Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,155
- 34,303
Certainly.She isnt ready to move on.
She is hanging around waiting for the guy to check on her.
He damaged he self esteem so much that she keeps hoping he will be back.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Certainly.She isnt ready to move on.
huu ndo ukweli apa.Hamna kitu hapo ..mi mwenyewe nilikua namfanyia galfriend wangu hivyo hivyo .l
Behind the scene nilikua simpendi na nilikua nampotezea muda huku nikiwa natafuta wa waku mreplace bila yy kujua ni hayo tu mkuu
Moyo wako unasema nn?? Je ndio umefika mwisho hata ushindwe kupigania uhusiano wako?.Mambo zenu wapenzi ,nashindwa kumuelewa huyu mwanaume tulie achana nae japo kua tumeachana anapenda tuishi kama marafiki, Anadai hawezi kukaa kimya bira kunitafuta na kunisalimia
Mimi fikra zangu nikajua labda anaomba msamaa hapo mwanzo kwa vitendo niliamu kumsamehee na kuludisha upendo yeye anakua hajari tena upendo wangu
Nikiacha kumtafuta nikawa simjari na kuamini nimeachana nae yeye analudi kwa kasi na kulalama kwanini namtenga
Nililudi ananitenga
Sielewi anamaanisha nini au anacheza mchezo gani!!!!
Kwa sasa nimeamua kumchunia kabisa sasa analalamika kila kona
Tabia hii kufanya kwa mwaka sasa
Naombeni ushauri anamaanisha nini
Na je ananipenda au rahaaa!
Njoo at PM kwa ushauri zaidi