiga risasi lisu

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
NAKUHAKIKISHIA NILILIOTA HILO TUKIO LA LISSU NINA UHAKIKA NI SERIKALI ILIHUSIKA.
Nakumbuka siku hiyo niliota kuwa nipo kwenye mkutano wa kisiasa watu walikuwa wamejaa uwanjani akaja magufuli na samia. Mama samia akatoa bunduki akanipga risasi nyingi mguu wa kulia zaidi. Nikamwambia kwann unaniua akasema unatusumbua sana hatuna raha. Mara watu wakaja pale akaona aibu akasema bahati yako.

Nilipoamka nikaona mguu wangu wa kulia una ganzi nikawasimulia watu wengi tu ile ndoto .siku hyo hyo jioni ikatangazwa lissu amepigwa risasi dodoma. Hivi hatakama ni wewe hapo utaona nani mhusika.
Mimi hata lissu angesema serikali haihusiki ningekataa mashahdi niliowasimulia ndoto mpaka leo wananiogopa wananiita nabii.
 
Muulize Sirro, Sasa magu aanze kuingilia kazi za kipelezi kwa mda gani?
Yaye alikuwa Rais na angeamrisha uchunguzi wa polisi uwe haraka nani angebisha? Kwani polisi si ni mhimili mmoja na serikali sasa utasemaje anaingilia wakati huyo IGP yupo chini yake.

Ingekuwa ni suala la mahakama ama bunge hapo ungesema kweli anaingilia mhimili mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…