Nashindwa kumshauri rafiki angu ana penda wanawake Sana

Mwambie Jamaa ako ale nyeto itamuepusha na vitu vingi 😆 kama ako pussy driven
 
Unatuambia sisi je yanatuhusu?

Nadhani ni vyema ungetoa taarifa kwa muhusika /wahusika.

Nenda kamsemee hata kwa wakubwa zake wamkanye kwa mienendo yake.
 
Kama yupo sawa kisaikolojia basi mbususu kazijulia ukubwani umri wake wa kuzichangamkia hakupata nafasi hiyo kutokana na malezi au sababu zingine.​
 
Anauza mechi na kila mwanamke tena wa bar 😁..kila siku mwanamke mpya 😂, hawezi kuwa mzima
 
Jamaa uchumi wa kawaida fundi kupaua
Ana familia inategemea
Mlevi
Anapenda mademu, tena kubadili kama nguo
Anaokota wale wa bar waliopinda na maisha

Hatari sana
 
Hata mimi siwezi kuwa na mwanamke mmoja maishani kwani ni mamangu. Hata mama inafika mda anakufa unapata mama hata wa hiari. Acha jamaa ale raha maisha ni yake. Hakuna cha dhambi cjui mbingu inaona hakuna.
 
Acha watu watombane mzee baba yaan wakiweza wapigane miti asubuh mchana na jion
Wale starehe kweli kweli
Maisha mafupi haya
 
Kawaida ya fisi ni kutolea mate hata mizoga, awe makini tu, nyama zingine zimeshaoza.
 
Sasa hivi Tu kuna Demu ameniita nikamle nimekwambia bado Niko bize kidogo.

Maisha yangu yana thamani kuliko Mbunye
Usipo jiheshimu mwenyewe hakuna mtu atakuheshimu maisha ni yako
Ukiamua kutomba asubuh mchana na jion ni wewe tuu
Ukiamua kuwa padre ni wewe

Haya maisha ni free willing usuke au unyoe
Kila mtu apambane na hali yake
 
Usipo jiheshimu mwenyewe hakuna mtu atakuheshimu maisha ni yako
Ukiamua kutomba asubuh mchana na jion ni wewe tuu
Ukiamua kuwa padre ni wewe

Haya maisha ni free willing usuke au unyoe
Kila mtu apambane na hali yake
Kabisa nimekwambia asante lakini Niko bize kidogo, akaniambia basi usiku mmoja tu🤣🤣
 
Umejuaje jamaa yako analoweka vuz vuz?? Huwa unamshikia miguu??

...Amani kwa kaka Voda milionea, mwambie mdogo wako aache ushoga na umbea...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…