Nashindwa kumuelewa Bichwa Komwe na yule mwenzake

Nashindwa kumuelewa Bichwa Komwe na yule mwenzake

Kuzeeka ni jambo la kawaida katika maisha hata gari ya chuma ila huzeeka kimatumizi.

Nadani kinachokuwa kinauma ni kuzeeka then ukafanya tathimini ya maisha yako na kugundua kuwa ulipoteza muda mwingi sana kufanya vitu ambavyo havijakusaidia na havikuwa na maana kufanya ila ukiwatazama wenzako waliotenga muda wao kufanya mambo ya misingi kwanza wakiwa na maisha yenye mafanikio mazuri.

Hicho ndicho huwa kinauma na ndio maana wengi hukasirika.
 
Kuna Uzi niliuona hapa JF Bichwa komwe na mwenzake wakisema wanawake wa JF wamzeeka .

Naona umefutwa Ila msirudie kufanya hivi mnawaumiza watu kihisia Sana Bichwa komwe na mwenzako.
Achana na hao wanajiuza, wanajitangaza wao warembo na hawajazeeka.
 
Back
Top Bottom