Nina jamaa angu Msukuma wa Shinyanga ,jamaa ni fundi wa kuezeka majumba ni kweli ni fundi mkali tu kwenye mambo ya kupauwa majumba
Ishu ni hv jmaa hawezi kutulia kabsa na mkewe Yuko radhi ajifanye Yuko nje kikaz kumbe amejifungia lodge na mwanmke tena Hawa wauza bar wa Dodoma ..kila pis yoyote atakae muelewa lazm alale nae tena kavu kavu hajui kondomu.inavaliwaje yey ni kuloweka tu na kuonga Baket za bia kwa kifupi akimtamani demu wako lzm atapita nae kwa vyovyote vile ,kila PC yangu ninayo ibua mm nae anataka kulala nae bas mm huwa namuachia tu atembee nae fresh kbsa jmaaa anataka kila bint modal fln hv ampige
Bas jana mm sikuwa na mzuka wa kutoka kwenda popote akaja kwangu akanimbia tuende nzuguni arena kwa demu wake mm nikamgomea kwenda huko basi akanimbia kama vip tuendee karungi bar moja maarufa sna hapo ihumwa jana ilijaza sna kwani walimleta dj Facebook kuja kukiwasha ,kweli tulifika pale mida ya saa tatu hv usku kumbe jamaa hata alikuwa hana hela akakona kapic kademu akasema hv ndio vitu vyangu bas kamtuma muhudumu amchukulie namba kwa PC ile namba kapewa pale pale demu kaomba anunuliwe bia naashanga jamaa ananikopa ten nae aongeze elf nane ili amnunulie demu baketi sawa na bia sita ,nikamuuliza vip mban huwez kujizuia kbsa yaani wee ni lzm kila siku upate demu mpya tena Hawa wa bar jmaaa akasema hv ndio vitu vyangu na akanimbia mm si mbahili
Maskin ya Mungu namsikitikia San mke wake muda wowote wataitwa wapewe doz siyo kwa umalaya wa mume wake alfu mbaya zaid ni Yuko very rough