Nashindwa kumsamehe Magufuli kwa hili

Nashindwa kumsamehe Magufuli kwa hili

Toa huo unaouita uchadema & uccm turudi kwenye reality. Kwamba kweli alikuwa hajulikani alipo ?!. Yoote yana mwisho , hata Maghufuli leo kaiacha ofisi , ni wengine tena ambao asingependa wafaidi leo ndiyo wanaofaidi.

Mataifa yaliopiga hatua kabisa , viongozi wao hawana sababu za kukataa kukosolewa , wala hawanganganii uongozi . Tatizo lina nchi zetu masikini kiuongozi
unaezaj kuthibitisha JPM aling'ang'ania madaraka ? Unaezaj kuthibithisha kuwa JPM alikataa kukosolewa?
 
We ndo haujielewi na ushabiki kwa jiwe ndo unakusumbua. Suala la uchunguzi wa tukio kama hilo na sehemu nyeti kama hiyo ni jukumu la vyombo vya dola kufanya vyovyote wawezavyo kwa taaluma zao kufanya uchunguzi maana hili litakuwa ni kwa maslahi ya usalama wa nchi, kinyume chake watakuwa wanajua kinachoendelea.

Aliyekwambia kuwa tukio la Lissu halikuripotiwa police ni nani?. Acha utetezi wa kijuha.
Lete nakala ya report ya polisi
 
Bwana njaa ww ni fala tu. Magufuli alitaka kummua Lissu. Hicho kitweet wala sio chake ni wasaidizi wake wakizuga. Kaa na nja yako ya mpka kichwani
Magufuli was a devil. period!
Ulikwepo kipindi wasaidiz wanaiandika? chadema wengi tunaendeshwa na chuki na sio akili zetu timamu , kuna vitu unavijibu hata mtu timamu anaamua kucheka tu
 
Naona ni hitimisho kwa kuandika hivi, Magufuli alishiriki shambulizi dhidi ya lissu. Uenyeji wangu hapa nchini uliniwezesha kuona behaviours za serekali Juu ya tukio hilo, hata sasa inavyo endelea kulihanndle ni tabu tupu. Kama nimeweza kuona tabia za serekali tangu tukio lilipotokea hivyo, kushindwa kuhitimisha kwa kuihusisha serekali ya Magu kunafanya ubinadamu wangu kuwa questionable.
Bahati yako ID yako inafichwa ila ww ndo ungekuwa kituko cha 2021 , yaan uenyeji ndo inakupa hukumu , ni akil au matope mkuu
 
Yule jamaa alikua mnafiki,Muongo grade 1.

Sikuwahi kumuamini hata mara moja kwa kauli zake baada ya kuona matendo yake...

Anaongea na mahisia yake kuwadanganya wenzie!

Mtu anafuata Kanuni za “Power “ bila kujua kuwa he is also a human being and he will die!

Njia nzuri ya kumtesa adui wako wa kisiasa siyo Kuua asee! Hasira huisha then nini hufuta kama Siyo majuto... You can teach people hata kupitia kesi ambayo hajui atatoka au la sometimes adi anafungwa then unakuja muachia

Unamkamata unampa onyo au anafungwa asijue atatok lini lakini siyo Kuua binadamu mwenzio!

Hata kumtesa binadamu mwenzio akatoka manundu siyo ubinadamu ni unyama na kutostaarabika

Nina wasiwasi kam huyu jamaa ataiona mbingu asee hata kam sijui eti alifanya kitubio sijui nini ila duu amekufa na majuto...


Watu wenye Roho mbaya vile ni kam wachawi na Huhangaika Sana hadi waje kuikata roho, wengine hadi Hunya ndipo wafe!

Ewe Mkuu yeyote usisahau kuwa na wewe ni Mtu/ Binadamu kama mwengine yeyote Mtu.

Kuua Binadamu mwenzio ni kujifanya wewe Siyo binadamu ni Zaidi yao kumbe wapi...
Ili kuepusha madaraka kuwapanda kichwani na kujiona Miungu, wafalme wa Dola ya Rumi walikua wanaajili mtu ambaye kazi yake ilikua kumkumbusha Mfalme kuwa ni binadamu na atakufa..

Mtumishi huyo alikua anatamka maneno “ you’re Mortal Cesar , You are Mortal Cesar, You are Mortal cesar “ hasa mfalme anapokua ameshinda vita au amefanya jambo la kishujaa”

Mfalme anae jua kuwa ipo siku atakufa humuepusha na kufanya mambo ya kipumbavu kama mengi aliyoyafanya Bwana Yule...

Usiue,Usiue!
MzilanKENDE alifanya yale mambo ili huko ustaafuni aje aseme anajutia.

Wanasiasa hufanya mambo ya kipuuzi ili siku wakiona wanakaribia kufa waje na mavitabu yao wanaseme wanajutia kufanya hivi na vile .

Ila MzilanKENDE hakuwa binadamu yule
 
Nimekufuatilia humu. Nimeona wewe ndiyo hujielewi na umekalia ushabiki . Tukio kama la hamza liliripotiwa wapi ?!. Mbona uchunguzi umefanyika na kauli POLISI imetoka !! Iwe Je hili la Lissu aliyeperekwa Nairobi akiwa amezimia hajitambui, mpaka arudi aripoti tukio polisi , ndo ahudumiwe ?!


Umezungumzia makada waliouliwa mwanza. Unasahau Ukerewe, Nyamongo , ifakara, hananasifu, mbeya etc wameuliwa wanaCdm kibao . NANI ALIJALI ?!
Sasa unaezaj fananisha tukio la hamza na tundu lissu au Tundu lissu alishika bunduki akaanza kushambulia watu , mbona Chadema siku hz kuna watu wapuuzi sana , kwa matukio ya hamza tunamuweka kwenye kundi la magaidi maana alikuwa anashambulia watu kwa misimamo yake ambayo haikujulikana ila Tundu ni muhanga wa kushambuliwa , Kwa Hamza ni lazima uchunguze sababu lazima ujiulize kajifunzia wapi training za kutumia silaha pili analikuwa ana malengo gani? na Tatu kujuwa background ili isije akawepo mwingine wa mwenye itikadi km zake , Ila Tundu Lissu inasemekana alishambuliwa hadharani maana mbali na Tundu hakuna hata shuhuda mwingine alieenda kutoa taarifa polisi . BADO HUJAELEWA TU
 
Nimekufuatilia humu. Nimeona wewe ndiyo hujielewi na umekalia ushabiki . Tukio kama la hamza liliripotiwa wapi ?!. Mbona uchunguzi umefanyika na kauli POLISI imetoka !! Iwe Je hili la Lissu aliyeperekwa Nairobi akiwa amezimia hajitambui, mpaka arudi aripoti tukio polisi , ndo ahudumiwe ?!


Umezungumzia makada waliouliwa mwanza. Unasahau Ukerewe, Nyamongo , ifakara, hananasifu, mbeya etc wameuliwa wanaCdm kibao . NANI ALIJALI ?!
NYONGEZA: taarifa siyo lazima Tundu hata Wanafamilia au uongoz wa chama chake
 
Bahati yako ID yako inafichwa ila ww ndo ungekuwa kituko cha 2021 , yaan uenyeji ndo inakupa hukumu , ni akil au matope mkuu
Ndugu mwennye akili nyingi tena zisizo matope kama uanvyo jiona, ninaposema "uenyeji wangu" unaelewa nini?..........common sense is not common!
 
camera alizitoa magufuli.

sio jeshi ni magufuli ndiye alizuia ibada za kumtibu lissu.

magufuli aliliagiza bunge lisimlipie matibabu,mpaka mbowe alimpomtishia magufuli kumpiga,ndipo ndugai akatoa hela.

ni magufuli ndiye mwenye mamlaka ya kutoa camera,jengo lolote.
Hope umefurahi sasa au vipi????
kwahiyo Mbowe angempiga JPM ? yaani ile elite chadema ndo bye bye , siku chama kina mazuzu tu
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] aisee kadiri unavyoandika ndivyo unaonyesha ujinga na rangi yako halisi,

Nilijua walau upo kwenye system lkn kumbe hamna kitu,
Unajua Task force ya Kingai ili compile suicide square ya Aina gani?

Unajua watu waliokuwa spotted?

Punguza ujuaji wa kijiweni!!! Enzi za magu task force ilikuwa zaidi ya jeshi, polisi,tiss
Tamthilia ya blacklist zinawadangany sana , yaan kila kitu mnahisi real , sitak kujitambulisha so muhimu sn ila amin mtu yyt anaeweza kuwa na access ya hizo taarifa nyeti huez kumkuta humu jf akiropoka tu , wengi wenu ni form 6 leavers ndo mnakuja kusumbua watu huku , bure kbs
 
Mimi simtetei mtu kwasababu ni kabila langu, namtetea kwa haki only pale anapoonewa au kusingiziwa.

Kuna utaratibu wa referrals za serikali, baada ya kupatiwa huduma ya kwanza pale Dodoma hospital, ni madaktari wa pale ndio walipaswa kutoa referrals ya ama ahamishiwe MOI, ama apelekwe nje ya nchi, tena kwa case yake ya mifupa, a angekuwa referred Ujerumani kwa mabingwa wa mifupa!.

Uamuzi wa kumhamishia Nairobi hospital ulifanywa kisiasa bila kufuata the laid down government referrals procedures, hivyo serikali was right kugomea kugharimia matibabu on governmental reasons, but bado ingeweza kugharamia on humanitarian reasons lakini unajua sababu

Hapa sasa tujifunze kutenganisha mihimili, Bunge ni Mhimili, lina taratibu zake na halingiliwi!. Ule ni uamuzi wa Bunge, usimsingizie marehemu!.

Ila kwa vile Mkuu wa Mhimili wa Bunge ni sahiba na Mkuu wa The Executive, kama walipigiana simu wenyewe wakaambiana, hili sio letu, ila mwisho wa siku si matokeo tumeyaona!. Msimshutumu marehemu kwa makosa ambayo sio yake!.
p
Yaan wafuas wa chadema wanaendeshwa na chuki ya 2020 election , kuna vitu wanaongea havimake sense yaan
 
Let us be realistic hivi kweli yale alotendewa lissu kuanzia kushambuliwa mpka kufutwa ubunge John hakua na mkono hata kidg, shida yangu inakuja why John hakuwahi kukemea chochote kati ya haya, haya mambo tunayoambiana kila mhimili una kazi yake this is theory mkuu, km John alimwambia ndugai washughulikie bungeni wakitoka nje ntamalizana nao haikua amri hii kweli, tukitak kulijenga taifa letu tuacheni mahaba

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
fuatilia posts za huko juu watu washajibu hayo maswali yako
Kiufupi

1.Bunge halikuwa na taarifa rasmi ya maandishi ya Hali ya Tundu Lissu

2.Tundu Lissu aliushutumu serikali na kutotaka kutoa ushirikiano ktk uchunguz wa kesi yake hivyo mshutumiwa kuendelea kujisogeza kwa Tundu incase angefariki basi anazithibisha kauli za Tundu kuwa yeye ndo muhusika wa lile tukio na ndio maana JPM alitoa pole kwenye Tweets only
 
Kipindi hicho kuikosoa serikali wewe ni mwanaume kweli au mwanamke kweli kweli.
Inshu sio kukosoa inshu ni kuongea ukwel , wakosoaji wengi ndo wale wanapinga brt , ununuzi wa ndege ( ili tuendele kuyanufaisha mashirika ya kigeni) , ujenz wa bwawa la umeme eti tunaua viumbe hai kana kwamba wao hawalagi nyama sijui hizo nyama zinaota shambani , pia hao hap wakosoaji ndo wale walipinga sgr
 
Sasa kwanini una shindwa kutumia AKILI japo kidogo tu.?
kabla ya kushambuliwa lisu alitoa taarifa kuwa Kuna watu wanamfatilia.
lisu alikuwa anapiga mikataba ya madini,wakati ripoti ya madini inatoka ndo lisu alishambuliwa .
Nani asiyejua kuwa magufuli alikuwa hataki kukosolewa?mtu Kama huyo anashindwa vipi kutuma watu waje kukuua?
Sheria ipi ya madini alikuwa anaipinga Lissu
 
Huyu p ameshindwa kumiliki mke nani actamtilia maana I na mautumbo ya marefu.
Eti ushahidi lisu aliyeshambuliwa alisema muhusika mkuu ni magufuli case closed
Kwahyo na mm nkisema ww Shoga , inakuwa kweli ?
 
Ili mtu aweze kutumia hizo akili, japo kidogo, hatua ya kwanza ni akili hizo kidogo, ziwepo!. Hii maana yake ni akili kwanza ziwepo, zikiishakuwepo zipo, ndipo sasa zitumike. Ukitokea hata hizo kidogo hazipo, mtu kama huyo atumie nini?. Vitu vingine mnisamehe bure tuu, wengine hata hizo kidogo hazipo!.

Lissu ni mwanasheria nguli, mahiri, anajua ni wapi pa kutoa taarifa anapohisi usalama wake uko mashakani, na hili niliwahi kuuliza

Kuna vitu vingine wengine mnafanya kuvisikia tuu, mtu ukiishakuwa rais, lazima ukosolewe utake usitake. Mimi nimemsikia mwenyewe akisema hana tatizo na wakosoaji, mimi mwenyewe nilikuwa mkosoaji mkubwa wa JPM, kama ni kweli angeua wangapi?

Umemaliza vizuri, neno "anashindwa vipi" maana yake ni just assumptions. Don't assume, be certain!.
P
bro unapoteza muda na watu wajinga
 
Naongezea tu. He was also stupid. How will you do such evil actions and espect to be safe? It was just a matter of time.
Ushahid wa hizo shutuma zenu tunahitaji
 
Back
Top Bottom