Nashindwa kumwelewa Mwamposa kwa kauli yake ya kutaka Serikali ichuje maudhui ya Mitandao ya kijamii

Bonge bana ukiwa hausifii kila kitu unaonekana adui. Okay, huyu jamaa katumwa aongee hivyo na chama chake.

Waumini wanataka kwenda mbinguni, mtumishi anataka kufika ikulu.
 
Exactly 💯 mkuu hii ndio imefanya hadi yule mmiliki wa telegram anateseka sana huwa najisikia vibaya mno napoona pale wamiliki wa mtandao wakipata matatizo kama haya yule mchungaji hajui kitu aisee
Ndio mkuu, na mara zote waanzilishi wa mitandao ya kijamii wanakuwa na nia nzuri hawatakiwi kutuhumiwa na wanawekeza fedha nyingi sana kuuweka mtandao hewani
 
💯
 
Ndio mkuu, na mara zote waanzilishi wa mitandao ya kijamii wanakuwa na nia nzuri hawatakiwi kutuhumiwa na wanawekeza fedha nyingi sana kuuweka mtandao hewani
Exactly 💯 mkuu
 
Si alisema ataomba sala maalum twiter ifungiwe?aliishia wapi
 
Ngoja tuone...


Cc: Mahondaw
Alihangaika X ifungiwe wakati algorithm ya X inakuletea maudhui uliyoyachagua wewe, ni nani anayependelea kufuatilia maudhui ya michezo akaletewa picha za uchi? Picha za uchi zinakuja pale mtumiaji anapokuwa na tabia ya kuzitafuta. Ni Trillion ngapi Elon Musk amewekeza X leo unaanza kuharibu uwekezaji wake kwasababu ya watumiaji wachache wanaofuatilia mambo ya hovyo. Je ni mamilioni mangapi ya watumiaji wanafanya biashara katika mtandao huo? Kwahiyo mtandao mzima ufungwe kwasababu ya watumiaji wachache wanaofuatilia mambo ya hovyo? Je hawa wanaofanya mambo ya maana haki yao unaipeleka wapi? Unahukumuje watu wote kwasababu ya dhambi ya watu wengine wachache?
 
Huwezi kushanga kwa kawaida maneno na matendi ya chawa katika siasa au chawa wa wanasiasa.
 
Nashauri serikali ichuje maudhui ya dini nyemelezi na za kitapeli za akina Mwamposa.
 
Maana yake ni lugha ya shetani na binaadamu s
Bonge bana ukiwa hausifii kila kitu unaonekana adui. Okay, huyu jamaa katumwa aongee hivyo na chama chake.

Waumini wanataka kwenda mbinguni, mtumishi anataka kufika ikulu.

Nashauri serikali ichuje maudhui ya dini nyemelezi na za kitapeli za akina Mwamposa.
Hawana huo ubavu wala uthubutu kwa chawa,kwani hofu chawa watazianika nyeti zao hazarani.
 
Huwezi kushanga kwa kawaida maneno na matendi ya chawa katika siasa au chawa wa wanasiasa.
Haheshimu uwekezaji wa mitandao ya kijamii yeye ana download bure hajui billion ngapi zimewekezwa mpaka ukawa hewani, asome uwekezaji wa META, X Corp ni Trillion ngapi kabla hajatapika taka zake. Mtandao ufungwe kwaajili wa watu wachache wanaochapisha mambo ya hovyo? Hii inaingia akilini kweli. Hao watu watakaokagua maudhui yote mtandao ni binadamu wa aina gani wenye uwezo huo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…