alumn
JF-Expert Member
- Jul 15, 2018
- 2,370
- 3,163
Muirak
Dada angu nakushauri sisi Wanaume wa kiafrika hua kiukweli hatupendi kudharauliwa na kushushwa kwa namna yeyote ile hata kama sisi tuna makosa.
Kitendo unachokifanya ni kumdharau kitu ambacho ni hatari sana kwako. Ningependa kukuomba kwanza kua makini nae Mmeo na lakini pia yakupasa sasa kubadilika. Please please..