Nashindwa kumuelewa huyu mwanaume

Nashindwa kumuelewa huyu mwanaume

She isnt ready to move on.
Certainly.

She is hanging around waiting for the guy to check on her.

He damaged he self esteem so much that she keeps hoping he will be back.
 
Anakuonea huruma kukuacha direct hivyo anakuzugisha tu ila akipata mahali pengine atakufundisha ww jinsi ya kuwa na msimamo km kitu hukitaki tn. Just wait and see. Na ndipo utapoumia zaidi.. Anazidi kukupotezea muda tu
 
Hamna kitu hapo ..mi mwenyewe nilikua namfanyia galfriend wangu hivyo hivyo .l

Behind the scene nilikua simpendi na nilikua nampotezea muda huku nikiwa natafuta wa waku mreplace bila yy kujua ni hayo tu mkuu
huu ndo ukweli apa.
 
Unaonekana mzur kuandika ujuh ukibdl poxt ntakushaur maana hata cjaelew ngoja nikafany kazi kwanza
 
Mambo zenu wapenzi ,nashindwa kumuelewa huyu mwanaume tulie achana nae japo kua tumeachana anapenda tuishi kama marafiki, Anadai hawezi kukaa kimya bira kunitafuta na kunisalimia

Mimi fikra zangu nikajua labda anaomba msamaa hapo mwanzo kwa vitendo niliamu kumsamehee na kuludisha upendo yeye anakua hajari tena upendo wangu

Nikiacha kumtafuta nikawa simjari na kuamini nimeachana nae yeye analudi kwa kasi na kulalama kwanini namtenga

Nililudi ananitenga

Sielewi anamaanisha nini au anacheza mchezo gani!!!!

Kwa sasa nimeamua kumchunia kabisa sasa analalamika kila kona

Tabia hii kufanya kwa mwaka sasa

Naombeni ushauri anamaanisha nini

Na je ananipenda au rahaaa!

Njoo at PM kwa ushauri zaidi
Moyo wako unasema nn?? Je ndio umefika mwisho hata ushindwe kupigania uhusiano wako?.


Mimi nasema ivi, Watu hukosea, Kwakua hujui uko aliko km anamtu au lah, usifanye haraka yakuingia ktk mahusiano mapya

Wenda jamaa hana mtu,Alafu siku moja atarudi kwa dhat kabisa kwakua atakua ametambua Wapi anakosea.... Sasa kwakua unampenda mara mia akukute unamngoja, kuliko kuenda kwingine ambako uko pia ukajikuta ndo unaumiiiiizwa sanaaaaaaa.

Muhimu..angalia uyo Jamaa wako, Nikosa gan limewatenga.
 
Anaweza kuwa na mapenzi na wewe ila kuna kitu kinamsumbua ktk akili yake kisaikolojia/hofu, inawezekana pia ukapata mpenzi mwingine na huyu wa zamani asichukie,cheki afya yako kwa manufaa zaidi na baada ya hapo umjulishe matokeo,nadhani mabadiliko utayaona.
 
Back
Top Bottom