Nashindwa kumsamehe Magufuli kwa hili

Nashindwa kumsamehe Magufuli kwa hili

kwani kufanyika uchunguzi ni lazima mhusika aliyeshambuliwa awepo!? Si wangetoa report kwanini walinzi wotehawakuwepo nani aliwaondoa? Kama tundu lissu angekufa polisi wangemuuliza nani.
Yani polisi kufanya kaz mpaka mhusika awepo je kama mhusika alitengeneza tukio kuchafua serikali huoni kama bado kuna haja ya kuchunguza na kutoa report
Yeyote anayemtetea mwendazake ni ibilisi.Hivi hata mtu asiye na taaluma ya upelelezi anaweza shindwa kujumlisha moja na moja kuwa 2? Alikuwa ana maanisha nini aliposema "vita ya kiuchumi ni mbaya sana na msaliti wanajua wanajeshi huwa anafanywa nini...".Siku si nyingi risasi zikaunguruma. Labda zezeta ndiyo haelewi.
 
Kila sehemu anasifika. Mbona kwetu huku hatutaki hata kumsikia kutokana na ukatili wake uliovika mipaka. Jomba huyo alikuwa ibilisi huoni Sasa hata mjane ananenepa?

kwenu wapi huko wasikomifu magufuli!!!!
 
Ttzo akil yko fupi , rais atazungumziaj jamb kiofisi wakati mhusika au watu wake wa karibu hawajatoa taarifa rasmi bungeni , na ndio maana na yy rais alitoa pole huko huko mitandaoni Lissu alikopeleka taarifa
Well said bro.
 
Kila binadamu yoyote mwenye roho wa Mungu ndani yake ataumizwa na tukio lile, na ikitokea kama kuna aliyefurahi basi huyo ana roho wa shetani!

Ni kweli, sababu pekee ya kutofanyika jambo lolote ni kwasababu tukio hilo limeshuhudiwa live na mashuhuda wawili muhimu, ambao mpaka sasa, wamegoma kata kata kutoa ushirikiano kwa vyombo vya uchunguzi. Shambulizi la Lissu: Wanaomdhania dereva anahusika sio wajinga, Wana hoja za msingi. Je, anahusika?

Kama huu ndio msingi wa wewe kutomsamehe Magufuli, nakushauri tafuta nauli, kama huna, kopa, nenda Chato, kwenye kaburi lake, upige magoti, umuombe msamaha!.
Baada ya shambulio lile, Rais JPM, hakukaa kimya!.

Kwa vile hakukaa kimya, nakushauri nenda kamuombe msamaha marehemu!.
Kumsingizia marehemu kuna karma mbaya!.

Lissu alishambuliwa na watu wasiojulikana ambao mpaka leo hawajajulikana.

Nakushauri usihukumu usije ukahukumiwa! Tuacheni Ramli Chonganishi: Tusihukumu, Tusije Tukahukumiwa!. "Karma Ndio Pekee Hutoa Hukumu ya Haki Hapa Duniani!.
P

In no way, one can be apologetic for the role of Magufuli in Lissu’s failed assassination bid. It’s an open book. We live in reality. We call a spade a spade, period.

The attitude and conduct of the State in the Lissu saga was entirely despicable! And the shameful campaign of the police/state to heap blame on the victim of such blatant cruelty for their failure to investigate and prosecute is incomprehensible!
 
In criminal liabilities, we don't work on assumptions, we have to be certain, with evidence beyond reasonable doubt.
Don't assume, be sure!.
P
 
Kila binadamu yoyote mwenye roho wa Mungu ndani yake ataumizwa na tukio lile, na ikitokea kama kuna aliyefurahi basi huyo ana roho wa shetani!

Ni kweli, sababu pekee ya kutofanyika jambo lolote ni kwasababu tukio hilo limeshuhudiwa live na mashuhuda wawili muhimu, ambao mpaka sasa, wamegoma kata kata kutoa ushirikiano kwa vyombo vya uchunguzi. Shambulizi la Lissu: Wanaomdhania dereva anahusika sio wajinga, Wana hoja za msingi. Je, anahusika?

Kama huu ndio msingi wa wewe kutomsamehe Magufuli, nakushauri tafuta nauli, kama huna, kopa, nenda Chato, kwenye kaburi lake, upige magoti, umuombe msamaha!.
Baada ya shambulio lile, Rais JPM, hakukaa kimya!.

Kwa vile hakukaa kimya, nakushauri nenda kamuombe msamaha marehemu!.
Kumsingizia marehemu kuna karma mbaya!.

Lissu alishambuliwa na watu wasiojulikana ambao mpaka leo hawajajulikana.

Nakushauri usihukumu usije ukahukumiwa! Tuacheni Ramli Chonganishi: Tusihukumu, Tusije Tukahukumiwa!. "Karma Ndio Pekee Hutoa Hukumu ya Haki Hapa Duniani!.
P

Yule mtu sio wa kumuomba msamaha bali inatakiwa tumuombe Mungu ampe adhabu kali zaidi huko alipo, yule mtu hata kama hutaki hausishwe na tukio lile lakini kafanya mengi mabaya ya kuumiza watu ikiwemo kufungulia watu mashtaka ya uongo ya uhujumu uchumi ili tu kuwakomoa na kudhulumu pesa zao.
Nadhani Mungu alikusudia kumuumba kuwa mnyama lakini ndio hivyo kazaliwa katika umbo la mwanadamu.
 
In criminal liabilities, we don't work on assumptions, we have to be certain, with evidence beyond reasonable doubt.
Don't assume, be sure!.
P
Yeah, fortunately, this is Jukwaa la Siasa where we exchange "real" stuff that happen to luckily drop by into our knowledge troves. There's no obligation to put our exchanges to legal or juridical tests. It's not a court of law. We simply cross-check facts for truth and authenticity. Inside-knowledge, logic and conventional wisdom are the main tools of analysis.

Lissu's incident is a clear-cut case of blatant state cruelty and terrorism that can't be simply explained away by crafty spins. Serious investigative and litigation efforts are owing on the part of the state.
 
Samia alienda kumuona lissu alimpa pia salamu za rais..
Mkuu mbona huhoji hata uongozi uliopo sasa bado umekaa kimya kuhusu tukio hilo..?
Mkuu Kama utakuwa umenielewa vyema swali lako nishalijibu Soma komenti yangu ya Kwanza.
Unajua kilichompata Samia baada ya kumuona Lissu Kenya? Unajua Nini kilimpata balozi wa Tz ubeligiji baada ya kwenda kumuona Lissu?
 
Hv ulitaka rais aende kufungua kesi ya Lissu kupigwa risasi wakti , mhusika na watu wake wa karibu hawakutaka kuonesha ushirikino kwa serikali , pia ni watu wabgapi wamepotea nchini hapa je wote kawapoteza Magufuri ? yaan kila anaepotea au kufa Chadema basi ni Magufuri ? ina maana kabla ya Magu , wanachama wa Chadema hawakuwai kukutwa na dhahama yyte ? Kuhusu maiti unajisahalisha swala la kibiti , unahisi serikali iliwaondoa wale jamaa kwa kuwaimbia ngonjera ? kuna muda waafrika tupunguze kuishi kwa uvumi bali tujitahidi kuongea mambo tuliyo na ushahidi nayo na si mtu kajisikia kumshutumu fulani basi ndo tunalibeba kama lilivyo na kuanza kulitumia mtaji kwenye siasa zetu , by the way mm sio ccm ila kuna vitu ukiniambia naona kama unanidharau Lissu kapigwa risasi tunamnyooshea Magufuri kidole ( kwa ushaidi upi ? Analalamika kutofanywa uchunguz , tutafanyaj uchunguz wkt hata muhanga wa tukio hataki ushirikiano na chombo husika ) WAAFRIKA TUNATUMIKA KIMCHONGO KUSHIBISHA MATUMBO YA WATU WACHACHE ndio maana walevi wa uchadema , uccm au u act huwa nawaona wapumbav tu stori zao nyingi ni za kusadikika na mihemko bila kujali usalama wa raia wema wasiojihusisha na siasa chafu na ukiwaomba ushaidi wengi wao wanaishia kukujibu vibaya maana hawana ushaidi wa wakiongeacho , Yangu ni hayo Muraa , tushikamane tulijenge Taifa. UCCM na UCHADEMA HAUTOTULISHIA WATOTO ZETU
Pole Sana mkuu kwa uelewa mdogo,

Ushirikiano gani polisi wanahitaji? Alitoa taarifa mapema toka Yuko Dsm na plate namba za gari alitaja, je polisi walijibu lolote? Walichukua hatua yoyote?

Tuseme Lissu angekufa, uchunguzi usingefanyika kisa amekufa?

Kila kitu kipo wazi, na Lissu alishasema kuhusu huo ushirikiano mnaodai , polisi Hakuna lolote walilofanya zaidi ya kupoteza ushahidi makusudi,

Watu tunahusisha watawala ktk lile tukio kwa sababu nyingi tu

1)Lissu alitoa taarifa mapema lkn zilipuuzwa na kutofanyiwa kazi

2) Tukio lilifanyika sehemu ya Serikali, yenye ulinzi mkali masaa 24 , kwanini ulinzi ulitolewa kwa muda ambao Lissu anashambuliwa?

3) CCTV camera kwanini zilitolewa baada ya tukio?

4) Kwanini Rais, Makamu, Waziri Mkuu au Waziri husika hawakutoka hadharani na kutoa tamko Kali na kulaani lile tukio, kutangaza uchunguzi haraka?
Maana Kuna kiongozi wa Uvccm kule Njombe aliuwawa Rais alitoka na kulaani haraka Sana, akaagiza kukamatwa na sheria ichukue hatamu, baada ya siku moja tu polisi wakasema wamewakamata wale viongozi wa Chadema kwamba wamehusika na mauaji, ( uonevu juu ya uonevu)

5) kwanini viongozi wa CCM walikatazwa kujihusisha na Hali ya Lissu, onyo Kali lilitolewa,

Yule balozi sokoine aliishia kufukuzwa kabisa kazi
6) kwanini bunge lilizuia stahiki zake?

Hii Ni mifano tu michache ya hoja kwanini tunasema Mwendazake alihusika!!
 
Upeo wko mfupi mno na upinzani imekuua akili , Lissu mwenyewe ndo alikata na kujiweka mbali na serikali , na utaratibu uko hv , mbunge atapewa haki za kibunge iwapo katoa taarifa bungeni pili kahudumiwa ndani ya nchi kisha hospitali husika ikajilizisha anaitajika aende nje ndo kibali kinatolewa serikalini ili akatibiwe nje ila Lissu alifanya mambo km nchi ni ya babu yake , ni kosa kubwa mno kwa mtu anaeijua sheria na taratibu za nchi kisha anataka kutumia ttzo lke km mtaji wa kujipeleka ikulu , watu mliamishia akili zote kwa Magufur kana kwamba Lissu hana madui wa kimaisha mtaani
Unatetea ujinga, na bilashaka Ni kundi lilelile la wanyonya damu,

Unajifanya kujua kumbe [emoji706][emoji706],

Kipindi Lissu anatolewa Tz kwenda Kenya Kaka ake aliandika barua na kufuata taratibu zote,
Je ulitaka mgonjwa maututi aandike barua? Yule Ndugai aliandika barua? Nenda bungeni idara ya mkutubi tafuta barua ya Job kwenda India km utaipata,

Lissu alitoa taarifa polisi DSM, kwa maandishi na maneno pia aliongea zaidi ya Mara moja!!

Lakini sikushsngai maana unajua unachokifanya
 
Nakubaliana na wewe kiroho safi wahusika watoe ushirikiano kwanza ndio waanze kuilaumu serikali
Ushirikiano upi inahitajika? Unamtaka dereva wa Nini? Vitu vingine ujinga mtupu!!

CCTV camera zilikuwepo, je wameshindwa kufatilia? Walitoa ili watu wasione Nini kilitokea,
 
Hv ungekuwa rais ungeweza kujigawa ufanye ubaya na kuamulu kila ubaya kila mkoa ? Kuna tunaonesha unyani wa hali ya juu , yaan makosa ya mgambo unaenda kusema alitumwa na RPC , akili fupi sana , ktk maelezo yako yote sijaona neno rais ila mwisho kweny lawama unamshishia rais kana kwamba aliwatuma
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] aisee kadiri unavyoandika ndivyo unaonyesha ujinga na rangi yako halisi,

Nilijua walau upo kwenye system lkn kumbe hamna kitu,
Unajua Task force ya Kingai ili compile suicide square ya Aina gani?

Unajua watu waliokuwa spotted?

Punguza ujuaji wa kijiweni!!! Enzi za magu task force ilikuwa zaidi ya jeshi, polisi,tiss
 
I declare interest Mimi sio mwanachadema kabisa kabisa lakini nikiwa kama mtanzania mwenye akili timamu nikifikiria tukio la Tundu Lissu kushambuliwa kwa risasi pale Dodoma ile 2017 naumia mno.

Kushambuliwa kwa binadamu kama mnyama mchana kweupe kwenye majengo ya serikali inaumiza saana, lakini kinachouma zaidi ni kwamba hakuna hata mtu mmoja alieshikiliwa wala kuhojiwa shameful, tutawaambia nini watoto wetu huko baadae.

Kitendo cha Magufuli Rais wa nchi Amiri jeshi mkuu mfariji mkuu kukaa kimya bila kujitokeza hadharani na kukemea lile tukio liliniumiza mno kwa nature ya Magu aliwezaje kukaa kimya what was behind the scenes

Je angeshambuliwa Polepole kama Lissu je mzee angekaa kimya? Lissu alipigwa risasi na nani, nani aliwatuma, kwa maslahi ya nani ili iweje nikikumbuka hili tukio hata unitajie mema mia ya John siwezi kuyaona

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Ukikalia kile kiti ni tofauti sana na hicho cha counter au sebleni kwako,note me wisely
 
Kila binadamu yoyote mwenye roho wa Mungu ndani yake ataumizwa na tukio lile, na ikitokea kama kuna aliyefurahi basi huyo ana roho wa shetani!

Ni kweli, sababu pekee ya kutofanyika jambo lolote ni kwasababu tukio hilo limeshuhudiwa live na mashuhuda wawili muhimu, ambao mpaka sasa, wamegoma kata kata kutoa ushirikiano kwa vyombo vya uchunguzi. Shambulizi la Lissu: Wanaomdhania dereva anahusika sio wajinga, Wana hoja za msingi. Je, anahusika?

Kama huu ndio msingi wa wewe kutomsamehe Magufuli, nakushauri tafuta nauli, kama huna, kopa, nenda Chato, kwenye kaburi lake, upige magoti, umuombe msamaha!.
Baada ya shambulio lile, Rais JPM, hakukaa kimya!.

Kwa vile hakukaa kimya, nakushauri nenda kamuombe msamaha marehemu!.
Kumsingizia marehemu kuna karma mbaya!.

Lissu alishambuliwa na watu wasiojulikana ambao mpaka leo hawajajulikana.

Nakushauri usihukumu usije ukahukumiwa! Tuacheni Ramli Chonganishi: Tusihukumu, Tusije Tukahukumiwa!. "Karma Ndio Pekee Hutoa Hukumu ya Haki Hapa Duniani!.
P

Usingeibuka kwenye huu uzi kumtetea ngosha mwenzako ningebadili kabila...

Unasemaje ishu ya kugoma kugharamia matibabu na baadae kumtimua ubunge na kumnyima stahiki zake?
 
Back
Top Bottom