Nashindwa kumwacha hata kama hanitaki tena

Nashindwa kumwacha hata kama hanitaki tena

Kujaribu kufuta kumbukumbu na kuharibu vitu vyake ulivyokuwa navyo sio dawa hata maramoja kwakuwa kuna vitu mlifanya pamoja kama kusex kuna mahali mlienda pamoja kuna chakula na vinywaji mlishare, hivi huwa havifutiki milele
Mapenzi huja na kuondoka jipange upya kwa stress nyingine ndio maisha yetu mpaka kaburini
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]kwamba ajipange kwa stress nyingine!
 
Haloo waungwana,mimi nilikuwa na mpenzi wangu ambaye kwa kifupi nlilimpenda muno.nilikutana naye chuo miaka madhaa iliyopita.mara baada ya kuhitimu kila mmoja alienda kwao nahapo ndo shida ikaanza

Akawa ananionyesha dalili za moja kwa moja kuwa hanitaki.majibu mabovu kwa Simu,mizinga,ugomvi kidogo tu anadai tuachane

Baada ya kutafakari ikabidi nikubaliane nae juu ya swala la kuachana,hivyo tukaachana kiroho sari,

Baada ya kuachana nae nikaamua kutulia bila mpenzi maana alikuwa bado anaishi moyoni mwangu.nilikuwa nimefuta na kuharibu kila kitu chenye uhusiano nae ie namba,mkamblock kwenye social networks nk,

Sasa shida inaanza tangu tuachane mimi sijawahi hata kuwaza kama ntakuwa na mwanake mwingine zaidi yake. Nimejaribu kutafuta namba zake na kumweleza ukweli ila naona wala hana muda na mm kabisa.
Naombeni ushauri jamani naanzia wapi kumsahau??
Uwe unakumbuka mabaya yake tu daily hutokawia kumchukia.
 
Hata me nilishawahi futa namba ya mpenzi wangu, lakini sikuweza kuifuta kichwani. Anyway they say "time heals everything", ushauri wangu jipe muda utamsahau tu...cha muhimu zaidi ni kukubaliana na ukweli kuwa hakupendi na hawezi kuwa nawe tena. Ila itasaidia zaidi kama utamshusha thamani yake kwako...
 
Mfanyie kitu cha CHAGULAGA MAYU akibisha sana weka begani stand ya kwanza GHETO na baada ya wiki muulize nikurudishe kwenu? Utasikia mi sirudi tena mi nakupenda.
 
Mkuu vumilia tu,ilinitokea 2012,nilimpenda shori flani,kumbe alikuwa anachepuka ingawa alinipenda pia,ila kumsamehe nilishindwa,nilikaa mda napiga tungi kujisahaulisha,baada ya mda nikamsahau,nikakutana shori mwingine amazing,mbona nilisahau kila kitu,huyo wa zamani nikimwona sasa hivi hana value yoyote yeye ndo anajikomba.Vumilia tu mkuu
 
Nafarijika na comments zenu maana zinanifanya nijione naweza bila yeye.naomba ushauri wenu uendelee
 
Mara nyingi wasichana/mabinti huanza nyodo pale wanapoingia kwenye penzi na mtu mwingine mwanamke ni ngumu kupenda wanaume wawili kwa wakati mmoja hivyo huyo atakuwa tayari na mwingine na hana habari na wewe.
Cha kufanya sasa tafuta mwanamke mwingine uwe nae aiteke akili yako itakuwa rahisi kumsahau kuendelea kukaa bila mtu aliyechukua nafasi ya huyo ni kujiumiza lakini kosa kubwa ulilolifanya ni ni kutokujua mapenzi ya chuo na kujiandaa kwa lolote yale yanaishiaga chuoni pale pale kama yalivyoanza.
 
Haloo waungwana,mimi nilikuwa na mpenzi wangu ambaye kwa kifupi nlilimpenda muno.nilikutana naye chuo miaka madhaa iliyopita.mara baada ya kuhitimu kila mmoja alienda kwao nahapo ndo shida ikaanza

Akawa ananionyesha dalili za moja kwa moja kuwa hanitaki.majibu mabovu kwa Simu,mizinga,ugomvi kidogo tu anadai tuachane

Baada ya kutafakari ikabidi nikubaliane nae juu ya swala la kuachana,hivyo tukaachana kiroho sari,

Baada ya kuachana nae nikaamua kutulia bila mpenzi maana alikuwa bado anaishi moyoni mwangu.nilikuwa nimefuta na kuharibu kila kitu chenye uhusiano nae ie namba,mkamblock kwenye social networks nk,

Sasa shida inaanza tangu tuachane mimi sijawahi hata kuwaza kama ntakuwa na mwanake mwingine zaidi yake. Nimejaribu kutafuta namba zake na kumweleza ukweli ila naona wala hana muda na mm kabisa.
Naombeni ushauri jamani naanzia wapi kumsahau??
Pole mkuu. Najua situation unayopitia. Ila kaza moyo kama mwanaume wa ukweli. Mapenzi yana nguvu kuliko hata breakdown. Wengine tuliwagharamia vitu vingi sana hawa watoto wa kike lakini wameondoka na matusi juu. Shukuru umeachwa tu bila kuinvest kwake wengine tumepata hasara mara mbili. Wenzako tumeshaamua kuwa mpenzi wa kweli hapa duniani ambaye ni loneliness tu. Ukitaka kuendeleza stress juu ya stress iliyopita endelea kutangatanga na hawa viumbe wasiojali hisia za mtu. Ngoja nikafanye kazi ya huyu mzungu nirudi zangu nyumbani nikalale.
 
Mapenzi ni kama mvua inavyonyesha, wakati wowote inaweza kwishaa
[emoji447][emoji443][emoji441][emoji445][emoji445][emoji445]
 
Mkuu
1. Futa Picha Zake Zote
2. Futa Mawasiliano Yake Au Kumbukumbu Yake Yoyote Ile
3. Epuka Kutembea Peke Yako Kwenye Maeneo Mliozoea Kula Goodtime Pamoja
4. Tumia Muda Wako Mwingi Unapokuwa Peke Yako, Kufanya Shughuli Zako Binafsi Au Kufanya Mambo Unayoyapenda, Mf. Kuangalia Movie Au Mpira N.k
5. Usipende Kukaa Peke Yako, Jichanganye Na Marafiki
6. Usinywe Pombe Kusema Utapoteza Mawazo
7. Wewe Ni Wathaman Sana, Hivyo Jipende Wewe Kama Wewe... Hapa Namaanisha Kula Vizuri, Vaa Vizuri Na Pia Fanya Mazoezi.
8. Relax, Mungu Amekuandalia Mtu Special Kwa Ajili Yako, Hutalia Tena!
 
Never Feel As If The World Is Coming To An End, When Someone Decides To Walk Away From You.. LET THEM GO!
Trying To Force Somebody To Love You Is Like Trying To Teach A Pig How To Appreciate Beauty And Cleanliness. Dont Force Them, Let Them Love You, If They Cant... LET THEM GO
Dont Waste Your Value Time Trying To Convince Or Begging Anyone To Love You, Someone Out There Is Sinking Deeply In Love With You, But Youre Too Dawn Busy Chasing Broken Dream. WHY? LET THEM GO
Its Always Difficult To Convince A Monkey That Strawberry Is Sweeter Than Banana, Youre Too Precious To Beg For Love. A Person Who Truely Loves You Will Respect You And Not Treat You Like Trash... LET THEM GO
You Cant Change Anyones Opinion Of You, But You Can Prevent Their Opinion From Changing You... Let Your Head Lead Your Heart Out Of A Toxic Relationship,,, Learn To Let Go, If Something Is Meant To Be, It Will Be! REMEMBER...
" IF YOU LOVE SOMETHING, LET IT GO. IF ITS YOURS IT WILL COME BACK TO YOU, IF IT WASNT, IT NEVER WAS "
 
Mkuu
1. Futa Picha Zake Zote
2. Futa Mawasiliano Yake Au Kumbukumbu Yake Yoyote Ile
3. Epuka Kutembea Peke Yako Kwenye Maeneo Mliozoea Kula Goodtime Pamoja
4. Tumia Muda Wako Mwingi Unapokuwa Peke Yako, Kufanya Shughuli Zako Binafsi Au Kufanya Mambo Unayoyapenda, Mf. Kuangalia Movie Au Mpira N.k
5. Usipende Kukaa Peke Yako, Jichanganye Na Marafiki
6. Usinywe Pombe Kusema Utapoteza Mawazo
7. Wewe Ni Wathaman Sana, Hivyo Jipende Wewe Kama Wewe... Hapa Namaanisha Kula Vizuri, Vaa Vizuri Na Pia Fanya Mazoezi.
8. Relax, Mungu Amekuandalia Mtu Special Kwa Ajili Yako, Hutalia Tena![/QUOTE
Hiyo namba 5 haiwezekani mkuu kwa sababu kuna muda ataenda toilet kukata gogo ni lazima ataenda peke yake.
 
Back
Top Bottom