GabiGabriel_gg
Senior Member
- Jun 24, 2026
- 166
- 243
😁😁
Ushauri mzuri pia.Acha watu watombane mzee wangu
Hivi unataka ARV nani atumie
Unataka miradi ya ukimwi iishe watu wakale wapi
Itaisha mzee babaHahaha Miradi itaisha
Na kweli anapendwa wanamshobokea danaLakin ukiwasikiliza wao wanawake kwenye vikao vyao wanapenda mwanaume mwenye wanawake wengi .
Asante nitafanya. HvyoTatizo nini mzee baba. Wewe ishi nae kama rafiki basi. Mimi nina marafiki wazinzi lakini mimi sio mzinzi. Mwaka wa 6 huu nipo na mwanamke mmoja hata wao pia wananishangaa lakini wote tunachukulia kama utani tu. Nina marafiki wanavuta bangi lakini mimi hata sigara tu sivuti.
Kwamba nini uduguuu?? 😂😂😂Nimeishia hapo msukuma wa shinyanga..!!
Watu wanajulikana kwa ushamba Tanzania nzima unategemea afanye nini? 😹Kwamba nini uduguuu?? 😂😂😂
😂😂😂Watu wanajulikana kwa ushamba Tanzania nzima unategemea afanye nini? 😹