Nashindwa kumsamehe Magufuli kwa hili

Pascal Mayalla,najua una uzoefu wa kutosha juu ya maswala ya sheria, na pia wewe NI senior citizen kabisa, una uelewa mkubwa wa mambo pengine kuliko wengi tu humu ndani!

Hivi seriously Pascal unaweza kusema kwa dhati ya nafsi yako, na uwezo wako mkubwa wa kufikiri kwamba sababu za kutofanyika uchunguzi wowote, kukamata mahukiwa hata mmoja ni hao "mashahidi wawili" kutoonyesha ushirikiano?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Magufuli aliwatuma WAHUNI kumuua Lissu.
 
Kaishiwa huyo paschal mayalla
 
Swala la usalama hata wa mwili wako ni la serikali ndo maa ukitak kujiua serikal inaingilia kati hata km lissu let's say amejishambulia lkn serikali bdo wana jukumu la kuchunguza so whatever it may be serikali haiwez kukwep hii liability

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Msamehe,usiposamehe wewe pia hutasamehewa,lakini pia hakuna ushahidi kuwa magu ndio alimpiga risasi lisu

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
Imagine! Kama hakuhusika na hakuwa na nia mbaya kwann hata dini ziliposema zinaliombea tukio hilo aliyefanya vile akutwe na madhira yoyote magu aliingilia polisi wanafukuza watu makanisani, misikitini kwa virungu? Alikuwa anaogopa nini
 
kama kiongozi mkuu , ilitakiwa hili aliongelee , tena kama ndo lilikuwa na elements ,za kuhujumu utawala wake , watu walitakiwa wakamatwe pia
 
Historia ya Magufuli itaandikwa ukurasa mmoja na akina Adolf Hitler, Iddi Amini, Benito Mussolini na Mobutu
 
Ulikwepo kipindi wasaidiz wanaiandika? chadema wengi tunaendeshwa na chuki na sio akili zetu timamu , kuna vitu unavijibu hata mtu timamu anaamua kucheka tu
The fact ni kwamba Lissu alipigwa risasi kwa amri ya Magufuli. The man was a devil!
 

SAMEHE USAMEHEWE AU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…