dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,753
- 18,781
Nina jamaa angu Msukuma wa Shinyanga, jamaa ni fundi wa kuezeka majumba ni kweli ni fundi mkali tu kwenye mambo ya kupauwa majumba
Ishu ni hivi, jamaa hawezi kutulia kabsa na mkewe Yuko radhi ajifanye yuko nje kikazi kumbe amejifungia lodge na mwanmke tena Hawa wauza bar wa Dodoma
Kila pisi yoyote atakae muelewa lazima alale nae tena kavu kavu hajui kondomu inavaliwaje yeye ni kuloweka tu na kuonga Baket za bia kwa kifupi akimtamani demu wako lazima atapita nae kwa vyovyote vile
Kila PC yangu ninayo ibua mimi nae anataka kulala nae bas mimi huwa namuachia tu atembee nae fresh kabisa jmaaa anataka kila bint modal fulani hivi ampige
Bas jana mm sikuwa na mzuka wa kutoka kwenda popote akaja kwangu akanimbia tuende nzuguni arena kwa demu wake mm nikamgomea kwenda huko basi akanimbia kama vip tuendee karungi bar moja maarufa sana hapo ihumwa jana ilijaza sana kwani walimleta dj Facebook kuja kukiwasha
Kweli tulifika pale mida ya saa tatu hv usku kumbe jamaa hata alikuwa hana hela akakona kapic kademu akasema hivi ndio vitu vyangu bas kamtuma muhudumu amchukulie namba kwa PC ile namba kapewa pale pale demu kaomba anunuliwe bia naashanga jamaa ananikopa ten nae aongeze elf nane ili amnunulie demu baketi sawa na bia sita
Nikamuuliza vip mbona huwezi kujizui kabisa yaani wee nlzmazim kila siku upate demu mpya tena Hawa wa bar jmaaa akasema hv ndio vitu vyangu na akanimbia mimi si mbahili
Maskin ya Mungu namsikitikia San mke wake muda wowote wataitwa wapewe doz siyo kwa umalaya wa mume wake alfu mbaya zaid ni Yuko very rough