4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,208
- 8,310
Nape ni ccm na Lissu ni chadema huoni tofauti hapo?Magu alitoa statement gani kufuatia tukio la Nape kutishiwa kupigwa risasi mchana kweupe? cc: Hamorapa
Nape ni ccm na Lissu ni chadema huoni tofauti hapo?Magu alitoa statement gani kufuatia tukio la Nape kutishiwa kupigwa risasi mchana kweupe? cc: Hamorapa
Wewe kweli ni mataga wa PhD, tukio ambalo hakuna hata ripoti moja iliyo rasmi unaona ugumu kuamini conspiracy na unataka uthibitisho ila tukio ambalo limetolewa ripoti nyingi zilizo rasmi unang'ang'ania kuamini conspiracy! Kalaghabao.Basi jishurutisheni ktk kudai uthibitisho na sio kusontea watu vidole huku hamna uthibitisho.
Ttzo watz mkisha nunua tecno mnajikuta kujua kila kitu , hujui maadili ya jeshi kaa kimya , Magu anakuzid kila kitu anajua mengi ya jeshi kuliko ww maana kapitia hukoSawa mkuu lakini mbona mkuu hakuonesha kuguswa hata kidogo, fikiria Mama Samia juzi alisemea kuhusu clip ya Askari aliekua anaisifia gongo na yule Askari amefukuzwa kazi vp kwa tukio km lile akikaa kimya nn maana yake
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Nakubaliana na wewe kiroho safi wahusika watoe ushirikiano kwanza ndio waanze kuilaumu serikaliHv ulitaka rais aende kufungua kesi ya Lissu kupigwa risasi wakti , mhusika na watu wake wa karibu hawakutaka kuonesha ushirikino kwa serikali , pia ni watu wabgapi wamepotea nchini hapa je wote kawapoteza Magufuri ? yaan kila anaepotea au kufa Chadema basi ni Magufuri ? ina maana kabla ya Magu , wanachama wa Chadema hawakuwai kukutwa na dhahama yyte ? Kuhusu maiti unajisahalisha swala la kibiti , unahisi serikali iliwaondoa wale jamaa kwa kuwaimbia ngonjera ? kuna muda waafrika tupunguze kuishi kwa uvumi bali tujitahidi kuongea mambo tuliyo na ushahidi nayo na si mtu kajisikia kumshutumu fulani basi ndo tunalibeba kama lilivyo na kuanza kulitumia mtaji kwenye siasa zetu , by the way mm sio ccm ila kuna vitu ukiniambia naona kama unanidharau Lissu kapigwa risasi tunamnyooshea Magufuri kidole ( kwa ushaidi upi ? Analalamika kutofanywa uchunguz , tutafanyaj uchunguz wkt hata muhanga wa tukio hataki ushirikiano na chombo husika ) WAAFRIKA TUNATUMIKA KIMCHONGO KUSHIBISHA MATUMBO YA WATU WACHACHE ndio maana walevi wa uchadema , uccm au u act huwa nawaona wapumbav tu stori zao nyingi ni za kusadikika na mihemko bila kujali usalama wa raia wema wasiojihusisha na siasa chafu na ukiwaomba ushaidi wengi wao wanaishia kukujibu vibaya maana hawana ushaidi wa wakiongeacho , Yangu ni hayo Muraa , tushikamane tulijenge Taifa. UCCM na UCHADEMA HAUTOTULISHIA WATOTO ZETU
Hv ungekuwa rais ungeweza kujigawa ufanye ubaya na kuamulu kila ubaya kila mkoa ? Kuna tunaonesha unyani wa hali ya juu , yaan makosa ya mgambo unaenda kusema alitumwa na RPC , akili fupi sana , ktk maelezo yako yote sijaona neno rais ila mwisho kweny lawama unamshishia rais kana kwamba aliwatumaMimi ni lile la Alphonce Mawazo, kucharangwa mashoka & mapanga na vijana wanaojulikana (wasiojulikana) mchana kweupe.
Mbaya zaidi askari wetu waliwafuata waombolezaji hospital Bugando kwenda kuwapiga mabomu ya machozi mochwari. Ili tu Mawazo asiombolezwe wala kusindikizwa kwa heshima. Mpaka mahakama iliporuhusu aagwe!!. Nilijiuliza ni nini anachokitaka bwana mkubwa ?!.
Kilichoudhi so called uvccm kwenda kuvuruga na kufukua kaburi lake . Mungu ni fundi tena stadi. [emoji24][emoji879]
Hii ni hasaraHakuzuiwa labda haukuwa unafuatilia , Lissu alikataa kuhudumiwa bongo na kibaya zaid akaona kenya sio sehemu sahihi pia akaenda ubelgiji na kumbuka dhamana ya serikali ni lazima uhudumiwe ndani ya nchi na kisha ikihitajika ndo unapewa kibali na serikali kwenda nje so ukiwa nje haki zako za kibunge zinatimizwa maana umetoka nje kwa taarifa rasmi , ila kwa kipindi chote anahudumiwa nje hakukuwai kupelekwa taarifa yake bungeni kuwa ana matatizo na ukumbuke serikali yyt duniani haijiendesha kwa vyombo vya habari au facebook au jf , hiyo ni pie hata Lissu angekuwa rais utaratibu ungekuwa huo huo so Lissu alikosea na anajuwa kisheria alikosea ila kisiasa alitaka kulitumia lile ttzo lke km mtaji wa uchaguz 2025 ila alikuwa kakosea kusoma upepo maana wenzie walimuwai kumpokonya jimbo ambalo ndo ilikuwa silaha kubwa kwake
Kila binadamu yoyote mwenye roho wa Mungu ndani yake ataumizwa na tukio lile, na ikitokea kama kuna aliyefurahi basi huyo ana roho wa shetani!
Ni kweli, sababu pekee ya kutofanyika jambo lolote ni kwasababu tukio hilo limeshuhudiwa live na mashuhuda wawili muhimu, ambao mpaka sasa, wamegoma kata kata kutoa ushirikiano kwa vyombo vya uchunguzi. Shambulizi la Lissu: Wanaomdhania dereva anahusika sio wajinga, Wana hoja za msingi. Je, anahusika?
Kama huu ndio msingi wa wewe kutomsamehe Magufuli, nakushauri tafuta nauli, kama huna, kopa, nenda Chato, kwenye kaburi lake, upige magoti, umuombe msamaha!.
Baada ya shambulio lile, Rais JPM, hakukaa kimya!.
Kwa vile hakukaa kimya, nakushauri nenda kamuombe msamaha marehemu!.
Kumsingizia marehemu kuna karma mbaya!.
Lissu alishambuliwa na watu wasiojulikana ambao mpaka leo hawajajulikana.
Nakushauri usihukumu usije ukahukumiwa! Tuacheni Ramli Chonganishi: Tusihukumu, Tusije Tukahukumiwa!. "Karma Ndio Pekee Hutoa Hukumu ya Haki Hapa Duniani!.
P
Kuwa na utata au kutokowa na utata sio kiini cha mjadala. Hata ripoti rasmi ya tukio la Lissu ingetolewa au ikitolewa lazima kuna watu au upande ambao kwao itabaki utata lakini jambo la muhimu lazima watu waonyeshe wamewajibika angalau kufanya kazi yao ya msingi.Hebu tuachane na hili mkuu maana hata huko kwenye nchi yao bado linautata licha ya kupita muda mrefu..
Utawala wa mama ukiisha utajiunga na wanamuenz Magu , ss Mama anwupiga mwingi si Ccm si Chadema , anasikiliziwa Lissu ajae kwenye 18 ili wamtie ndani na yy , Mama sio MaguWaliokuwa wanawinda wenzao kisasi kinawahusu. Yale mambo ya mara umemtukana rais sijui wewe msaliti ooh unahujumu au unashirikiana na mabeberu.
Lazima walipwe haki Yao. Maana jiwe hayupo tena.
Angalia picture ya sabaya akiwa msibani kwa magufuli alikuwa analia as if magufuli alikuwa baba yake. Kumbe walikuwa na mambo Yao.
Nchi ilikuwa inaelekea kubaya sana
Tangu lini serikali inagharamia matibabu ya wabunge?Unamuombea kwa Mwenyezi Mungu apone haraka huku ukizuia serikali yako isimlipie matibabu. Watu wanajikusanya kufanya maombi ya mpendwa wao apone wanapigwa. Unamuombea kwa Mwenyezi Mungu huku ukizuia wabunge wa CCM na wanachama wengine wa CCM wasiende kumuona unayemuombea kwa Mwenyezi Mungu?
Bila shaka Mungu alijibu maombi.
Naamini umeni quote mimi kimakosaNape ni ccm na Lissu ni chadema huoni tofauti hapo?
Hii ni hasaraUpeo wko mfupi mno na upinzani imekuua akili , Lissu mwenyewe ndo alikata na kujiweka mbali na serikali , na utaratibu uko hv , mbunge atapewa haki za kibunge iwapo katoa taarifa bungeni pili kahudumiwa ndani ya nchi kisha hospitali husika ikajilizisha anaitajika aende nje ndo kibali kinatolewa serikalini ili akatibiwe nje ila Lissu alifanya mambo km nchi ni ya babu yake , ni kosa kubwa mno kwa mtu anaeijua sheria na taratibu za nchi kisha anataka kutumia ttzo lke km mtaji wa kujipeleka ikulu , watu mliamishia akili zote kwa Magufur kana kwamba Lissu hana madui wa kimaisha mtaani
Ttzo akil yko fupi , rais atazungumziaj jamb kiofisi wakati mhusika au watu wake wa karibu hawajatoa taarifa rasmi bungeni , na ndio maana na yy rais alitoa pole huko huko mitandaoni Lissu alikopeleka taarifaUpo kama mm mkuu, kwa nchi za wenzetu zenye kufuata sheria na taratibu, mwamba ilibidi ang'atuke na awe nyuma ya nondo saa hzi kwa kushindwa kulinda raia na mali zao kama alivyoapa. Mbaya zaid alikaa kimya kabisa as if hajui ni kitu gan kimetokea. Mungu amuhifadhi panapostahili.
Nani kaongelea uraisi? Hapa mateso na mengine mengiKumbuka marehemu ndugu zako inatosha,sisi wengine tutamkumbuka alikuwa Rais wetu.
Rais hawez kuzungumzia jambo lisilotambulika kiofisi , Lissu hakutoa taarifa bungeni na hiyo tosha kiofisi inaonesha Lissu ni mzima ila kwenye mitandao Lissu anatatizo na kwahali km hyo rais asingeweza kuongea chochote kiofisi mbali na yeye kutoa pole kwenye mitandao ambako kulikuwa ndo sehemu Lissu alipeleka taarifaUmenielewa vibaya sikusema alimpiga risasi Lisuu ila km mkuu wa nchi kukaa kimya kwa tukio km lile kwa mtu ambae alikua mkosoaji wake mkuu ilikua inamaanisha nn
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Tupe mifano hai na ushahidi please , hatutak uvumiWakati wa utawala wa Magufuli Watu walikuwa wanawindwa kama Digidigi.
Huu ni wakati wa Mama,nimejiajiri na mambo yanakwenda safi Vitumbua mezani vya kutosha Wake zangu wanang'aa khanga mpya kila wiki
Nyie nendeni mkakeshe kwenye kaburi hapo kando ya Ziwa.
Wewe hunijui sikujui unajuaje kama nina chati feki?Sawa, we endelea kufurahia kanga mpya za kuchezea vigodoro kila wiki.
Lakini cheti feki kitakukumbusha uwepo wa magu hapa duniani mbaka siku unaingia kaburini.
Wewe pia unakesha kaburini bilakujua na popote nitakapokuona una pambana na kaburi unreasonably nitakuambia stop nonsense!.
Ukimtukana rais ukiwa YouTube police hawakutafuti auAliwai peleka taarifa polisi au ndo taarifa anaitoa akiwa youtube?