Nashindwa kumuelewa huyu mdada

lukac

Senior Member
Joined
Apr 8, 2012
Posts
122
Reaction score
35
kuna binti mmoja ni mpenzi wangu kwa sasa,na tangu tuingie kwenye mahusiano karibia tunamaliza miezi sita sasa.kinachonishangaza zaidi ni kwamba huyu binti hataki mimi nimuite majina ya kimapenzi/kimahaba kama vile sweet,baby darling and so forth..BUT yeye anataka nimuite jina lake kama jina lake tu.Sasa mimi hapo kidogo nakuwa nipo dilemma coz nashindwa kumuelewa huyu bint is truly she loves me ? n why mimi hataki nimuite majina ya kimapenzi ,au kuna mtu mwingine anayestahili kumuita majina hayo.NIMEILETA MADA HII KWENU wanajamii wenzangu ili nipate mawazo yenu kuhusu hili suala coz nashindwa kumuelewa.
 
labda unatabia yakuita mtu yeyote hayo majina so haoni utofauti wake na wengine ndo maana anapenda umuite jina lake.
 
Wewe unamanga jina ? au unamanga nanihii...
Kula mzigo hata kimyakimya! Jina tupiliaa kando eboo !
Ntaanza kuwa mkali sasa! Watoto wa kiume msiwe narenare! Alaaa!
 
Hiyo manzi,ina mamen mengi,kwetu kikenya twaita Playgirls.Sasa ukimwita hayo majina,siku akiwa na ali,au juma utamwaribia.Kimbia.Ukimwi unaua.
 
Maswali mengine ovyo! Kwa nini usimuulize yeye mwenyewe kuliko kuja kutuchosha sisi hapa jamvini?!!
 
I had the same issue with my wife, kabla hatujaoana alikuwa anapenda Sana kuniita hayo Madudu, Mimi sikuwa napenda maana just felt ni kuiga and it was not real from the heart, I appreciate and like that habit of your gf, it can be that she doenst feel it natural or ril, nawe uwa unasema humaanishi, kisharobaro na ku show off, can I have her phone number please? Just PM me Kama umemchoka, she is 100% invited to talk to me.


 

wote inaonekana ni waongo hasa katka mahusiano yenu.. kama vipi mwambie au endelea kumfanya small house..
 
Kwani ni mkeo? atakuwaje mpenzi wako pasi na ndoa?

Huyo mnafanya nae ukahaba tu, na yeye analijuwa hilo zaidi yako. Wewe umempataje wenzako wasimpate? kula uliwe.
 
Atakuwa anakuona humaanishi, ndo maana. Otherwise nilishaona discussion hapa kuwa kumuita mtu 'baby', darling, honey na sio jina lake halisi inasaidia ili usichanganye madesa. Anakuvizia huyo ili siku umuite 'Jamila' akubambe.
 
Atakuwa anakuona humaanishi, ndo maana. Otherwise nilishaona discussion hapa kuwa kumuita mtu 'baby', darling, honey na sio jina lake halisi inasaidia ili usichanganye madesa. Anakuvizia huyo ili siku umuite 'Jamila' akubambe.

Hiyo ni kweli kabisa
 
Hapo itabidi ujipange kwani majina ya kimahaba yana ubaya gani kumfanya binti akatae? Labda hataki ijulikane kuwa ni wako hususani kama anakataa ikiwa kuna watu au public places.nakama anakataa hata mkiwa faraghani basi kama ulivyo ambiwa awali labda haoni ikiwa real.but angaza macho mkubwa ukiyafumba mengi yatakupita.
 
mtoa mada 'be eyes'
unapigwa changa la macho.
 
mleta mada tumia muda wako kwenda kujitambulisha ukweni, kutoa mahari, kuandaa ndoa. Then ukishamaliza hayo akiendelea kukataa kuitwa darling wewe nitonye nikupe dawa ya kwetu Kigoma.
 
huyo dada yuko very natural best, na tena hapendi maigizo she is like me huwa napenda kuitwa jina langu na nina watt ila if mwenzangu akipronounce jina langu i feel real its me
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…