Nashindwa kumuelewa huyu mwanaume

Nashindwa kumuelewa huyu mwanaume

babrabae

Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
55
Reaction score
55
Mambo zenu wapenzi ,nashindwa kumuelewa huyu mwanaume tulie achana nae japo kua tumeachana anapenda tuishi kama marafiki, Anadai hawezi kukaa kimya bira kunitafuta na kunisalimia

Mimi fikra zangu nikajua labda anaomba msamaa hapo mwanzo kwa vitendo niliamu kumsamehee na kuludisha upendo yeye anakua hajari tena upendo wangu

Nikiacha kumtafuta nikawa simjari na kuamini nimeachana nae yeye analudi kwa kasi na kulalama kwanini namtenga

Nililudi ananitenga

Sielewi anamaanisha nini au anacheza mchezo gani!!!!

Kwa sasa nimeamua kumchunia kabisa sasa analalamika kila kona

Tabia hii kufanya kwa mwaka sasa

Naombeni ushauri anamaanisha nini

Na je ananipenda au rahaaa!

Njoo at PM kwa ushauri zaidi
 
Last edited:
Usipende kujirudisha kwa ex wako utajutraa huyo anakutumia na hakupendi, si u move on, na usifikiri utambadilisha hyo tabia mahusiano yako na huyo narcissistic utajatujtraaa maisha
 
Na ww inaonekana bado unampenda hyo mwanaume kwa nn akilalama unampa mawasiliano,halafu unasema anakusumbua amua mwenyewe kama mnarudiana au wampotezea mazima hata alalame.
 
Nakushauri kama mwanaume nikiwa kwenye mazingira yangu ya asili.

Jamaa anakuchukulia wewe wa kawaida mno na haumbabaishi.

Anakutumia kama kitombeo chake. Angalia sana nyakati hizi ndiyo hata tigo utaombwa.

Cha kufanya achana naye utajiumiza kichwa na utajaza threads tu humu.

Mtafute huyu jamaa hearly au Wick kwa msaada zaidi
 
Sawa c
 
Ni kweli nashindwa kumsahau!
 
Hamna kitu hapo ..mi mwenyewe nilikua namfanyia galfriend wangu hivyo hivyo .l

Behind the scene nilikua simpendi na nilikua nampotezea muda huku nikiwa natafuta wa waku mreplace bila yy kujua ni hayo tu mkuu
Huu ushauri naona umekaa kimaslahi zaidi [emoji3] [emoji23]
 
Nakushauri kama mwanaume nikiwa kwenye mazingira yangu ya asili.

Jamaa anakuchukulia wewe wa kawaida mno na haumbabaishi.

Anakutumia kama kitombeo chake. Angalia sana nyakati hizi ndiyo hata tigo utaombwa.

Cha kufanya achana naye utajiumiza kichwa na utajaza threads tu humu.

Mtafute huyu jamaa hearly au Wick kwa msaada zaidi
Mhuuuuuuu kumbe
 
Mhuuu kumbe
 
Back
Top Bottom