Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
Mimi simtetei mtu kwasababu ni kabila langu, namtetea kwa haki only pale anapoonewa au kusingiziwa.Usingeibuka kwenye huu uzi kumtetea ngosha mwenzako ningebadili kabila...
Kuna utaratibu wa referrals za serikali, baada ya kupatiwa huduma ya kwanza pale Dodoma hospital, ni madaktari wa pale ndio walipaswa kutoa referrals ya ama ahamishiwe MOI, ama apelekwe nje ya nchi, tena kwa case yake ya mifupa, a angekuwa referred Ujerumani kwa mabingwa wa mifupa!.Unasemaje ishu ya kugoma kugharamia matibabu
Hapa sasa tujifunze kutenganisha mihimili, Bunge ni Mhimili, lina taratibu zake na halingiliwi!. Ule ni uamuzi wa Bunge, usimsingizie marehemu!.na baadae kumtimua ubunge na kumnyima stahiki zake?
Let us be realistic hivi kweli yale alotendewa lissu kuanzia kushambuliwa mpka kufutwa ubunge John hakua na mkono hata kidg, shida yangu inakuja why John hakuwahi kukemea chochote kati ya haya, haya mambo tunayoambiana kila mhimili una kazi yake this is theory mkuu, km John alimwambia ndugai washughulikie bungeni wakitoka nje ntamalizana nao haikua amri hii kweli, tukitak kulijenga taifa letu tuacheni mahabaMimi simtetei mtu kwasababu ni kabila langu, namtetea kwa haki only pale anapoonewa au kusingiziwa.
Kuna utaratibu wa referrals za serikali, baada ya kupatiwa huduma ya kwanza pale Dodoma hospital, ni madaktari wa pale ndio walipaswa kutoa referrals ya ama ahamishiwe MOI, ama apelekwe nje ya nchi, tena kwa case yake ya mifupa, a angekuwa referred Ujerumani kwa mabingwa wa mifupa!.
Uamuzi wa kumhamishia Nairobi hospital ulifanywa kisiasa bila kufuata the laid down government referrals procedures, hivyo serikali was right kugomea kugharimia matibabu on governmental reasons, but bado ingeweza kugharamia on humanitarian reasons lakini unajua sababu
Hapa sasa tujifunze kutenganisha mihimili, Bunge ni Mhimili, lina taratibu zake na halingiliwi!. Ule ni uamuzi wa Bunge, usimsingizie marehemu!.
Ila kwa vile Mkuu wa Mhimili wa Bunge ni sahiba na Mkuu wa The Executive, kama walipigiana simu wenyewe wakaambiana, hili sio letu, ila mwisho wa siku si matokeo tumeyaona!. Msimshutumu marehemu kwa makosa ambayo sio yake!.
p
I do believe, you know how the operatives of the state work, if the state wants to do you away, it would have used the pros, we have hundreds of snipers who would have done a very good clean job just with only one shot!, as mama said earlier, if you miss your target by three shots , you'll have to be answerable!. Or they could have planned a natural death look alike such as accidents etc, but not that!.Lissu's incident is a clear-cut case of blatant state cruelty and terrorism that can't be simply explained away by crafty spins. Serious investigative and litigation efforts are owing on the part of the state.
Hivi brother uwa unaona aibu hata kidogo?I do believe, you know how the operatives of the state work, if the state wants to do you away, it would have used the pros, we have hundreds of snipers who would have done a very good job just with only one shot!, as mama said earlier, if you miss your target by three shots , you'll have to be answerable!.
The Lissu's incident is done by some unknown amateurs and could be an inside job just to turnish the good image of our government, and it might be its friendly fires!.
No state operatives can do such a poor messy dirty job like that!.
I have written more than 10 articles on this, if you have time, please, just take you time and go through
Shambulio la Lissu: Wajue wasiojulikana watakaojulikana na 'Wasiojulikana' ambao kamwe, hawatajulikana
Wanabodi, Tangu kutokea kwa shambulizi kwa Mhe.Tundu Lissu, ambalo mpaka sasa linaelezwa kufanywa na watu wasiojulikana, kumeibuka shauku kubwa ya watu kutaka kuwabaini hawa watu wanaoitwa ni watu wasiojulikana, ni kina nani?, wanatumwa na nani? na lengo lao ni nini?, kunakopelekea kujengwa kwa...www.jamiiforums.com
Taifa linahangaika na wasiojulikana waliomshambulia Tundu Lissu! Je, ni hawa?! Mhe. Mwigulu, IGP, anzieni hapa!
Wanabodi, Hili ni bandiko la swali tuu kuhusu watu watu, kwa kulisaidia jeshi letu la polisi na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kuitumia mitandao ya kijamii positively as source of a security tip ya vital information kuhusu uchunguzi mbalimbali. Usisubiri hadi mtu akaripoti polisi kuhusu...www.jamiiforums.com
Serious Media inaweza kuwabaini "wasiojulikana" Deo Masakilija
Wanabodi, Naangalia kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari kinachorushwa na Star TV, ambapo mwandishi Mkongwe, Deo Masakilija, amealikwa. Dotto Bulendu ameanza kwa hoja 'Je media imetimiza wajibu wake ipasavyo katika kuwabaini hawa watu wasiojulikana wanaohusika na matukio ya utekaji, utesaji...www.jamiiforums.com
P.
Mkuu Mjinga Wewe, mimi sio msomi, ni Mwananchi tuu wa kawaida.Hivi brother uwa unaona aibu hata kidogo?
Unaonekana bro ni msomi Ila elimu yako unaibaka na kuonekana hauna elimu.
Mkuu Mjinga Wewe, mimi sio msomi, ni Mwananchi tuu wa kawaida.
Happy New Year!
P
Yule ni shetani tu alichowafanyia wenzake naye kikamkutaI declare interest Mimi sio mwanachadema kabisa kabisa lakini nikiwa kama mtanzania mwenye akili timamu nikifikiria tukio la Tundu Lissu kushambuliwa kwa risasi pale Dodoma ile 2017 naumia mno.
Kushambuliwa kwa binadamu kama mnyama mchana kweupe kwenye majengo ya serikali inaumiza saana, lakini kinachouma zaidi ni kwamba hakuna hata mtu mmoja alieshikiliwa wala kuhojiwa shameful, tutawaambia nini watoto wetu huko baadae.
Kitendo cha Magufuli Rais wa nchi Amiri jeshi mkuu mfariji mkuu kukaa kimya bila kujitokeza hadharani na kukemea lile tukio liliniumiza mno kwa nature ya Magu aliwezaje kukaa kimya what was behind the scenes
Je angeshambuliwa Polepole kama Lissu je mzee angekaa kimya? Lissu alipigwa risasi na nani, nani aliwatuma, kwa maslahi ya nani ili iweje nikikumbuka hili tukio hata unitajie mema mia ya John siwezi kuyaona
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Hahahaha..... jiwe lilikunya ndipo likafa.Yule jamaa alikua mnafiki,Muongo grade 1.
Sikuwahi kumuamini hata mara moja kwa kauli zake baada ya kuona matendo yake...
Anaongea na mahisia yake kuwadanganya wenzie!
Mtu anafuata Kanuni za “Power “ bila kujua kuwa he is also a human being and he will die!
Njia nzuri ya kumtesa adui wako wa kisiasa siyo Kuua asee! Hasira huisha then nini hufuta kama Siyo majuto... You can teach people hata kupitia kesi ambayo hajui atatoka au la sometimes adi anafungwa then unakuja muachia
Unamkamata unampa onyo au anafungwa asijue atatok lini lakini siyo Kuua binadamu mwenzio!
Hata kumtesa binadamu mwenzio akatoka manundu siyo ubinadamu ni unyama na kutostaarabika
Nina wasiwasi kam huyu jamaa ataiona mbingu asee hata kam sijui eti alifanya kitubio sijui nini ila duu amekufa na majuto...
Watu wenye Roho mbaya vile ni kam wachawi na Huhangaika Sana hadi waje kuikata roho, wengine hadi Hunya ndipo wafe!
Ewe Mkuu yeyote usisahau kuwa na wewe ni Mtu/ Binadamu kama mwengine yeyote Mtu.
Kuua Binadamu mwenzio ni kujifanya wewe Siyo binadamu ni Zaidi yao kumbe wapi...
Ili kuepusha madaraka kuwapanda kichwani na kujiona Miungu, wafalme wa Dola ya Rumi walikua wanaajili mtu ambaye kazi yake ilikua kumkumbusha Mfalme kuwa ni binadamu na atakufa..
Mtumishi huyo alikua anatamka maneno “ you’re Mortal Cesar , You are Mortal Cesar, You are Mortal cesar “ hasa mfalme anapokua ameshinda vita au amefanya jambo la kishujaa”
Mfalme anae jua kuwa ipo siku atakufa humuepusha na kufanya mambo ya kipumbavu kama mengi aliyoyafanya Bwana Yule...
Usiue,Usiue!
Kila binadamu yoyote mwenye roho wa Mungu ndani yake ataumizwa na tukio lile, na ikitokea kama kuna aliyefurahi basi huyo ana roho wa shetani!
Ni kweli, sababu pekee ya kutofanyika jambo lolote ni kwasababu tukio hilo limeshuhudiwa live na mashuhuda wawili muhimu, ambao mpaka sasa, wamegoma kata kata kutoa ushirikiano kwa vyombo vya uchunguzi. Shambulizi la Lissu: Wanaomdhania dereva anahusika sio wajinga, Wana hoja za msingi. Je, anahusika?
Kama huu ndio msingi wa wewe kutomsamehe Magufuli, nakushauri tafuta nauli, kama huna, kopa, nenda Chato, kwenye kaburi lake, upige magoti, umuombe msamaha!.
Baada ya shambulio lile, Rais JPM, hakukaa kimya!.
Kwa vile hakukaa kimya, nakushauri nenda kamuombe msamaha marehemu!.
Kumsingizia marehemu kuna karma mbaya!.
Lissu alishambuliwa na watu wasiojulikana ambao mpaka leo hawajajulikana.
Nakushauri usihukumu usije ukahukumiwa! Tuacheni Ramli Chonganishi: Tusihukumu, Tusije Tukahukumiwa!. "Karma Ndio Pekee Hutoa Hukumu ya Haki Hapa Duniani!.
P
Huyu p ameshindwa kumiliki mke nani actamtilia maana I na mautumbo ya marefu.Mkuu Mjinga Wewe, mimi sio msomi, ni Mwananchi tuu wa kawaida.
Happy New Year!
P
Umeandika nini hii?Huyu p ameshindwa kumiliki mke nani actamtilia maana I na mautumbo ya marefu.
Eti ushahidi lisu aliyeshambuliwa alisema muhusika mkuu ni magufuli case closed
Ili mtu aweze kutumia hizo akili, japo kidogo, hatua ya kwanza ni akili hizo kidogo, ziwepo!. Hii maana yake ni akili kwanza ziwepo, zikiishakuwepo zipo, ndipo sasa zitumike. Ukitokea hata hizo kidogo hazipo, mtu kama huyo atumie nini?. Vitu vingine mnisamehe bure tuu, wengine hata hizo kidogo hazipo!.Sasa kwanini una shindwa kutumia AKILI japo kidogo tu.?
Lissu ni mwanasheria nguli, mahiri, anajua ni wapi pa kutoa taarifa anapohisi usalama wake uko mashakani, na hili niliwahi kuulizakabla ya kushambuliwa lisu alitoa taarifa kuwa Kuna watu wanamfatilia.
Kuna vitu vingine wengine mnafanya kuvisikia tuu, mtu ukiishakuwa rais, lazima ukosolewe utake usitake. Mimi nimemsikia mwenyewe akisema hana tatizo na wakosoaji, mimi mwenyewe nilikuwa mkosoaji mkubwa wa JPM, kama ni kweli angeua wangapi?lisu alikuwa anapiga mikataba ya madini,wakati ripoti ya madini inatoka ndo lisu alishambuliwa .
Nani asiyejua kuwa magufuli alikuwa hataki kukosolewa?
Umemaliza vizuri, neno "anashindwa vipi" maana yake ni just assumptions. Don't assume, be certain!.mtu Kama huyo anashindwa vipi kutuma watu waje kukuua?
Kama hakuwa Hana tatizo na wakosoaji.Ili mtu aweze kutumia hizo akili, japo kidogo, hatua ya kwanza ni akili hizo kidogo, ziwepo!. Hii maana yake ni akili kwanza ziwepo, zikiishakuwepo zipo, ndipo sasa zitumike. Ukitokea hata hizo kidogo hazipo, mtu kama huyo atumie nini?. Vitu vingine mnisamehe bure tuu, wengine hata hizo kidogo hazipo!.
Lissu ni mwanasheria nguli, mahiri, anajua ni wapi pa kutoa taarifa anapohisi usalama wake uko mashakani, na hili niliwahi kuuliza
Handling of Serious Security Issues: Kama CHADEMA Takes Things For Granted Kwa Uzembe Hivi!, Jee Ikulu Yetu Wangeiweza?
Wanabodi, Kwanza sote tunalaani kwa dhati kabisa, kitendo alichofanyiwa Mhe. Tundu Lissu cha kumiminiwa risasi 38 na watu wasiojulikana, kati ya hizo risasi 16 zikampata!, kitendo ambacho kimefanywa mchana kweupe, tena akiwa kwenye eneo ambalo ni secure area!, maeneo ya waheshimiwa, ambayo...www.jamiiforums.com
Kuna vitu vingine wengine mnafanya kuvisikia tuu, mtu ukiishakuwa rais, lazima ukosolewe utake usitake. Mimi nimemsikia mwenyewe akisema hana tatizo na wakosoaji, mimi mwenyewe nilikuwa mkosoaji mkubwa wa JPM, kama ni kweli angeua wangapi?
Umemaliza vizuri, neno "anashindwa vipi" maana yake ni just assumptions. Don't assume, be certain!.
P
Naongezea tu. He was also stupid. How will you do such evil actions and espect to be safe? It was just a matter of time.Piga risasi nyingi, timua bungeni, dhurumu stahili zake,...
Magufuli alikuwa katili!
Hilo la kusamehe umesema vema. Hilo la hakuna ushahidi wa Magu kumpiga risasi lisu unajua unaongopa. Kuna ushahidi usiotia shaka alituma watu wamuue.Msamehe,usiposamehe wewe pia hutasamehewa,lakini pia hakuna ushahidi kuwa magu ndio alimpiga risasi lisu
Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Mkuu mliberali , haya mambo ya kushindwa kumiliki mke ni mambo ya maisha binafsi, naomba sana tuheshimiane na kuheshimu the right to privacy za watu. Hili la kushindwa kumiliki mke, mimi sio wa kwanza, wala sio wa mwisho!, kama alishindwa Adamu mwenyewe aliyefinywagwa na Mungu, mkewe Eva, ni ibilisi shetani ndie aliyetangulia kumega lile tunda, na ndipo Eva akaujua utamu wa kumegwa na kumlazimisha Adamu amege tunda!, sasa ndio nitakuwa mimi?.Huyu p ameshindwa kumiliki mke nani actamtilia maana
Kama unaamini kila anachosema Lissu, endelea kuamini, mimi Lissu nimesoma nae Ilboru, hivyo namfahamu kuliko wewe, and take it from me, he is not always right!.Eti ushahidi lisu aliyeshambuliwa alisema muhusika mkuu ni magufuli case closed
This is too low from you dude! Kukaa kimya ni summary kwamba he did too small and opposite from the expected.Kila binadamu yoyote mwenye roho wa Mungu ndani yake ataumizwa na tukio lile, na ikitokea kama kuna aliyefurahi basi huyo ana roho wa shetani!
Ni kweli, sababu pekee ya kutofanyika jambo lolote ni kwasababu tukio hilo limeshuhudiwa live na mashuhuda wawili muhimu, ambao mpaka sasa, wamegoma kata kata kutoa ushirikiano kwa vyombo vya uchunguzi. Shambulizi la Lissu: Wanaomdhania dereva anahusika sio wajinga, Wana hoja za msingi. Je, anahusika?
Kama huu ndio msingi wa wewe kutomsamehe Magufuli, nakushauri tafuta nauli, kama huna, kopa, nenda Chato, kwenye kaburi lake, upige magoti, umuombe msamaha!.
Baada ya shambulio lile, Rais JPM, hakukaa kimya!.
Kwa vile hakukaa kimya, nakushauri nenda kamuombe msamaha marehemu!.
Kumsingizia marehemu kuna karma mbaya!.
Lissu alishambuliwa na watu wasiojulikana ambao mpaka leo hawajajulikana.
Nakushauri usihukumu usije ukahukumiwa! Tuacheni Ramli Chonganishi: Tusihukumu, Tusije Tukahukumiwa!. "Karma Ndio Pekee Hutoa Hukumu ya Haki Hapa Duniani!.
P
Happy new year P ! ..shida ni elimu ya uraia ... Nani anatoa !? Je hio Elimu ni ngumu kiasi gani !? Otherwise tutaumia Kwa kutojua (ujinga wa kujitakia!?) ... Kufanya siasa (za karaha) na Rais alieko kene kiti ni risk sana maana vyombo vikitafsiri tofauti ni htr... Kufanya siasa mizaha!? ya kimagharibi (kumrushia Rais kiatu !!?) huku Africa - Uandike wosia kbsa... Hilo jina tuu Amir Jeshi Mkuu - kunatakiwa elimu ya uraia has a Kwa wanasiasa vijana.. Nalaani kupigwa na kushambuliwa Mh Lisu na watu wasiojulikanaMkuu Mjinga Wewe, mimi sio msomi, ni Mwananchi tuu wa kawaida.
Happy New Year!
P
Mimi ni lile la Alphonce Mawazo, kucharangwa mashoka & mapanga na vijana wanaojulikana (wasiojulikana) mchana kweupe.
Mbaya zaidi askari wetu waliwafuata waombolezaji hospital Bugando kwenda kuwapiga mabomu ya machozi mochwari. Ili tu Mawazo asiombolezwe wala kusindikizwa kwa heshima. Mpaka mahakama iliporuhusu aagwe!!. Nilijiuliza ni nini anachokitaka bwana mkubwa ?!.
Kilichoudhi so called uvccm kwenda kuvuruga na kufukua kaburi lake . Mungu ni fundi tena stadi. [emoji24][emoji879]
Inawezekana kabisa hakuhusika.Watu wanashindwa kufahamu siasa inamichezo mingi michafu!.
Inanipa wakati mgumu kwa namna tukio lile lilivyotokea kuwa kulikuwa na nguvu ya rais!!. Tukio lilifanyika kicholeshaji sana na kigaidi mno watu hufikiri upande mmoja wa kuwa rais anahusika hawafikiri rais pia huwa anamaadui na wanaweza kuchoresha tukio kama lile ili kuharibu taswira yake!.
Vitu haviendi vile wengi wanavyoona picha huchoreshwa..
Matukio kama haya hata kwenye nchi kubwa huleta utata just nchi Kama marekani bado hawajatolea ufafanuzi wa kina juu ya kifo cha aliekuwa rais wao jf Kennedy!. Zigo Kama hilo hukuta serikali iliyofuata ndio hutupiwa.
Nafikiri vitu Kama hivi huvikalia kimya kwamaana huona ukimya unastahili kwa wakati huo,muda wa sisi kuja kutoa hukumu utafika taarifa sahihi zitakapotolewa tuacheni ramli.