Nashindwa kumsamehe Magufuli kwa hili

mrehem ndo kitu gani asee we taga. Ni kweli naumwa akili tangu nigundue unauza matako maana hiyo taarifa ilinisikitisha sana

mimi nauza wewe unagawa bure,ndio maana ukasikitika.
 
Mkuu Mjinga Wewe, mimi sio msomi, ni Mwananchi tuu wa kawaida.
Happy New Year!
P
Happy new year P ! ..shida ni elimu ya uraia ... Nani anatoa !? Je hio Elimu ni ngumu kiasi gani !? Otherwise tutaumia Kwa kutojua (ujinga wa kujitakia!?) ... Kufanya siasa (za karaha) na Rais alieko kene kiti ni risk sana maana vyombo vikitafsiri tofauti ni htr... Kufanya siasa mizaha!? ya kimagharibi (kumrushia Rais kiatu !!?) huku Africa - Uandike wosia kbsa... Hilo jina tuu Amir Jeshi Mkuu - kunatakiwa elimu ya uraia has a Kwa wanasiasa vijana.. Nalaani kupigwa na kushambuliwa Mh Lisu
 
Kwanini hawajajulikana?
 
Kuna wengine pia; kama aliehusika na kuondoa walinzi wote eneo lile, alieficha CCTV camera na Mwita Waitara ambae kwa maelezo yake inaonekana 'aliona' Lissu alikuwa amegeukia wapi wakati akishambuliwa.
 
Msamehe,usiposamehe wewe pia hutasamehewa,lakini pia hakuna ushahidi kuwa magu ndio alimpiga risasi lisu

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app

Hujaelewa au hujasoma vizuri mada, kitendo chake cha kukaa kimya kwenye tukio kubwa kama lile inaleta ukakasi mkubwa. Na mleta mada amesema hapo mwanzo amiri jeshi mkuu ni mfariji kwa wanainchi wake. Tulitegemea statement yake ya faraja
 
Magufuli kapumzika, Wewe bado unautia moyo wako Sumu.
Muda hausubiri, endelea kushikiria kutosamehe
 
[emoji16][emoji16][emoji16] form six leaver? Daaah kwa akili hizo ngoja nikae kimyaa!!
 
Yeye aliye jipya haki za matibabu sasa yuko 6ft under.
 
Ukweli ni nini ? Nani anapaswa kuamua jambo fulani ni ukweli au si ukweli?
 
Hii nchi sio ya kidini, haiendeshwi kwa mujibu wa Bible au kitabu kingine chochote cha dini, inaendeshwa kwa demokrasia, katiba na utawala wa sheria.
 
Huelewei maana ya elimu ya uraia. Elimu ya uraia sio kwa ajili ya kuwafanya watu sycophants kwenye nchi yao bali ni kwa ajili ya kuwafanya watambue uhuru wao, haki zao na wajibu wao kikatiba ikiwa ni pamoja na kuwawajibisha viongozi wanapofanya kinyume na matakwa ya walio wengi.
 
Mimi ninatamani niende na Bulldozer kwenye kaburi lake nikatifuetifue kwa mambo aliyonifanyia wakati wa Uchaguzi mkuu wa 2020.
Siku inakuja. kaburi lake litafukuliwa na kiharibiwa kwa aibu. Huwezi kufanya unyama ule alaf uende zako tu kwa amani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…