Nashindwa kumuelewa Bichwa Komwe na yule mwenzake

Nashindwa kumuelewa Bichwa Komwe na yule mwenzake

Mmmh sijui hata nismeje. Ila ukweli ni kwamba wengi wa wadada wamezeeka japo sio vibaya ila ni wazee. Wengi humu Age range zao hasa hawa wadada ni 35-50. Sema wanakua wale ambao walipita kwenye umande.
 
Kuna Uzi niliuona hapa JF Bichwa komwe na mwenzake wakisema wanawake wa JF wamzeeka .

Naona umefutwa Ila msirudie kufanya hivi mnawaumiza watu kihisia Sana Bichwa komwe na mwenzako.
Hii ni thread ya nne nimeona unaongelea jambo hili hili
kwani wanaume hamuzeeki?
Mbona unatapatapa sana.
 
Mi naona kama kuzeeka ni sifa, na sioni namna kauli hiyo inavyoweza kuniumiza
 
Back
Top Bottom