kuna binti mmoja ni mpenzi wangu kwa sasa,na tangu tuingie kwenye mahusiano karibia tunamaliza miezi sita sasa.kinachonishangaza zaidi ni kwamba huyu binti hataki mimi nimuite majina ya kimapenzi/kimahaba kama vile sweet,baby darling and so forth..BUT yeye anataka nimuite jina lake kama jina lake tu.Sasa mimi hapo kidogo nakuwa nipo dilemma coz nashindwa kumuelewa huyu bint is truly she loves me ? n why mimi hataki nimuite majina ya kimapenzi ,au kuna mtu mwingine anayestahili kumuita majina hayo.NIMEILETA MADA HII KWENU wanajamii wenzangu ili nipate mawazo yenu kuhusu hili suala coz nashindwa kumuelewa.