Dan Zwangendaba
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 6,607
- 9,171
Magu alitoa statement gani kufuatia tukio la Nape kutishiwa kupigwa risasi mchana kweupe? cc: HamorapaMuulize Sirro, Sasa magu aanze kuingilia kazi za kipelezi kwa mda gani?
Toa upuuzi wako hapa.Matukio yote ya kumshambulia binadamu sio mazuri hata kidogo.
Binadamu wanaroho ngumu sana na hawajali maisha ya watu wengine ndio maana kilasiku tuna sikia watu wanashambuliwa na kuuwawa kinyama.
Matukio kama hayo yalikuwepo kabla ya Magu, wakati wa Magu, na hata baada ya Magu tunasikia watu wanashambuliwa na kuuwawa kinyama, mengine ni juzi tu huko arusha tofauti ni aina tu ya mashambulizi lakini shambulizi ni shambulizitu.
Sasa wewe kama unaumia roho kiasihicho kwa sababu unahisi kwamba huyo usietaka kumsamehe ndio amehusika basi utakufa kwa kihoro.
Tunaambiwa hakuna dhambi ndogo,wewe kumbuka kuomba msamaha kwa uliowakosea ili upate rehema kwa Mungu wako, kutangazia watu kwamba hutamsamehe mtu fulani niujinga na upumbavu maana Mungu anataka watu kusameheana.
Shetani, Ibilisi Magufuli ni shetani mshenzi sana.
Twende na mama mtu mwenye roho ya Kitanzania yenye upendo
Umetukumbusha machungu mkuu...I declare interest Mimi sio mwanachadema kabisa kabisa lakini nikiwa kama mtanzania mwenye akili timamu nikifikiria tukio la Tundu Lissu kushambuliwa kwa risasi pale Dodoma ile 2017 naumia mno.
Kushambuliwa kwa binadamu kama mnyama mchana kweupe kwenye majengo ya serikali inaumiza saana, lakini kinachouma zaidi ni kwamba hakuna hata mtu mmoja alieshikiliwa wala kuhojiwa shameful, tutawaambia nini watoto wetu huko baadae.
Kitendo cha Magufuli Rais wa nchi Amiri jeshi mkuu mfariji mkuu kukaa kimya bila kujitokeza hadharani na kukemea lile tukio liliniumiza mno kwa nature ya Magu aliwezaje kukaa kimya what was behind the scenes
Je angeshambuliwa Polepole kama Lissu je mzee angekaa kimya? Lissu alipigwa risasi na nani, nani aliwatuma, kwa maslahi ya nani ili iweje nikikumbuka hili tukio hata unitajie mema mia ya John siwezi kuyaona
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Magufuli alikuwa Haramia.
Huu ni wakati wa Mama,nimejiajiri na mambo yanakwenda safi Vitumbua mezani vya kutosha Wake zangu wanang'aa khanga mpya kila wikiHaramia ni yule aliekuambia ukatengeneze cheti feki ili upate kazi.
Kwa jibu lako hili maana yake ni kuwa mkono wake ulikuwepo. Lakini kwanini tuwindane kama swala na chui ?!. Kisa kutofautiana mawazo !! Hii nchi tutaiacha sote pamoja na hao wanaojichukulia kama wazalendo namba mojaSamia alienda kumuona lissu alimpa pia salamu za rais..
Mkuu mbona huhoji hata uongozi uliopo sasa bado umekaa kimya kuhusu tukio hilo..?
Mkuu Kama utakuwa umenielewa vyema swali lako nishalijibu Soma komenti yangu ya Kwanza.
Mkuu hoja yako aina logic, kama hauna approval evidence ...... punguza assumptions,zisizo na uhakika aseeI declare interest Mimi sio mwanachadema kabisa kabisa lakini nikiwa kama mtanzania mwenye akili timamu nikifikiria tukio la Tundu Lissu kushambuliwa kwa risasi pale Dodoma ile 2017 naumia mno.
Kushambuliwa kwa binadamu kama mnyama mchana kweupe kwenye majengo ya serikali inaumiza saana, lakini kinachouma zaidi ni kwamba hakuna hata mtu mmoja alieshikiliwa wala kuhojiwa shameful, tutawaambia nini watoto wetu huko baadae.
Kitendo cha Magufuli Rais wa nchi Amiri jeshi mkuu mfariji mkuu kukaa kimya bila kujitokeza hadharani na kukemea lile tukio liliniumiza mno kwa nature ya Magu aliwezaje kukaa kimya what was behind the scenes
Je angeshambuliwa Polepole kama Lissu je mzee angekaa kimya? Lissu alipigwa risasi na nani, nani aliwatuma, kwa maslahi ya nani ili iweje nikikumbuka hili tukio hata unitajie mema mia ya John siwezi kuyaona
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Umenielewa tofauti ndugu! Hakuna niliposema jamaa alihusika au hakuhusika isipokuwa Jambo hili litazamwe kwa upana na sio kuelekea upande mmoja.Kwa jibu lako hili maana yake ni kuwa mkono wake ulikuwepo. Lakini kwanini tuwindane kama swala na chui ?!. Kisa kutofautiana mawazo !! Hii nchi tutaiacha sote pamoja na hao wanaojichukulia kama wazalendo namba moja
Mungu wa mbinguni akubarikiI declare interest Mimi sio mwanachadema kabisa kabisa lakini nikiwa kama mtanzania mwenye akili timamu nikifikiria tukio la Tundu Lissu kushambuliwa kwa risasi pale Dodoma ile 2017 naumia mno.
Kushambuliwa kwa binadamu kama mnyama mchana kweupe kwenye majengo ya serikali inaumiza saana, lakini kinachouma zaidi ni kwamba hakuna hata mtu mmoja alieshikiliwa wala kuhojiwa shameful, tutawaambia nini watoto wetu huko baadae.
Kitendo cha Magufuli Rais wa nchi Amiri jeshi mkuu mfariji mkuu kukaa kimya bila kujitokeza hadharani na kukemea lile tukio liliniumiza mno kwa nature ya Magu aliwezaje kukaa kimya what was behind the scenes
Je angeshambuliwa Polepole kama Lissu je mzee angekaa kimya? Lissu alipigwa risasi na nani, nani aliwatuma, kwa maslahi ya nani ili iweje nikikumbuka hili tukio hata unitajie mema mia ya John siwezi kuyaona
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Mungu akusamehe kwa dhambi hii uitendayoLissu alipigwa risasi na magaidi ya kwenye chama chake na upelelezi bado unaendelea.
Unaandika kishabiki sana hadi umeingia kwenye kichaka cha cha conspiracies za JFK kumtetea mpendwa wako. Ulichofanya ni kulinganisha machungwa na mananasi tu.Watu wanashindwa kufahamu siasa inamichezo mingi michafu!.
Inanipa wakati mgumu kwa namna tukio lile lilivyotokea kuwa kulikuwa na nguvu ya rais!!. Tukio lilifanyika kicholeshaji sana na kigaidi mno watu hufikiri upande mmoja wa kuwa rais anahusika hawafikiri rais pia huwa anamaadui na wanaweza kuchoresha tukio kama lile ili kuharibu taswira yake!.
Vitu haviendi vile wengi wanavyoona picha huchoreshwa..
Matukio kama haya hata kwenye nchi kubwa huleta utata just nchi Kama marekani bado hawajatolea ufafanuzi wa kina juu ya kifo cha aliekuwa rais wao jf Kennedy!. Zigo Kama hilo hukuta serikali iliyofuata ndio hutupiwa.
Nafikiri vitu Kama hivi huvikalia kimya kwamaana huona ukimya unastahili kwa wakati huo,muda wa sisi kuja kutoa hukumu utafika taarifa sahihi zitakapotolewa tuacheni ramli.
JPM ndio alitoa mandates zote hizo au ndio alitendaPiga risasi nyingi, timua bungeni, dhurumu stahili zake,...
Magufuli alikuwa katili!
Lee Oswald mtu aliyempiga Kennedy risasi alikamatwa siku hiyo hiyo, haikuwa katika majengo ya serikali na hakukuwa na CCTV camera.Watu wanashindwa kufahamu siasa inamichezo mingi michafu!.
Inanipa wakati mgumu kwa namna tukio lile lilivyotokea kuwa kulikuwa na nguvu ya rais!!. Tukio lilifanyika kicholeshaji sana na kigaidi mno watu hufikiri upande mmoja wa kuwa rais anahusika hawafikiri rais pia huwa anamaadui na wanaweza kuchoresha tukio kama lile ili kuharibu taswira yake!.
Vitu haviendi vile wengi wanavyoona picha huchoreshwa..
Matukio kama haya hata kwenye nchi kubwa huleta utata just nchi Kama marekani bado hawajatolea ufafanuzi wa kina juu ya kifo cha aliekuwa rais wao jf Kennedy!. Zigo Kama hilo hukuta serikali iliyofuata ndio hutupiwa.
Nafikiri vitu Kama hivi huvikalia kimya kwamaana huona ukimya unastahili kwa wakati huo,muda wa sisi kuja kutoa hukumu utafika taarifa sahihi zitakapotolewa tuacheni ramli.
Kuzuia matibabu na kumnyima haki zake za kibunge, hilo nalo vipi? Wabunge wa CCM na wana CCM wengine kuzuiwa kwenda kumuona Nairobi nako ni sehemu ya upelelezi? Hujui hadi leo wabunge wengi wa CCM na wana CCM wengine wanaumia sana kushindwa kwenda kumuona Nairobi?Muulize Sirro, Sasa magu aanze kuingilia kazi za kipelezi kwa mda gani?