Mama Ametufikia
JF-Expert Member
- Jul 17, 2024
- 535
- 1,395
KweliKuzeeka sio dhambi Ni Baraka!!
Matumizi mabaya ya maumivu!Yaani kuambiwa umezeeka unaumia kihisia!! hayo ni matumizi mabaya sana ya hisia
Sasa Baby ilikuwa na umuhimu gani hapo? Anyway nimezeeka ndiyo ni Kikongwe wa JFSijakutania nimeuliza ndo maania sijasema baby wangu
Ungeandika "Mnatuumiza watu kihisia sana" kusema "Mnawaumiza" ni kama wewe umejitoa,wakati wewe ndio umeumia zaidi mpaka ukaanzisha huu uzi.wa malalamiko.msirudie kufanya hivi mnawaumiza watu kihisia sana Bichwa komwe na mwenzako.
SawaaOk sorry mikono tu iliteleza
SawaUngeandika "Mnatuumiza watu kihisia sana" kusema "Mnawaumiza" ni kama wewe umejitoa,wakati wewe ndio umeumia zaidi mpaka ukaanzisha huu uzi.wa malalamiko.
Jf wote ni wazeeKuna Uzi niliuona hapa JF Bichwa komwe na mwenzake wakisema wanawake wa JF wamzeeka .
Naona umefutwa Ila msirudie kufanya hivi mnawaumiza watu kihisia Sana Bichwa komwe na mwenzako.
Achana na hao wanajiuza, wanajitangaza wao warembo na hawajazeeka.Kuna Uzi niliuona hapa JF Bichwa komwe na mwenzake wakisema wanawake wa JF wamzeeka .
Naona umefutwa Ila msirudie kufanya hivi mnawaumiza watu kihisia Sana Bichwa komwe na mwenzako.
Kwa kweli 🤣🤣Yaani kuambiwa umezeeka unaumia kihisia!! hayo ni matumizi mabaya sana ya hisia
Haujashtukia tu hi I'd?Yaani kuambiwa umezeeka unaumia kihisia!! hayo ni matumizi mabaya sana ya hisia