Nashindwa kumuelewa mume wangu, nikimkosea anaishia kulia

Simple
Acha umalaya na yeye ataacha kulia
 
Acha upumbavu we mwanamke utauwawa kaa kwa kutulia
 
Huyo mume wako anaonekana atakuwa na hasira sana
Kifupi anaweza hata kujinyonga
 
Huyo mumeo kiboko
Sasa nawewe uache kumliza mwenzio
 
We jiandae kutolewa kis#m#
 
Duuuh
 
Kwani ukichati na wanaume wengine kuna Kosa gani? Si unatafuta soko la uchi wako? Sasa uchi wako unamhusu nini mmeo? Labda analia kwa kujutia kuweka shimo la taka chumbani kwake. Na ndio maana haoni Kosa lako, mwenye Kosa ni yeye mwenyewe.
 
Anapolia huwa anakuwa ana lipanga kali amelifutika kiunoni ila wewe hujui tu
 
Andika wosia mapema
 
Una Mume na unachati kimapenzi na Mwanaume mwingine..... Maliza Kwanza umalaya lanm sivyo gunia la mkaa litakuhusu.....
 
Eeeeh l
 
ndoa ya miezi 4 unachati na mwanaume wa nje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…