[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]kwamba ajipange kwa stress nyingine!Kujaribu kufuta kumbukumbu na kuharibu vitu vyake ulivyokuwa navyo sio dawa hata maramoja kwakuwa kuna vitu mlifanya pamoja kama kusex kuna mahali mlienda pamoja kuna chakula na vinywaji mlishare, hivi huwa havifutiki milele
Mapenzi huja na kuondoka jipange upya kwa stress nyingine ndio maisha yetu mpaka kaburini
Uwe unakumbuka mabaya yake tu daily hutokawia kumchukia.Haloo waungwana,mimi nilikuwa na mpenzi wangu ambaye kwa kifupi nlilimpenda muno.nilikutana naye chuo miaka madhaa iliyopita.mara baada ya kuhitimu kila mmoja alienda kwao nahapo ndo shida ikaanza
Akawa ananionyesha dalili za moja kwa moja kuwa hanitaki.majibu mabovu kwa Simu,mizinga,ugomvi kidogo tu anadai tuachane
Baada ya kutafakari ikabidi nikubaliane nae juu ya swala la kuachana,hivyo tukaachana kiroho sari,
Baada ya kuachana nae nikaamua kutulia bila mpenzi maana alikuwa bado anaishi moyoni mwangu.nilikuwa nimefuta na kuharibu kila kitu chenye uhusiano nae ie namba,mkamblock kwenye social networks nk,
Sasa shida inaanza tangu tuachane mimi sijawahi hata kuwaza kama ntakuwa na mwanake mwingine zaidi yake. Nimejaribu kutafuta namba zake na kumweleza ukweli ila naona wala hana muda na mm kabisa.
Naombeni ushauri jamani naanzia wapi kumsahau??
Hata me nilishawahi futa namba ya mpenzi wangu, lakini sikuweza kuifuta kichwani. Anyway they say "time heals everything", ushauri wangu jipe muda utamsahau tu...cha muhimu zaidi ni kukubaliana na ukweli kuwa hakupendi na hawezi kuwa nawe tena. Ila itasaidia zaidi kama utamshusha thamani yake kwako...Haloo waungwana,mimi nilikuwa na mpenzi wangu ambaye kwa kifupi nlilimpenda muno.nilikutana naye chuo miaka madhaa iliyopita.mara baada ya kuhitimu kila mmoja alienda kwao nahapo ndo shida ikaanza
Akawa ananionyesha dalili za moja kwa moja kuwa hanitaki.majibu mabovu kwa Simu,mizinga,ugomvi kidogo tu anadai tuachane
Baada ya kutafakari ikabidi nikubaliane nae juu ya swala la kuachana,hivyo tukaachana kiroho sari,
Baada ya kuachana nae nikaamua kutulia bila mpenzi maana alikuwa bado anaishi moyoni mwangu.nilikuwa nimefuta na kuharibu kila kitu chenye uhusiano nae ie namba,mkamblock kwenye social networks nk,
Sasa shida inaanza tangu tuachane mimi sijawahi hata kuwaza kama ntakuwa na mwanake mwingine zaidi yake. Nimejaribu kutafuta namba zake na kumweleza ukweli ila naona wala hana muda na mm kabisa.
Naombeni ushauri jamani naanzia wapi kumsahau??
Labda angekua keYap Yap! au unataka umpe wewe nikuachie nafasi mkuu
Kwa kisugulio gani [emoji12]Ha haa but hata Ke mie huduma ningempa tu
Ebu nikioneHiki hikiii
Atupie angalao kapicha mkuu kama ni ngumu kukiona live!Ebu nikione
Pole mkuu. Najua situation unayopitia. Ila kaza moyo kama mwanaume wa ukweli. Mapenzi yana nguvu kuliko hata breakdown. Wengine tuliwagharamia vitu vingi sana hawa watoto wa kike lakini wameondoka na matusi juu. Shukuru umeachwa tu bila kuinvest kwake wengine tumepata hasara mara mbili. Wenzako tumeshaamua kuwa mpenzi wa kweli hapa duniani ambaye ni loneliness tu. Ukitaka kuendeleza stress juu ya stress iliyopita endelea kutangatanga na hawa viumbe wasiojali hisia za mtu. Ngoja nikafanye kazi ya huyu mzungu nirudi zangu nyumbani nikalale.Haloo waungwana,mimi nilikuwa na mpenzi wangu ambaye kwa kifupi nlilimpenda muno.nilikutana naye chuo miaka madhaa iliyopita.mara baada ya kuhitimu kila mmoja alienda kwao nahapo ndo shida ikaanza
Akawa ananionyesha dalili za moja kwa moja kuwa hanitaki.majibu mabovu kwa Simu,mizinga,ugomvi kidogo tu anadai tuachane
Baada ya kutafakari ikabidi nikubaliane nae juu ya swala la kuachana,hivyo tukaachana kiroho sari,
Baada ya kuachana nae nikaamua kutulia bila mpenzi maana alikuwa bado anaishi moyoni mwangu.nilikuwa nimefuta na kuharibu kila kitu chenye uhusiano nae ie namba,mkamblock kwenye social networks nk,
Sasa shida inaanza tangu tuachane mimi sijawahi hata kuwaza kama ntakuwa na mwanake mwingine zaidi yake. Nimejaribu kutafuta namba zake na kumweleza ukweli ila naona wala hana muda na mm kabisa.
Naombeni ushauri jamani naanzia wapi kumsahau??
Hiyo namba 5 haiwezekani mkuu kwa sababu kuna muda ataenda toilet kukata gogo ni lazima ataenda peke yake.Mkuu
1. Futa Picha Zake Zote
2. Futa Mawasiliano Yake Au Kumbukumbu Yake Yoyote Ile
3. Epuka Kutembea Peke Yako Kwenye Maeneo Mliozoea Kula Goodtime Pamoja
4. Tumia Muda Wako Mwingi Unapokuwa Peke Yako, Kufanya Shughuli Zako Binafsi Au Kufanya Mambo Unayoyapenda, Mf. Kuangalia Movie Au Mpira N.k
5. Usipende Kukaa Peke Yako, Jichanganye Na Marafiki
6. Usinywe Pombe Kusema Utapoteza Mawazo
7. Wewe Ni Wathaman Sana, Hivyo Jipende Wewe Kama Wewe... Hapa Namaanisha Kula Vizuri, Vaa Vizuri Na Pia Fanya Mazoezi.
8. Relax, Mungu Amekuandalia Mtu Special Kwa Ajili Yako, Hutalia Tena![/QUOTE