Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,558
- 12,335
Simple
Acha umalaya na yeye ataacha kulia
Acha umalaya na yeye ataacha kulia
Mimi na mume wangu tuna miezi minne sasa lakini mimi nmekua nikimkosea sana wala hanipigi anaishia kulia tuu na baadaye kuniambia kanisamehe.
Juzi amekuta nimechat na mwanaume kimapenzi ameniangalia tu akaanza kulia na kuniambia wala sijamkosea chochote niwe na amani kisha kesho yake anaamka akiwa normal kama hamna kitu nmemfanyia.
Jamani mimi nashindwa kumuelewa naombeni msaada wenu.[emoji24][emoji24]