Nashindwa kumwelewa Mwamposa kwa kauli yake ya kutaka Serikali ichuje maudhui ya Mitandao ya kijamii

Bonge bana ukiwa hausifii kila kitu unaonekana adui. Okay, huyu jamaa katumwa aongee hivyo na chama chake.

Waumini wanataka kwenda mbinguni, mtumishi anataka kufika ikulu.
 
Exactly 💯 mkuu hii ndio imefanya hadi yule mmiliki wa telegram anateseka sana huwa najisikia vibaya mno napoona pale wamiliki wa mtandao wakipata matatizo kama haya yule mchungaji hajui kitu aisee
Ndio mkuu, na mara zote waanzilishi wa mitandao ya kijamii wanakuwa na nia nzuri hawatakiwi kutuhumiwa na wanawekeza fedha nyingi sana kuuweka mtandao hewani
 
Serikali yenyewe Ina matatizo chungu mzima ya kuyatatua, umaskini umezidi kukithiri, alafu anatokea mjinga mmoja badala ya kuishauri serikali kutatua changamoto zinazolikumba taifa anaanza kuishauri ikague nini watu Wana post Mtandaoni, huyu mtu ni wa kupuuzwa na kukemewa Kwa nguvu zote
💯
 
Ngoja tuone...

Cc: Mahondaw
Alihangaika X ifungiwe wakati algorithm ya X inakuletea maudhui uliyoyachagua wewe, ni nani anayependelea kufuatilia maudhui ya michezo akaletewa picha za uchi? Picha za uchi zinakuja pale mtumiaji anapokuwa na tabia ya kuzitafuta. Ni Trillion ngapi Elon Musk amewekeza X leo unaanza kuharibu uwekezaji wake kwasababu ya watumiaji wachache wanaofuatilia mambo ya hovyo. Je ni mamilioni mangapi ya watumiaji wanafanya biashara katika mtandao huo? Kwahiyo mtandao mzima ufungwe kwasababu ya watumiaji wachache wanaofuatilia mambo ya hovyo? Je hawa wanaofanya mambo ya maana haki yao unaipeleka wapi? Unahukumuje watu wote kwasababu ya dhambi ya watu wengine wachache?
 
Bado nashindwa kumwelewa Mwamposa kwa kauli yake ya kutaka Serikali ichuje maudhui ya Mitandao ya kijamii

Ni kazi gani hii ambayo haijawahi kuonekana tangu dunia iumbwe? Unawezaje kuchuja maudhui yote yanayochapishwa mitandaoni?

Ni binadamu wa aina gani ambao hawajawahi kuonekana duniani watakaokuwa na uwezo wa kusoma maudhui yote yanayochapishwa Facebook au Instagram na kuchagua yale mazuri tu huku mabaya yakifutwa?

Kampuni ya META ina mfumo wa algorithm wa kukagau maudhui lakini hauwezi kusoma maudhui yote unategemea kupokea report pia

Bajeti ya kuweka teknolojia ya algorithm ndani ya bidhaa za META haikuwa chini ya trilioni 100 lakini uwezo wa algorithm ya kuchuja maudhui ukomo wake ndiyo huo

Anachokitafuta Mwamposa ni kipi kama sio kuendelea kusababishia matatizo kampuni za mitandao ya kijamii mfano JF, META, X Corp na wengineyo?

Sijapata kujua ni mtu wa aina gani asiyeweza hata kuheshimu uwekezaji wa kampuni za mitandao ya kijamii

Mitandao ya kijamii inaendeshwa kwa mamilioni ya fedha na sio bure. Kuweka mtandao hewani kwa mwezi ni mamilioni ya fedha na usipoyalipa basi mtandao wako unakua off

Kauli kama hizi ndizo zilizoipelekea JF kupitia matatizo makubwa miaka ya nyuma zinafaa kukemewa kwa nguvu zote

Jambo linalonisikitisha ni namna JF wanavyoteseka kuhariri maudhui hii ni kazi kubwa sijapata kuona na huwa nawaonea sana huruma, META nao wanateseka tangu zamani kwa kulipishwa fines kila mara

Miaka ya nyuma walitokea viongozi wapuuzi wakaanza kushambulia mitandao ya kijamii ikapeleka matatizo makubwa sana kama mitandao kufungiwa huduma na utitiri wa kesi Mahakamani. Fikiria mwanzilishi wa mtandao aliwekeza kiasi gani cha fedha kuuweka mtandao hewani, ni bills za million ngapi analipa kila mwezi ili uwe hewani? Leo mtu anatoka huko anaanza kutapika ujinga. Badala ya kuishauri Serikali ipambane na wavunja Sheria za mitandao anaharibu mtandao mzima kana kwamba watumiaji wote mitandaoni wanafanya upuuzi. Wafanyabiashara wangapi wanatumia mitandao kuuza bidhaa zao je ni Wananchi wangapi wanapata huduma zao mitandaoni? Stupid mind

Alihangaika X ifungiwe wakati algorithm ya X inakuletea maudhui uliyoyachagua wewe, ni nani anayependelea kufuatilia maudhui ya michezo akaletewa picha za uchi? Picha za uchi zinakuja pale mtumiaji anapokuwa na tabia ya kuzitafuta.

Ni Trillion ngapi Elon Musk amewekeza X leo unaanza kuharibu uwekezaji wake kwasababu ya watumiaji wachache wanaofuatilia mambo ya hovyo.

Je ni mamilioni mangapi ya watumiaji wanafanya biashara katika mtandao huo? Kwahiyo mtandao mzima ufungwe kwasababu ya watumiaji wachache wanaofuatilia mambo ya hovyo? Je hawa wanaofanya mambo ya maana haki yao unaipeleka wapi?

Unahukumuje watu wote kwasababu ya makosa ya watu wachache?

View: https://www.facebook.com/share/v/15CmVGropW/

Huwezi kushanga kwa kawaida maneno na matendi ya chawa katika siasa au chawa wa wanasiasa.
 
Bado nashindwa kumwelewa Mwamposa kwa kauli yake ya kutaka Serikali ichuje maudhui ya Mitandao ya kijamii

Ni kazi gani hii ambayo haijawahi kuonekana tangu dunia iumbwe? Unawezaje kuchuja maudhui yote yanayochapishwa mitandaoni?

Ni binadamu wa aina gani ambao hawajawahi kuonekana duniani watakaokuwa na uwezo wa kusoma maudhui yote yanayochapishwa Facebook au Instagram na kuchagua yale mazuri tu huku mabaya yakifutwa?

Kampuni ya META ina mfumo wa algorithm wa kukagau maudhui lakini hauwezi kusoma maudhui yote unategemea kupokea report pia

Bajeti ya kuweka teknolojia ya algorithm ndani ya bidhaa za META haikuwa chini ya trilioni 100 lakini uwezo wa algorithm ya kuchuja maudhui ukomo wake ndiyo huo

Anachokitafuta Mwamposa ni kipi kama sio kuendelea kusababishia matatizo kampuni za mitandao ya kijamii mfano JF, META, X Corp na wengineyo?

Sijapata kujua ni mtu wa aina gani asiyeweza hata kuheshimu uwekezaji wa kampuni za mitandao ya kijamii

Mitandao ya kijamii inaendeshwa kwa mamilioni ya fedha na sio bure. Kuweka mtandao hewani kwa mwezi ni mamilioni ya fedha na usipoyalipa basi mtandao wako unakua off

Kauli kama hizi ndizo zilizoipelekea JF kupitia matatizo makubwa miaka ya nyuma zinafaa kukemewa kwa nguvu zote

Jambo linalonisikitisha ni namna JF wanavyoteseka kuhariri maudhui hii ni kazi kubwa sijapata kuona na huwa nawaonea sana huruma, META nao wanateseka tangu zamani kwa kulipishwa fines kila mara

Miaka ya nyuma walitokea viongozi wapuuzi wakaanza kushambulia mitandao ya kijamii ikapeleka matatizo makubwa sana kama mitandao kufungiwa huduma na utitiri wa kesi Mahakamani. Fikiria mwanzilishi wa mtandao aliwekeza kiasi gani cha fedha kuuweka mtandao hewani, ni bills za million ngapi analipa kila mwezi ili uwe hewani?

Leo mtu anatoka huko anaanza kutapika ujinga. Badala ya kuishauri Serikali ipambane na wavunja Sheria za mitandao anaharibu mtandao mzima kana kwamba watumiaji wote mitandaoni wanafanya upuuzi. Wafanyabiashara wangapi wanatumia mitandao kuuza bidhaa zao je ni Wananchi wangapi wanapata huduma zao mitandaoni? Stupid mind

Alihangaika X ifungiwe wakati algorithm ya X inakuletea maudhui uliyoyachagua wewe, ni nani anayependelea kufuatilia maudhui ya michezo akaletewa picha za uchi? Picha za uchi zinakuja pale mtumiaji anapokuwa na tabia ya kuzitafuta.

Ni Trillion ngapi Elon Musk amewekeza X leo unaanza kuharibu uwekezaji wake kwasababu ya watumiaji wachache wanaofuatilia mambo ya hovyo.

Je ni mamilioni mangapi ya watumiaji wanafanya biashara katika mtandao huo? Kwahiyo mtandao mzima ufungwe kwasababu ya watumiaji wachache wanaofuatilia mambo ya hovyo? Je hawa wanaofanya mambo ya maana haki yao unaipeleka wapi?

Unahukumuje watu wote kwasababu ya makosa ya watu wachache?
Nashauri serikali ichuje maudhui ya dini nyemelezi na za kitapeli za akina Mwamposa.
 
Maana yake ni lugha ya shetani na binaadamu s
Bonge bana ukiwa hausifii kila kitu unaonekana adui. Okay, huyu jamaa katumwa aongee hivyo na chama chake.

Waumini wanataka kwenda mbinguni, mtumishi anataka kufika ikulu.

Nashauri serikali ichuje maudhui ya dini nyemelezi na za kitapeli za akina Mwamposa.
Hawana huo ubavu wala uthubutu kwa chawa,kwani hofu chawa watazianika nyeti zao hazarani.
 
Huwezi kushanga kwa kawaida maneno na matendi ya chawa katika siasa au chawa wa wanasiasa.
Haheshimu uwekezaji wa mitandao ya kijamii yeye ana download bure hajui billion ngapi zimewekezwa mpaka ukawa hewani, asome uwekezaji wa META, X Corp ni Trillion ngapi kabla hajatapika taka zake. Mtandao ufungwe kwaajili wa watu wachache wanaochapisha mambo ya hovyo? Hii inaingia akilini kweli. Hao watu watakaokagua maudhui yote mtandao ni binadamu wa aina gani wenye uwezo huo
 
Back
Top Bottom