Nashindwa kumwacha hata kama hanitaki tena

Nashindwa kumwacha hata kama hanitaki tena

Niulize Ivi kwani wewe kukataliwa hujui eeh? staki mwenzie basi,niafadhali uumei kwa sasa mda mdogo kuliko kuumia
maisha,mwanamme ameumwa kua mvumilivu,muelewa,mstarabu na anaekubali matokeo,sisemi rahisi ila sema na moyo wako utakuelewa,kamwe usipende usipopewndwa,chukua jishughulishe na mambo mengine,na amini huyo hakua na kheir na wewe ndio mana hukua nae na kumbuka kila kinachokuepuka kina kheir na wewe,vuta subra muombe muumba wako akupe uvumilivu na moyo wa ujasiri akupe mwenye kheir na wewe awe wako wa maisha wa kufa nakuzikana..
 
Haloo waungwana,mimi nilikuwa na mpenzi wangu ambaye kwa kifupi nlilimpenda muno.nilikutana naye chuo miaka madhaa iliyopita.mara baada ya kuhitimu kila mmoja alienda kwao nahapo ndo shida ikaanza

Akawa ananionyesha dalili za moja kwa moja kuwa hanitaki.majibu mabovu kwa Simu,mizinga,ugomvi kidogo tu anadai tuachane

Baada ya kutafakari ikabidi nikubaliane nae juu ya swala la kuachana,hivyo tukaachana kiroho sari,

Baada ya kuachana nae nikaamua kutulia bila mpenzi maana alikuwa bado anaishi moyoni mwangu.nilikuwa nimefuta na kuharibu kila kitu chenye uhusiano nae ie namba,mkamblock kwenye social networks nk,

Sasa shida inaanza tangu tuachane mimi sijawahi hata kuwaza kama ntakuwa na mwanake mwingine zaidi yake. Nimejaribu kutafuta namba zake na kumweleza ukweli ila naona wala hana muda na mm kabisa.
Naombeni ushauri jamani naanzia wapi kumsahau??
Simp
 
Muda ni wakati sahihi nadhani sasahvi unajiuliza ni mimi kweli yule dada/kaka alinisumbua akili hivyo,?
Unajicheka tuuu
 
Back
Top Bottom